Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Abramovich alishangazwa na sababu za "mazingira", sio sumu - maafisa wa Amerika Saa chache tu baada ya madai ya kuzuka kwa mmiliki wa zamani wa Klabu ya Soka ya Chelsea Roman Abramovich kulishwa sumu kwenye mazungumzo mjini Kiev mwezi uliopita, maafisa wa serikali ya Marekani tayari wamekanusha nadharia hiyo. "Ujasusi unaonyesha kuwa hii ilikuwa mazingira, sio sumu," chanzo kinachodaiwa kiliiambia Reuters, bila kufafanua. Mshauri wa rais wa Ukraine Mikhail Podolyak pia alionya kuhusu "nadharia mbalimbali za njama". Hapo awali, WSJ ilidai Abramovich alionyesha dalili zinazoendana na sumu, akitoa mfano wa uchunguzi ulioongozwa na Uingereza, Marekani na Uholanzi nguo inayofadhiliwa na serikali ya Uholanzi Bellingcat, ambaye pia alidai kuhusika kwa Moscow katika sumu ya Sergey na Yulia Skripal na Alexey Navalny. Abramovich kwa sasa yuko Istanbul, ambako amekutana na Rais wa Uturuki Erdogan na anahusika katika duru ya hivi punde zaidi ya mazungumzo ya amani kati ya Russia na Ukraine. View attachment 2168215
It was warning poison not destined to kill.
 
THE DECISIVE STAGE OF THE RUSSIAN OPERATION IN UKRAINE🔥

The armed forces of the Russian Federation continue their offensive in Ukraine in several strategic directions. The optimistic results of the first month of the Russian special operation and the new April stage promise an increase in the number and power of high-precision missile strikes against the infrastructure and reserves of the Armed Forces of Ukraine throughout the Ukrainian territory. After the liquidation of the Mariupol cauldron, the priority of the Russian troops will be the demilitarization of the encircled grouping of the Armed Forces of Ukraine in the Donbass.

The focus remains on Kyiv, to the south of which Russian troops close the blockade. Ukrainian sources note the growing potential of the advancing Russian troops: “There are cities where there are so many tanks that tank jams form.” All components of the Russian grouping of forces, including naval forces (precision missile strikes), are more active.

Against the backdrop of disorganization and panic, units of the Armed Forces of Ukraine, the National Guard and the Terodefense systematically, daily and everywhere shoot at each other, as well as torture, mutilate and shoot prisoners of war. The transformation of the country's defenders into uncontrollable gangs of terrorists and thugs is a sign of doom and agony of the Kiev regime.

The operational situation in Ukraine resembles a chess endgame, when there are still many pieces and pawns on the board, and the outcome of the game is predetermined. At the request of the American masters, the Kyiv regime is simply playing for time and cynically pouring Slavic blood before the inevitable capitulation on Moscow's terms. It simply cannot be otherwise, Russia has sacrificed too much in the Ukrainian proxy war with the US and NATO.

Foreign military experts suggest that Russia will create a large military base near Kiev in order to "keep the capital's garrison and Ukrainian political authorities in constant tension." It is more logical to assume that Russia's permanent military bases can become part of a new, peaceful and safe for Ukraine's neighbors - after the completion of the Russian special operation (similar to the legitimate and stabilizing presence of US military bases in Germany and Japan). I believe that the Gostomel airfield will remain for a long time the base of the Russian Airborne Forces units, following the results of a special military operation of the Russian Armed Forces to demilitarize and denazify Ukraine.
Some aspects of the war have already turned into a guerrilla warfare much to the detriment of the belligerent Russians.

No any Russian potential military base that will survive in Ukraine amid the relentless onslaught by the Ukrainian Territorial Forces.

Furthermore, the dire economic situation that has begun to bite in Russia won't allow that country the capability to sustain her presence in Ukraine for much longer.
 
Screenshot_20220329-143137_Instagram.jpg
 
hata wewe unauelewa mdogo
hata vikwazo waloekewa kabla ya hivi vilikua vikubwa kuwahi kuwekewa kwao kwawakati ule nabado wakatoboa
RUSSIA sio ZIMBABWE
Wewe ni Mujahedeen hakuna unachoweza kusema kwa sababu ya limited reasoning capacity.
 
Marekani imekuwa ikiiomba na kuibembeleza Turkey ipeleke S-400 air-defense system yake huko Ukraine ili Ukraine iweze kujikinga na mashambulizi ya anga ya Russia.

