F9T
JF-Expert Member
- Dec 26, 2015
- 2,684
- 4,973
sasa kama NATO imeundwa kwa ajiri ya Russia , mmeivamia Ukraine ambaye sio mwanachama wa NATO kwa sababu zipi ?.NATO imeundwa kwaajili ya RUSSIA
RUSSIA sio ZIMBABWE
Tukiwaita vichaa mnapiga mayowe .
sasa kama NATO imeundwa kwa ajiri ya Russia , mmeivamia Ukraine ambaye sio mwanachama wa NATO kwa sababu zipi ?.NATO imeundwa kwaajili ya RUSSIA
RUSSIA sio ZIMBABWE
Sasa walilia lia nini wewe Punguani?!Hahaha ndo maana nawaita nyinyi ni vichaa. Habari ikiletwa na BBC, CNN ikiwa nzuri ukaifurahia basi unaipost haraka huku.
Lakin habari ikiletwa na wengne kutoka chanzo hicho hicho usipoipenda unaanza kusema
Western propaganda. Poleni sana vichaa wa Putin.
Russia ni mwepesi sana , anakuzwa na vichaa wa humu . Yaan anapigana na nchi ambayo amepakana karibia nusu ya eneo lake . Lkini imepita zaidi ya mwezi anahenyeshwa na Comedian Zelensky .Mkuu Mimi sina upande Ila Russia ground battles hayuko vizuri huo ndio ukweli..now anafanyika counter attack na ana retreat.
Kitu pekee anachotumia zaidi kwa sasa ni makombora tokea baharini.
Ukubali ukatae lakini huko ukweli .kama utachambua bila kutanguliza ushabiki utaona hilo.
warusi wa bongo ni viazi kama mzee wao .
Utasikia yakisema NATO na US wanamwogopa Putin.
Wakati huo kichaa wao ameivamia Ukraine akiishutumu inataka kujiunga NATO hivyo inahatarisha usalama wake .
Tumesha yazoea humu kelele tu mengi ni akiri za Dr Shi
Umeona eeh,yeye ndio anaogapa anahaha anarusha rusha mabomu bila mpangilio,halafu wanageuza maneno eti NATO waamuogopa!hii nchi ngumu sanawarusi wa bongo ni viazi kama mzee wao .
Utasikia yakisema NATO na US wanamwogopa Putin.
Wakati huo kichaa wao ameivamia Ukraine akiishutumu inataka kujiunga NATO hivyo inahatarisha usalama wake .
Tumesha yazoea humu kelele tu mengi ni akiri za Dr Shika .
hahaha kwa hivyo umekubali kuwa BBC na CNN ni vyanzo vya uhakika ?.Sasa walilia lia nini wewe Punguani?!
Si vyombo vya habari vipo telee? Katafute nawe habari ya kukufurahisha ulete. Au umekatwa mikono? Au umeibiwa smartphone?
Putin kajifichaDah,asife huyu,hiyo kemikalia wangemshambulia nayo Putin
Vilaza huwa wagumu sana kuelewa!hahaha kwa hivyo umekubali kuwa BBC na CNN ni vyanzo vya uhakika ?.
Hayo hayo maneno mnayoyaimba tukiwakumbusha mnaruka futi 100.
Mlisema Kiev inageuka majivu ndani ya siku 3, zikapita tukawakumbusha mkakana kusema.
Mkasema vyombo vya Western vinapiga propaganda juu ya Russia , cha ajabu unaleta habari kutoka chanzo cha wamagharibi .
Akiri za Dr Shika hizi.
Ze comedy Zelensky endelea kumuhenyesha babu Putin , na sisi tunazidi kuwavurumua wajukuu zake huku nyuma ya keyboard.
NATO hawamuogopi Russia bali NATO hawataki vita ndani ya nchi zao, ndo maana wameona wampelekee moto ndani ya Ukrainesasa kama NATO imeundwa kwa ajiri ya Russia , mmeivamia Ukraine ambaye sio mwanachama wa NATO kwa sababu zipi ?.
Tukiwaita vichaa mnapiga mayowe .
asante Dr Shika .Vilaza huwa wagumu sana kuelewa!
Nimekwambia vyombo vya habari vipo kibao, katafute nawe habari uzipendazo u-post?
- Kwani umekatwa vidole?
- Au umeibiwa smartphone yako?
- Au English yakupa shida kuelewa taarifa zinazotolewa na vyombo hivyo na hivyo huwezi nawe ku-post zile uzipendazo?
Putin hajulikani alipo . inasemekana hamwamini mtu yeyote hadi kivuli chake .Putin kajificha
Watu wenu wanauanaHere's a better video, don. There's some map on the table, you can say something from it, whether it's taken today or not
Subiri matusiNaomba kuuliza, Putini alitangaza atakaeingilia hii operations yake atakiona Cha moto,
Swali, Je hao waingereza , Marekani na washirika wake kutoa misaada ya siraha UKRAINE Sio kuingilia operation yake? Vipi anawaogopa au? Mbona wanasaidia Ukraine na hawakioni Cha moto alichotangaza?
Kuuliza Sio Ujinga.
Ni wazi kabisa historia ya akina Zelensky Ina uhusiano na uovu wao wa sasa.A Nazi will always remain a Nazi,ndivyo historia inavyo onyesha.No Khazar is good,na ndio akina Rothschild, Rockefeller or Zionists wanaoitesa Dunia leo.Hongera ya kusoma historia. Kuelewa historia ni kitu kingine. Tusivutane hapa kama kuna uhusiano baina ya Wakhazari na Washkenazi (na kwa kiasi gani)
Hii ya "uovu" wa Khazar haina msingi kabisa.
Tena ilhali Wakhazari hawakuwa mababu wa Waukraine wa leo (ambao ni Waslavoni, wana mababu pamoja na Warusi) - hadithi yako ina uhusiano gani na Ukraine ya leo???
Tena mambo hayo yote hayana uhusiano na dai lako eti wanajeshi wa ukraine ni "100% Wanazi". Ambayo si kweli .
Jamani tusijaze nafasi hapa na upuuzi wa aina hiyo.
Kilichomponza ni Oligarchs walianza kumlalamikia Putin kuhusu issue ya Vita iliyopelekea Mali zao kukamatwa na kupigwa sanctions. Putin mtu mbaya sana,sasa kafungua mlango wa kifo chake,hawatamuacha salama.Habari za hivi punde Abromovich apata dalili za shambulio la kemikali
Sasa hivi Pro Russia mmekuwa na adabu kwenye kujibu hoja,mmeacha matusi na ule utoto wenu wa kwende kupekenyua nyuzi za watu za kitambo na kuja kuleta kwenye huu mjadala. Safi sana dawa imewaingia.Ukikua utaacha. Pole
Na kama akianza kuwapiga kwasabab wanapeleka silaha basi atakuwa mjinga na Coward but He's too Smart haezi fanya huo upuuzi. Kupeleka silaha sio kuingilia Ugonvi ile ni biashara kama biashara zingine.Naomba kuuliza, Putini alitangaza atakaeingilia hii operations yake atakiona Cha moto,
Swali, Je hao waingereza , Marekani na washirika wake kutoa misaada ya siraha UKRAINE Sio kuingilia operation yake? Vipi anawaogopa au? Mbona wanasaidia Ukraine na hawakioni Cha moto alichotangaza?
Kuuliza Sio Ujinga.