Ndiyo maana nikasema kuuliza Sio Ujinga, Sasa napata majibu ya maswali yangu
Naam, anayekupiga gizan ukiamua kulipiza kisasi mrudishie uko uko gizan ila ukimleta kwenye mwanga ndio ufanye kulipiza kisasi we uliyekosewa utaonekana ndie mgonvi... Kwanini? Kule gizani hakuna aliyeoona kama kweli yule umpigae ndie alieanzisha ugonvi.
Mfano kilichopo, kwenye media wanatuaminisha kua hawaingilii huo ugonvi ila pembeni wanatuma wanajeshi kwa siri kuingia uko. Nazan tunawaona hao mercenaries waliojaa uko kutoka muungano huo huo wa NATO. (huo ndio mfano wa kuchokozwa gizani)
Yeye akiamua kuwapiga directly kwa kushambulia hayo mataifa, yeye ndio atonekana mgonvi kwasabab hakuna uthibitisho Official wa upande wa pembeni kupeleka kikosi ukraine kwani hizo silaha zinaeza kuonekana kama biashara au ile kauli yao wanayosema
"Tunampa Ukraine silaha ili ajilinde mwenyewe"... Huezi kuwasikia kudeclare wazi kua wanataka kumsaidia directly kupigana na jeshi la Mrusi.
So naona wao Russia wanaamua kuwafinya taratibu hao hao walioingia uko. Kama huna chuki na warusi basi watizame vizuri wakifanyacho uko Ukraine. Huezi kulinganisha na Cruelty ya NATO.
Most waliamini Russia akiingia uko atafanya kama wanavofanya wao. Ambao kuua watu lak 2 kutafta mtuhumiwa mmoja waliompa jina la ugaidi kwao ni Ushindi... Tofauti na Russsia ambae yuko radhi kupoteza wanajesh wake ila sio kusababisha Casualties kubwa kwa Civilians.
Saaa zaidi utakuta ule ushabiki hum tuko mlengwa wa kusujudu n kusifu hizi mbuzi za west ambao toka 31March mpaka 31October Miezi saba wako wanahenya na Libya chini ya Gadafi... Yani Libya Vs USA + NATO... ila Ukraine + NATO Support ya chini ya Carpet Vs Russia ndani ya Mwezi wanatwambia Russia mdhaifu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]