Cash Generating Unit
JF-Expert Member
- Jan 12, 2019
- 13,284
- 39,513
Rassia imefanikiwa kutesti S-550 air-defense system....
Hii inadungua sio tu masetilaiti ya Marekani bali hata hypersonic missiles (makombora ambayo Marekani bado anambwela mbwela kupata teknolojia ya kuyatengeneza[emoji1787][emoji23])
Wakati Marekani akimbwela mbwela kutafuta namna ya kutengeneza makombora ya haipasoniki, Russia kishayatengenezea air-defense system ya kuyadungua (S-550)
Wakati makorokocho ya Marekani (THAAD, Patriot PAC-3 n.k.) yanaweza kushambulia tagets zilizo juu kimo cha chini ya kilomita 30, S-550 ya Mrusi inaweeza kuangamiza tageti hata iliyo juu kimo cha makumi ya maelfu ya kilomita.
View attachment 2167407
Hawa jamaa hawana mpinzani kwenye masuala ya millitary teknology. Ndomana NATO wanaogopa wewe unahaha kutest hypersonic mwenzako tyr ana airdefense aiseee RUSSIA sion watu wazuri[emoji119][emoji119]