Ktk kubembeleza huko, Marekani akamwambia Erdoğan kuwa akiipeleka S-400 Ukraine, Marekani itaondoa vikwazo ilivyoiwekea Turkey wakati iliponunua S-400. Pia Marekani ikamwambia Erdoğan akifanya hivyo, Marekani itamrejeshea Turkey program yake ya kununua pisi 100 za ndege za F-35 (ikumbukwe Turkey alikuwa ni mbia 'partner' ktk project ya kutengeneza ndege hizo za F-35, ali-fund hiyo project na alihusika ktk utengenezaji, ingawa aliondolewa ubia baada ya kununua S-400 ya Russia)

Pamoja na ahadi zote ikiwemo kuuziwa hiyo midoli 100 ya F-35, Turkey amekataa kuitoa S-400, mfumo makini na bora zaidi wa Ulinzi wa anga.

Mwambieni Marekani apeleke ma-vyuma vyuma yake chakavu (THAAD, Patriot PAC-3 n.k) Ukraine ikalipuliwe yote na Russia, watu hawataki ku-sucrifice S-400 ya Russia (USD milioni 300) kwa kupewa midoli 100 ya F-35 (jumla: USD triloni 7.8 ! ,midoli ambayo imeweka rekodi nzuri sana ya ku-crush hovyo hovyo kila mwaka).

Screenshot_20220329-140622_Chrome.jpg
 
Hakuna lucrative market kama la ulaya Na marekani. Ukipigwa sanctions ujue hayo masoko lazima uyasahau. Huawei atabaki ndani ya China tu maana ulaya tayari wamepigwa marufuku. Nchi nyingi haziwataki maana wanakipengele kinachomruhusu Serikali ya China kuingilia mawasiliano yao. Hii no hatari siku ukigombana Na china
Ambassador wa Huawei nipo hapa

Tuombe uzima na afya Utaona namna Harmony os itatumika na kila muundaji wa smartphone nchini china,

6G research ishamalizika.

HiSilicon imeacha kutegemea TSMC kwenye uundaji wa chip na ipo kwenye hatua nzuri kabisa katika utafiti wao wa kuunda Carbon nanotubes
 
hata wewe unauelewa mdogo
hata vikwazo waloekewa kabla ya hivi vilikua vikubwa kuwahi kuwekewa kwao kwawakati ule nabado wakatoboa
RUSSIA sio ZIMBABWE
Ni vikwazo gani hivyo vikubwa walivyowekewa, unaweza ukavitaja?
 
Hivi umeshajiuliza kwa nini Russia kataifisha ndege zote zilizokua zimekodiwa Na kampuni zao ndani ya urusi? Au kwa nini shirika la ndege la Iran linapata dhida kupata vipuri vya ndege zao? Kwenye technologia ya ndege za abiria kuna Boeing au Airbus ndo watengenezajj wakubwa Wa ndege. Hawa wengine bado sana.
2. Seniconductors- kampuni Kubwa no Intel na Samsung, nvidia Na nyinginezo. Hakuna kampuni ya kichina hats moja kwenye top ten lakini China ana advantage ya kuwa na hold kwenye solo la rare earthy metal. Pia production facilities nyingi zipo kwake ila most of the design zinafanyika korea, Taiwan, USA au Germany.
Pia China soko lake la ndani ni Kubwa lakini bado halijamature. Bila government expenditure kuna vitu haviendi. Ulaya consumer wao wapo vizuri.
MKUU natamani nikujibu kwahoja kama usemavyo ila nimejikuta ghfla nimeingia uvivu wakutype sana
Hapo juu ulisema kwamba kuna Tech UCHINA hawana nikakwambia uorodheshe ambazo hawana
BIMOEING na AIRBUS hawa wanajulikana kwamba wakongwe ila pia UCHINA kutokuwamo Top 10 haimaanishi kua hawana hio Tech uisemayo
Shukran
 
Vladimir Medinsky about the negotiations:

— The negotiations were constructive. We received proposals from Ukraine to consider their clearly formulated position on inclusion in the treaty.

- The meeting between Putin and Zelensky is possible simultaneously with the preliminary signing of a peace treaty by the foreign ministers.

“If we quickly work on the treaty and find a compromise, the possibility of making peace will become closer. Galip SV
20220329_102107.png
Liwagu
 
Back
Top Bottom