Reborn Ktb
JF-Expert Member
- Mar 14, 2021
- 6,906
- 9,731
India biggest trading partners, poor Russia nowhere
Sioni mwisho mzuri wa PutinKilichomponza ni Oligarchs walianza kumlalamikia Putin kuhusu issue ya Vita iliyopelekea Mali zao kukamatwa na kupigwa sanctions. Putin mtu mbaya sana,sasa kafungua mlango wa kifo chake,hawatamuacha salama.
Kwenye military technology warusi hawawezekaniki!Rassia imefanikiwa kutesti S-550 air-defense system....
Hii inadungua sio tu masetilaiti ya Marekani bali hata hypersonic missiles (makombora ambayo Marekani bado anambwela mbwela kupata teknolojia ya kuyatengeneza[emoji1787][emoji23])
Wakati Marekani akimbwela mbwela kutafuta namna ya kutengeneza makombora ya haipasoniki, Russia kishayatengenezea air-defense system ya kuyadungua (S-550)
Wakati makorokocho ya Marekani (THAAD, Patriot PAC-3 n.k.) yanaweza kushambulia tagets zilizo juu kimo cha chini ya kilomita 30, S-550 ya Mrusi inaweeza kuangamiza tageti hata iliyo juu kimo cha makumi ya maelfu ya kilomita.
View attachment 2167407
jasusi anaeharibu uchumiPutin hajulikani alipo . inasemekana hamwamini mtu yeyote hadi kivuli chake .
Ina maana hizo chache alizobaki nazo ndo zinatumika kuinflict uharibifuThe Russian MOD's official claims of losses inflicted upon the Ukrainian militaryView attachment 2167755
Watasema ni propagandaMercenaries kutoka congo na CAR wanaopigania urussi wameuwawaView attachment 2167892View attachment 2167893
Kila nafsi itakufa MKUU acha watangulieWatu mnabishana hapa wakati wenzenu huko wanakufa kweli.
FSBWadau nimeona jana habari ya billionea Roman abramovich kuwekewa sumu ,Nani aliyemfanya hivyo
View attachment 2167896
Kuna mtu hapa alidai Putin 'kachochea' muungano wa US/NATO na EU dhidi ya russia kwamba sasa wote ni kitu kimoja. Nikaona nimuache tu maana ni mjadala wa kiubishani.Erdogan wa Turkey amvunjavunja Biden wa Marekani...amweleza Turkey haitoweka vikwazo dhidi ya nishati ya Russia. Anasema kuweka vikwazo dhidi ya nishati za Russia kutaua viwanda vya Turkey na pia ni raia wake wa Turkey ndio watakaoumia.
Erdogan kafafanua kuwa karibu 50% ya gesi itumikayo Turkey yanunuliwa toka Russia na Turkey ipo inatengeneza mtambo wa kufua nishati ya nyuklia ikisaidiwa na Russia...Hatupo tayari kuvipoteza vitu hivyo (muhimu zaidi kwa waturuki)
======
View attachment 2167520View attachment 2167521
Tokea uzi uanzishwe hii ndio habari njema kuliko zote nilizowahi kusoma hapaPutin awaambia nchi za Ulaya, hatowapa gesi yake dezoo/bureee (bila kulipia).
Awapa deadline (siku ya mwisho) ya kuhudhurisha maombi yao ya kulipia gesi kwa ruble, kuwa ni kesho kutwa (tarehe 31 March)[emoji1787][emoji23][emoji1][emoji2]
Asante sana Putin!
======
View attachment 2167353View attachment 2167354
VIVA RUBO[emoji779]️No Payment, No Gas - Kremlin
Spox. Dmitry Peskov was asked if Russia would switch off energy to Europe. "We're not going to send gas free of charge to Western Europe," he told PBS.
Subscribe to RT t.me/rtnews. And they have to pay in Rubles kazi wanayo[emoji23][emoji23][emoji23]
UK bila yashaka MBWA wale wameona vikwazo pekee havitoshiWadau nimeona jana habari ya billionea Roman abramovich kuwekewa sumu ,Nani aliyemfanya hivyo
View attachment 2167896
Souvenirs