Huyu anamilk hedge fund huko marekan, km kwa hedge funds zngne zozote unapotokea mgogoro sehem yoyote dunian lazima wafuatilie sn coz kutokana effect za kuchumi na kifedha, wao huwa km wanabeti kuhusu masoko ya fedha,makampuni, sarafu nk kwa kupredict their future movements, alishawah kupiga km 1billion usd miaka ya tisin kwa khedge against bank kuu ya ungereza, kulingana na hio reputation sometime anaweza tu kucomment kuhusu hali ya sarafu yako ukakuta inayumba japokua haikutakiwa iyumbe, pia ni mwanaharakati , serikali nyingi hasa zilzo against ubeberu zinamchukia sana huyu jamaa..unaweza google ukamsoma zaidiWakuu George Solos ni nani katika vita vya ukraine
Presidaa anasema ni kauli binafsi sio Sera, huo ni uchochezi,,, Babu kazeeka,
unaeza ona nfustructures duni tu za ukraine zinaleta shida hv kwe mapambano sasa hizo nfustructres za nato zikiwepo kwe makumi ya nchi zinazomzunguka yeye hali itakuwaje mgogoro ukiibuka? tena vita ya ukraine ni somo kubwa sana kwa pande zote zenye interest kwe mgogoro huu ndio maana hata wanaodai kuwa kuna baadhi ya nchi znapenda kuona ikiendelea wanaweza kuwa na point, kwe vita ya iraq urusi alikuwa busy kuwasoma wenzie, ukraine wenzie wako busy kumsoma yeye, dunia iko hivyoAiseee sasa kwanini waogope
😀😀😁😁🤣😂🤣Hapa mtaani kwangu tushaanza kutumia hiyo ruble ya urusi kama huna ruble hata maandazi hupati
kwi kwi vifaru vyenu hivyo kyiv mmefurushwa mmebakia kwenye kakitongoji mnajipanga upyaView attachment 2168106View attachment 2168108View attachment 2168109View attachment 2168110hapa ni hostomel kiev kutokana na kipigo alichopata wajed wa ukraine wakaamua kutelekeza silaha
Vita ya kunguru(Russia Vs NATO+USA+EU) anayeumia ni nyasi(Ukraine)Presidaa anasema ni kauli binafsi sio Sera, huo ni uchochezi,,, Babu kazeeka,
Poleni sana Ukraine kwa kuruhusu vita dhidi ya Russia vs USA+NATO
kiev urusi imeizingila na vitongoji vyote vipo chin ya urusi mapigano ya mtaani kama mariupol badokwi kwi vifaru vyenu hivyo kyiv mmefurushwa mmebakia kwenye kakitongoji mnajipanga upya
Yule waziri wenu wa ulinzi yukhali gani baada ya kuzamishwa meli vita mbili kule ukraine kwi kwi kwi