Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Nipo,Ila battlefield pamepoa Sana,..mnakwama wapi Warusi,?
warusi wa bongo ni viazi kama mzee wao .
Utasikia yakisema NATO na US wanamwogopa Putin.
Wakati huo kichaa wao ameivamia Ukraine akiishutumu inataka kujiunga NATO hivyo inahatarisha usalama wake .
Tumesha yazoea humu kelele tu mengi ni akiri za Dr Shika .
 
Sahihisha SWIFT wamefungiwa this year. Pia sio benki zao zote zimefungiwa hapo kwenye SWIFT. Benki zinazopokea miamala ya gesi na mafuta kutoka ulaya hazijafungiwa. Halafu ufaransa imegoma kununua kwa rubble maana mikataba iliyopo inasema italipwa kwa dollar za kimarekani /Great briain pound or Euro. Rudi kasome taarifa zako kwanza. Na pia hiyo system ya kichina haiwezi kupitisha dollar. Inapitisha Renminbi ya kichina tu na hiyo rubble ya kirusi. Yeyote anayefanya transcaction ya dollar lazima utumie SWIFT. China ameshaonywa na marekani kuhusu kumsaidia huyo Mrusi. Uwezo wa kumsaidia anao ila kukitokea vita ya kiuchumi kati ya marekani na china anayeumia ni mchina maana kuna baadhi ya technologia bado hana na pia watu wote wanaofanya nae biashara wanatumia dolar na sio fedha ya kichina.
Tech ipi ambayo UCHINA hana?
 
In Barcelona, for the fourth day in a row, transport workers block the motorway, protesting against the rise in fuel prices.

About 70 people took part in today's action, reports 20minutos.

After the introduction of anti-Russian sanctions, prices for gasoline and food began to rise. People all over Europe go to rallies.
Galip SV Liwagu View attachment 2167394
ngoja waje wale wazee wa PROPAGANDA
 
warusi wa bongo ni viazi kama mzee wao .
Utasikia yakisema NATO na US wanamwogopa Putin.
Wakati huo kichaa wao ameivamia Ukraine akiishutumu inataka kujiunga NATO hivyo inahatarisha usalama wake .
Tumesha yazoea humu kelele tu mengi ni akiri za Dr Shika .
NATO imeundwa kwaajili ya RUSSIA
RUSSIA sio ZIMBABWE
 
ruble mtafanyia nn mkuu? china turkey na india wanapokea ila wana limits, putin ana jambo lake au ni kuwakomesha tu wazungu? au ruble inaleta mapinduzi kwe global financial systems, mwaga mambo hapa mkuu
kama hili la RUBO linaenda kufanikiwa niwazi kwamba mwanzo wa mwisho wa DOLA utakua umekaribia zaidi
PUT IN wala hataki kumkomoa mtu anafanya hvyo kama njia yakukabiliana na athari za VIKWAZO ambavyo kaekewa na hao hao WAZUNGU ila naona hatua anazotaka kuzichukua kukabiliana na hivyo vikwazo kama zitakubali zitakua khattar sana kwa DOLA nasarafu nyengine kama EURO na POUND
angalizo kama RUBO itafanikiwa
 
Warusi ni mabingwa wa kucheza chess duniani, kwa wasiojua chess ni mchezo wa kijasusi unasoma mawazo ya mtu mwingine na namna ya kumzuia.
Us alipanga kumgombanisha urusi na ulaya na amefanikiwa kumfanya awekewe vikwazo na kuharibu uchumi wa urusi.
Alichofanya urusi ni kuwagombanisha viongozi wa ulaya na wananchi wake na kuhakikisha ulaya wanaathirika zaidi na vikwazo alivyowekewa ambavyo vimesababisha mfumuko mkubwa wa bei.
Kitendo cha urusi kutaka kuuza mafuta na gesi kwa pesa yake au dhahabu ni pigo kwa us kwani thamani kubwa ya pesa yao ni jinsi inavyotumika kwenye biashara ya gesi na mafuta, libya na irak walitaka kujaribu matokeo yake viongozi wake waliondolewa na kuuawa lakini us hawezi kufanya hivyo kwa mrusi zaidi ya kumwekea vikwazo. Ipo hatari ya nchi nyingine kufata mkumbo wa urusi na kuzidi kushusha thamani ya dola.
Hoja ya nchi za ulaya kukataa kununua kwa pesa ya urusi kwa kisingizio cha mikataba haina nguvu kwani wao ni wahitaji zaidi na kauli ya putin hawafanyi hisani haiwapi nguvu ya kushindana naye.
 
Back
Top Bottom