Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

NUpepo unazidi kubadilika, Putin ameitia Urusi aibu kubwa sana maana ndio taifa lililokua linategemewa kama mbabe wa Marekani, sasa dunia tunabaki bila balance of power.....


Kipi kilichojiri na ni mji gan
 
Ngoja nikuache,you are not worth arguing with me,maana hata kufundishika hufundishiki.Ungekuwa unajua ungejua kwamba Rothschild au Rockefeller sio Wayahudi.Hivi seriously huoni kwamba Zelensky ni impostor wa NWO.Hivi kweli ni assume kwamba hujui Nazism or it's present day analogy of Nazism ni evil ideologies.You are too ignorant.
Na we una moyo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hivi unamwelekeza Mwanamkiwi kinyume na mapambio ya kumsifia marekan na wakoloni wake akuelewe kweli [emoji847][emoji847][emoji847][emoji847]...

Aseee kama hutoweza kusifia Umagharibi kisha kuibeza na kuidharau Russia na mataifa mengine ya Mashariki bora uachane nae tu utajichosha...[emoji849][emoji849][emoji849]
 
Ila wajukuu wa Putin hamuwezagi kuongea lugha njema,mnapenda lugha za mikimiki tu yaani!

Uyo ndugu yako umeona ameongea nini? Ukiwa mstaarabu na mimi ntakua mstaarabu, ukiwa mbishi na mimi hivo hvo ukijifanya kichaa na mimi nakua hivohvo, ukitukana na mimi nakutukana sitakagi masikhara kabisa. Kama moto acha uwake.

Nakusalimu kwa jina la S-550[emoji28]
 
-5051047974829926836_121.jpg

Hawa jamaa wamepanic [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] itakuwa vyema waanza kuiondoa Z kwenye jina la Zelensky [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tujue kweli wako serious na vichekesho vyao.

Na V wasihisahau vile vile

Tuanze na Volodymyr Zelensky iwe Olodymyr Elensky [emoji23]
 
ZTE yupo japo sio kama mwanzo na Huawei tayari washatengeneza case maalum zinazoipa simu uwezo wa 5G pia watarudi na Kirin chipset miezi michache ijayo
Hakuna lucrative market kama la ulaya Na marekani. Ukipigwa sanctions ujue hayo masoko lazima uyasahau. Huawei atabaki ndani ya China tu maana ulaya tayari wamepigwa marufuku. Nchi nyingi haziwataki maana wanakipengele kinachomruhusu Serikali ya China kuingilia mawasiliano yao. Hii no hatari siku ukigombana Na china
 
Uyo ndugu yako umeona ameongea nini? Ukiwa mstaarabu na mimi ntakua mstaarabu, ukiwa mbishi na mimi hivo hvo ukijifanya kichaa na mimi nakua hivohvo, ukitukana na mimi nakutukana sitakagi masikhara kabisa. Kama moto acha uwake.

Nakusalimu kwa jina la S-550[emoji28]
Kazi imebumaa🖐️🖐️🖐️🖐️🖐️
 
Na we una moyo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hivi unamwelekeza Mwanamkiwi kinyume na mapambio ya kumsifia marekan na wakoloni wake akuelewe kweli [emoji847][emoji847][emoji847][emoji847]...

Aseee kama hutoweza kusifia Umagharibi kisha kuibeza na kuidharau Russia na mataifa mengine ya Mashariki bora uachane nae tu utajichosha...[emoji849][emoji849][emoji849]
Nakuelewa,to him logic ni very elusive,kinachomtala ni ushabiki.
 
Maiahq

Ndani ya mioyo yenu mnaumia sana kuona ulaya ikiteketea huku mlengwa anadunda.Sasa ni zamu ya ulaya kuchangamka kwa maandamano yasiyo na mwisho kutokana na Mass Unemployment.

