Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Mazungumzo ya Russia-Ukraine - mfumo 'unaojenga' umefichuliwa Mpatanishi mkuu wa Urusi Vladimir Medinsky amefichua mambo muhimu ya mazungumzo ya Istanbul: [emoji3502]Ukraine iko tayari kuwa taifa lisiloegemea upande wowote, lisiloweza kumiliki silaha za nyuklia, kwa uhuru uliohakikishwa kimataifa [emoji3502]Dhamana hazitapanuliwa hadi eneo la Donbass na Urusi inayomiliki Rasi ya Crimea - jambo ambalo litafanya Kiev kuachana rasmi na wazo la kuzitwaa kijeshi. [emoji3502]Kiev alipendekeza kujumuisha katika makubaliano kwamba Moscow haitakuwa dhidi ya kuingia kwa Ukraine katika EU [emoji3502]Ukraine haitaweza kuwa na uwepo wowote wa kijeshi - ikiwa ni pamoja na NATO na vikosi vya Urusi [emoji3502]Kiev inaomba mkataba wa mwisho urasimishwe na wakuu wa nchi za Urusi na Ukrainia
 
Duuh kama ni hivyo wataingia kiev
Kyiv waliguswa guswa tu
20220329_171835.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hatimaye Urusi imekubali yaishe:
Russia’s deputy defense minister says Moscow has decided to “fundamentally cut back military activity in the direction of Kyiv and Chernigiv” in order to “increase mutual trust for future negotiations to agree and sign a peace deal with Ukraine.”
 
Hatimaye Urusi imekubali yaishe:
Russia’s deputy defense minister says Moscow has decided to “fundamentally cut back military activity in the direction of Kyiv and Chernigiv” in order to “increase mutual trust for future negotiations to agree and sign a peace deal with Ukraine.”
Ndiyo baada ya Ukraine kukubali masharti ya russia.yaani Warusi wamefanikiwa.
 
Kwanza kabisaa awali ya yote Mjue kabisa Kambi ya East na Urusi yake wana nguvu! za kipekee!! kuliko western allies kabisa bila kumung'unya maneno! na NATO Wanajua kuwa wao hawawezii ila mdomo ndo unawasaidia Kwa sababu hii kubwa:

1; Walishindwa kumng'oa Rais Asad msharika wa Russia mpaka sasa, dakika hii ana peta!

2; N.Korea ni jiwe gumu wana jua muziki wake!na huyu kwa mchina/Mrusi humwambii kitu! kwa pembeni hapa yupo mjapani!! huy bana yupo kati kwa kati na ni rahisi kushawishiwa na Russia akakubali kuwa mshirika!

3; Western Allie vikwazo vya kiuchumi walivyo viweka vinawaumiza wao wenyewe! tena si kitoto!! baadhi ya washirika wamegoma kuiwekea vikwazo Russia maanake watakufa kwa njaa na baridi bila Gas kutoka Russia!

4; China de sleeping giant ana uswahiba wa karibu na Russia!...nzuri zaidi ni jirani yake! mwenye sera mfanano za kijamaaa! jirani hawezi pigwa mawe wewe una shangilia wakimaliza kwake wanakuja kwako! hii tu inatosha kujua china yuko upande gani!

5; Russia binafsi Ana resourses nyingi ambazo hazijaguswa!... pia hana matumizi mabaya ya kutunza makoloni ya zamani kifupi ana hela! na mauwezo karibu yote!! na siraha zake mpya za miaka ya 70 hazijatumika popote na wala hazina wa kufafanana nazo!

6; Anajua kwamba Western Allies wanamwaogopa vibaya sana! na hawamuwezi kwa lolote!! ila wamebakia maneno maneno tu!

7;Makoloni yake ya zamani haya wapendi hao western allies kwa uigizaji na majigambo ya muda mrefu hiyo, na ahadi hewa wanazopewa, mara wahadaiwe kwenye misaada kupitia IMF. WB, kwa adha km hizi ni rahisi nchi zilizokuwa makoloni ya western hasa Africa kugeukia upande wa Russia na China Mazimaaa bila kumung'unya maneno! tena wazi wazi make hawana cha kupoteza!


