3ZOV
JF-Expert Member
- Dec 28, 2020
- 6,259
- 7,019
utaishindanishaje na dollar mzee wakat dollar 1 = tsh 2300 halafu unasema rubo inapanda kuliko dolare ?Yeah, kwani shida iko wapi!
Nipo hapa nasubiri gazeti
utaishindanishaje na dollar mzee wakat dollar 1 = tsh 2300 halafu unasema rubo inapanda kuliko dolare ?Yeah, kwani shida iko wapi!
Siandiki magazeti mkuu, unaelewa nikisema ruble imekuwa strong against dollar?utaishindanishaje na dollar mzee wakat dollar 1 = tsh 2300 halafu unasema rubo inapanda kuliko dolare ?
Nipo hapa nasubiri gazeti
Haahaaahaaaahaaa!! Eti amewaheshimishaPutin Umetuheshimisha
Mungu azidi kukupa Afya
ndio nasubiri ligazete nielewe vizuriSiandiki magazeti mkuu, unaelewa nikisema ruble imekuwa strong against dollar?
Watasema PROPAGANDAView attachment 2168111ramazan kadrov akiwa ndani ya ikulu ya mariupol kutekwa kwa huu mji ni pigo ulaya nzimaView attachment 2168112
safi mkuu lazima tujenge hoja zinazojisapoti zenyew km hvyo, ndio maana watu wamejikita kwe hoja za kishabiki ambazo hazithibitishiki kwa namna yeyote, ila hoja za msngi kuhusu pande husika znakwepwa sababu ni ngumu kudanganya sababu watu wanajua historiaSIjui wewe pamoja na hao wanaokupongeza una nini kichwani?
Kuhusu Wakhazar ni dhahiri hujui kitu, unawaita "waovu" bila msingi wowote. "Uovu" wa Zelensky ni nini?
Tena unakoroga nadharia ya njama ya Rothschild (aliyekuwa Myahudi, bila uhusiano na Khazer) na Rockefeller (ambaye hakuwa Myahudi, alichukia Wayahudi na kusambaza uwongo juu yao).
Neno "Nazi" haina maana kama ile unayowaza.
Wale wanaoweza kuitwa "Nazi" wako kwa idadi kubwa huko Urusi leo hii (Ukraine wako pia, ni ugonjwa wa kisiasa ulioenea kote Ulaya ya mashariki baada ya ukomunisti).
Funny how the negotiations table shows warusi ndani ya suits huku Ukrainian's ndani ya army wear.Tupo kwenye majadiliano jamaniView attachment 2168036
Sent from my SM-A022F using JamiiForums mobile app
Mkuu sorry ! Huoni kupeleka kwao siraha na vinginevyo in kama kunamuimarisha kijeshi Ukraine na ku-prolong vita na pia kupelekea kumgharimu Russia kiuchumi,kisiraha na manpower.Kupeleka silaha ukraine,kuiwekea sanctions Urusi Bado si kuingilia vita!Direct provacation ni kuingiza majeshi ya NATO au kuweko no fly zone Ukraine!
Mara ngapi Zelensky ameomba hiyo no fly zone?Majibu ya NATO kwenye Hilo yamekuwaje?
Ukraine aliyechangamkaKwani Urusi inapigana na NATO au Ukraine?
Ngoja nikuache,you are not worth arguing with me,maana hata kufundishika hufundishiki.Ungekuwa unajua ungejua kwamba Rothschild au Rockefeller sio Wayahudi.Hivi seriously huoni kwamba Zelensky ni impostor wa NWO.Hivi kweli ni assume kwamba hujui Nazism or it's present day analogy of Zionism ni evil ideologies.You are too ignorant.SIjui wewe pamoja na hao wanaokupongeza una nini kichwani?
Kuhusu Wakhazar ni dhahiri hujui kitu, unawaita "waovu" bila msingi wowote. "Uovu" wa Zelensky ni nini?
Tena unakoroga nadharia ya njama ya Rothschild (aliyekuwa Myahudi, bila uhusiano na Khazer) na Rockefeller (ambaye hakuwa Myahudi, alichukia Wayahudi na kusambaza uwongo juu yao).
Neno "Nazi" haina maana kama ile unayowaza.
Wale wanaoweza kuitwa "Nazi" wako kwa idadi kubwa huko Urusi leo hii (Ukraine wako pia, ni ugonjwa wa kisiasa ulioenea kote Ulaya ya mashariki baada ya ukomunisti).
A nice observation!Funny how the negotiations table shows warusi ndani ya suits huku Ukrainian's ndani ya army wear.
Goes to show nani kibosile kwenye meza [emoji23][emoji23][emoji23].... Just kidding [emoji1739][emoji1732]