Nasikia Siberia kuna reserve ya mafuta na gesi ambayo inaweza kumfanya Russia kuwa mzalishaji na msambazaji pekee duniani kwa karne kadhaa.

Afu hawajaanza igusa hio SIBERIA wametulia tu. Ila RUSSIA ni nchi Tajir aseee ndomana hawana stress [emoji28]
 
ajabu gani tena hiyo nyuklia kwi kwi kwi
huyo kichaa anatafutiwa dawa atulie sasa
tangu atangaze ataichukua kyiv ndani ya masaa 72 na yamepita , mwezi umepita tangu afanye uvamizi kwi kwi
Tehtetetetet!! Urussi atangaze nini??? yeye ni mzee wa kimya kimya tu! na anajua anacho kifanya!!.....ili azalishe wakimizi wengi sana huko Nchi za NATO!.....Na hao si wakimbizi kitu ni Magent wa KGB! wanajaa huko!! NATO Itakuwa uchi soon!
 
safi mkuu lazima tujenge hoja zinazojisapoti zenyew km hvyo, ndio maana watu wamejikita kwe hoja za kishabiki ambazo hazithibitishiki kwa namna yeyote, ila hoja za msngi kuhusu pande husika znakwepwa sababu ni ngumu kudanganya sababu watu wanajua historia
Tatizo ni wengi hawajui historia. Huyu jamaa anachota kwenye mafundisho ya "new world order" ambayo ni nadharia ya njama (conspiration theory) bila msingi. Inadai eti kuna kundi la siri la watu wenye mamlaka kubwa ambao wanataka kutawala Dinia na kuunda serikali itakayotawala badala ya zile zilizopo. Kundi hili la watu wa siri linatajwa mara kama Wayahudi, mara kama Freemasons, mara matajiri, mara wafuasi wa Shetani, mara Wakatoliki, (zamani Wakomunisti waliweza kutajwa pia) ....
Kwa muda mrefu ilikuwa imani kati ya watu kadhaa wa Marekani, tangu uenezaji wa intaneti mafundiyo yake yamesambaa sana.
Kwa jumla ni supu baya ya vipande vya habari, uvumi, uwongo, imani potofu . . .
 
Biden's "tough on Putin" script. The questions are prepared before hand. That's how his handlers manage the White Houee Press Corps.

View attachment 2167705
[emoji23][emoji23][emoji23]
View attachment 2167704
Mzee kachoka sana huyu anaandaliwa maswali na majibu yake mbele ya Press asije sahau akaropoka ropoka ka afanyavyo.

Na namna VP anavomnyima usingizi na utulivu sasa ishakuwa kila akilala akiamka ni PUTIN, social media na Press ni Putin.

VVP anajua kuwanyoosha sana marais wa Marekani. VVP anazidi kukubalika duniani ushawishi wake unazid kukua kila siku. VIVA PUTIN tupo nyuma yako mzee baba piga wala pizza hao[emoji28]
 
Ngoja nikuache,you are not worth arguing with me,maana hata kufundishika hufundishiki.Ungekuwa unajua ungejua kwamba Rothschild au Rockefeller sio Wayahudi.Hivi seriously huoni kwamba Zelensky ni impostor wa NWO.Hivi kweli ni assume kwamba hujui Nazism or it's present day analogy of Zionism ni evil ideologies.You are too ignorant.
Mpendwa huna historia wala mafundisho. Unarudia tu yale uliyosikia kuhusu nadharia ya njama ambayo haina mantiki wala ukweli wowote.
Rothschild ni familia ya Kiyahudi kabisa (ujinga kupita kiasi kuikana), na Rockefeller alichukia Wayahudi. Jinsi unavyowakoroga pamoja katika supu yako ya fujo - basi supu hii baki nayo.
Inaonekana kuhusu Wanazi katika Urusi hujui kitu.
Itoshe
 
