unaota wewe tena ndoto nyevu
unataka kuniambia iraq, syria, central afrika, somalia nk zina mashushu wengi ulaya?
Dogo Tulia wakubwa sisi tukwambie miziki na sokomoko za kimataifa; usiruke ruke km Maharage ya moto chunguni!...Middle East na Africas' skirmishes Zonal civil wars! ni vitu viwili toauti na vyenye marengo tofauti vile vile!
ivo ivo na vita zake ni kwa marengo tofauti! yapi hayo?? hilo ni suala jengine kwa kipindi na siku nyengine! na wafadhili wa vita hiyo ni tofauti sana!! na siraha zinazo tumika ni tofauti mnooo!! sasa tuna Msumbiji inaleta shida kidogo!
Hivi unaijua hizo nchi ulizo zitaja zina tofautiana vipi kijiografia, kisiasa,kiuchumi na kiutamaduni??.......pia na Economici financial flow zao ziko vipi!!....... au umekurupuka tu kijana!! yaani ni sawa kabisa kulinganisha Chato na Butiama ya Musoma kwa werevu!!
Somalia na africa ya kati wale si ni wale vihepe tu wale! ........wanashindia maji ya viroba?? na buti chakavu tena wako humo Bongo wengi tu!! wako mpaka hukooo Mara serengeti ya mugumu huko!! wanachomoa pembe za wanyama hawana issue!!
Sasa mtu km huyo wa central african republic jamani aende Ulaya kwa lipi? wanawaona km Mikosi vile! ataanzia wapi kwanza, km siyo kwenda ka nchi jirani ka kienyeji kuomba alishwe ana njaa, kwanza hata maujanja ya lugha zao tu haijui!......
Pia kambi zao hao C.A na somalia za ukimbizi hazina hadhi!.........hata vyoo, tiba bora hawapewi!!......siyo majungu ndo ilivo!!....ulisha ona Muarabu wa nchi ulizo zitaja akikimbilia Africa eti akaishi ukimbizini??? tangu zama...yaani hujiulizi kaswali kadogo hivi??au umelewa??
Pamoja na TZ kujiita eti nchi ya amani! sijui mna mbuga nzuri Looool!!! .....watakuja mamburula wa Rwanda na Burundi tuu!! lkn siyo ngozi nyeupe!!..utasubiri sana!!...na wajanja km kina Mimi, Lisu, na yule kijana wa kichaga anaitwa nani vile na kalegeya hao tunatafuta ukimbizi majuu kwa wenzetu na sie!!