8'Western Allies wanajua kuwa wamechokwa hasa Hasa na watu wa Makoloni yao na Dunia kiujumla kwa kifupi sababu ya undumila kuwili wao sometimes tena wa waziwazi kabisaaaa! kana kwamba hao wanaofanyiwa hivo yaani ulimwengu wa tatu ni mataahira! majinga, maskini,wapenda vya bure! shida mingi! wanaoporwa mali zao buree! km dhahabu, almasi. mafuta mchana kweupeee bila kujiteteta !...sometimes kwa kupewa kahela kiduchuuuu!! sasa Eastern Allies kwa wao wanakuja na mikakati rafiki yaani unakuwa mshirika mwaminifu, unapewa chako kikubwa tu cha kukutosha!! ili mradi una ushirika nae! asa utamuacha???

9; Western anajua akipoteza hawezi nyanyuka kamwe ndo jumla hiyo!!

Bandugu nina mengi ngoja niishie hapa niwaachie nafasi na nyie mje na hoja zenu!!.....
 
Hatimaye Urusi imekubali yaishe:
Russia’s deputy defense minister says Moscow has decided to “fundamentally cut back military activity in the direction of Kyiv and Chernigiv” in order to “increase mutual trust for future negotiations to agree and sign a peace deal with Ukraine.”
Wanasemaga ivo! ili kupima upepo!! wanasiasa hasa wa kimataifa hawana jibu la moja kwa moja!.....utadhania matahaira
 
Putin anasema mfumo wa kulipia manunuzi ya gesi kwa rubles (sarafu ya Russia) waendelea kukamilishwa. Russia itaandaa taratibu za kiutendaji Thursday (kesho kutwa) ili makampuni ya kigeni yalipie manunuzi ya gesi kwa pesa ya ruble.

Russia imesisitiza kuwa makampuni hayo yalipaswa yaelewe kuwa vita vya kiuchumi vilivyotangazwa na nchi za EU na wengineo, vimetengeneza taratibu mpya za kibiashara. "Hakuna mtu atakae-supply gesi dezoo/bure, hilo haliwezekani, na gesi hiyo unaweza kulipia tu kwa ruble", msemaji wa serikali ya Russia aliwaeleza maripota.

Screenshot_20220329-172549_Chrome.jpg
 
Hizi ndizo nchi 37 zilizonunua gesi 'moja kwa mja' toka Russia mwaka 2019.

Russia inachukua nafasi ya tatu katika kusambaza gesi duniani, baada ya Australia na Qatar (Qatar inaposema hakuna wa kufidia au kuziba mahitaji ya gesi ya Russia ktk nchi za Ulaya muwe mnaelewa nyie waUkraine wa Tandahimba na waMarekani wa Usoke!)

SmartSelect_20220329-174708_Chrome.jpg
 
-5051059450982541719_121.jpg

Mambo mengine ya hovyo sana, sasa haya kama wangekubaliana toka awali Ukraine ingeharibiwa kiasi hicho? Kiko wapi sasa kile walichokuwa wanakisimamia na kujifanya "Hawataki kupangiwa"... Sasa hivi wametulua tuliii ka kuku alonyeshewa mvua.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hatimaye Urusi imekubali yaishe:
Russia’s deputy defense minister says Moscow has decided to “fundamentally cut back military activity in the direction of Kyiv and Chernigiv” in order to “increase mutual trust for future negotiations to agree and sign a peace deal with Ukraine.”
Ulichokiandika hapo ni kipande tu kasome mkeka mzima utaelewa nani kakubali yaishe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
The US will not be able to provide Europe with gas if Russia suspends supplies.

This was stated in an interview with RT by the former Foreign Minister of Austria Karin Kneissl.

“As for the energy partnership that the US and the EC recently agreed in Brussels, the figures show that it will supply only a certain percentage of the volumes that EU importers really need.

In any case, it will take at least four to five years to phase out Russian gas imports. This year it will not work, ”she explained.
Galip SV Liwagu
20220329_102107.png


Earlier, Dmitry Peskov said that Western companies should understand the changed situation in the conditions of the economic war against the Russian Federation: it will be possible to pay for Russian gas only in rubles.
 
Back
Top Bottom