Mpendwa huna historia wala mafundisho. Unarudia tu yale uliyosikia kuhusu nadharia ya njama ambayo haina mantiki wala ukweli wowote.
Rothschild ni familia ya Kiyahudi kabisa (ujinga kupita kiasi kuikana), na Rockefeller alichukia Wayahudi. Jinsi unavyowakoroga pamoja katika supu yako ya fujo - basi supu hii baki nayo.
Inaonekana kuhusu Wanazi katika Urusi hujui kitu.
Itoshe
Sawa,amini utopolo ulioaminishwa.🙏
 
Hivi umeshajiuliza kwa nini Russia kataifisha ndege zote zilizokua zimekodiwa Na kampuni zao ndani ya urusi? Au kwa nini shirika la ndege la Iran linapata dhida kupata vipuri vya ndege zao? Kwenye technologia ya ndege za abiria kuna Boeing au Airbus ndo watengenezajj wakubwa Wa ndege. Hawa wengine bado sana.
2. Seniconductors- kampuni Kubwa no Intel na Samsung, nvidia Na nyinginezo. Hakuna kampuni ya kichina hats moja kwenye top ten lakini China ana advantage ya kuwa na hold kwenye solo la rare earthy metal. Pia production facilities nyingi zipo kwake ila most of the design zinafanyika korea, Taiwan, USA au Germany.
Pia China soko lake la ndani ni Kubwa lakini bado halijamature. Bila government expenditure kuna vitu haviendi. Ulaya consumer wao wapo vizuri.
TNaomba oridhesha moja moja MKUU halaf kuna tofauti yakutokua nayo nakuzidiwa cjui unanielewa
Naomba orodhesha moja moja
 
Nakuelewa,to him logic ni very elusive,kinachomtala ni ushabiki.
Na wala sio ushabiki pekee... na ile Availability of resources kutoka Google. Na Weakness kubwa ni kua data zipo ila kuzi'analyze hawezi. Na akizichambua basi anafanya kimhemko. So kinachokuja kuonekana nje ni **** uliopo kwenye fikra zake.

Na zaidi tunajisahaulisha ka Google is just a search engine kama zilivo zingine mfano Yahoo, Bing, Baidu, Duckduck Go, Wikipedia n.k Wanaondika hizo Contents mtandaoni ambazo twazitafuta kupitia hizo search engines are just like us. They are human too, Mistake za apa na pale ni sehem katika wao.

So mtu asipokuwa na fikira huru ya kueza kuchuja au kuchambua taarifa ipi ni sahihi au ipi sio sahihi katika sphere zote kuanzia Science, Politics, Economy, Technology na mengineyo itakuwa kila kinachoonekana basi mtu akibeba kama Facts, hoja timilifu kitu ambacho sio sahihi kbs.

Sasa huyu na wenzie uko unaeza kumuelekeza hivi akahamia kule, ukamuuliza hiki akajib uko. Kisha waamua kutumia data zake mwenyewe anazokuletea kumkosoa anaruka pembenj [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]... Analeta jipya mpaka bundle la udhamini alilopata pale ubalozini liishe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
VVP anajua kuwanyoosha sana marais wa Marekani. VVP anazidi kukubalika duniani ushawishi wake unazid kukua kila siku. VIVA PUTIN tupo nyuma yako mzee baba piga wala pizza hao[emoji28]
NATO walimkamata Sadam huseini wakamnyonga.

Wakamkamata Slobodani Milosevic wakamfunga jela.

Wakamuua Muamar Ghadafi.

Sasa hivi wamekutana na kisiki Cha mpingo,
Wakileta ujinga wataondolewa wao.
Huko Ulaya Hali inazidi kuwa tete.Hakina gesi,hakuna mafuta,hakuna uzalishaji.

Kichwa kimoja TU Cha VVP kimevuruga vichwa karibu 35 yaani vichwa vya NATO 30 plus vichwa kama Japan,Korea kisini,Finland,Taiwan na Norway.
 
Back
Top Bottom