Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Albania huko watu waandamana kwenye majengo ya srikali kupinga mfumko wa bei za bidhaa mbalimbali uliosababishwa na kupanda kwa bei ya wese

SmartSelect_20220329-223508_Chrome.jpg
 
Sawa ukipenda kumpa Putin taji la ushindi, bila shaka litamfariji sana wakati uchumi wake unaendelea kuporomoka.
Ilhali hakuna aliyekuwa tayari kupokea Ukraine katika NATO kabla ya uvamizi, utaiona kama hekima kubwa kwa Putin kuchinja maelfu ya vijana wake hadi Zelensky anasema mwenyewe kwamba hataendelea kutafuta nafasi ya kujiunga na NATO?
Na bila shaka unaiona kama hekima kubwa ya Putin kuimarisha NATO pamoja na nafasi ya Marekani katika Ulaya?
Sawasawa...
Acha unafki basi mzee .... Ebu angalia libya yetu hapa hapa afrika wala tusiende kwingine ......je ni sawa walivofanya ..marekani na ufaransa kuipiga libya mabom tena wakaweka NO FLY ZONE ....nchi yenye uhuru wake .....asa hivi wanaiba mafuta huko beghazi ......huku wakimwaga silaha watu wauwane wao haiwasumbui .....punguza unafki kidoho mzee ......CONGO hapa jirani yetu kila kukicha tunaskia kachinjwa huyu mara hivi .., ....MSUMBIJI hapo ....kugundulika kwa gesi tu tayari wameibuka waasi kusiko julikana ....NIGERIA ...kule .kwenye mafuta .....[emoji41][emoji41][emoji41][emoji41].....wewe sio mgeni kwa wanachokifanya wamaeekani hapa dunian ..........
 
Vietnam Kaskazini ilishambulia Kusini ; serikali ya Kusini iliomba Marekani kuingia na kusaidia. Hali halisi mamb
Utata unaouona kwenye suala la Vietinam ndiyo huo huo tuna uona Ukraine ! Republics mbili za Donestik na Luhangski zikiwa huru ziliomba msaada wa kujilinda baada ya kushambulia kwa miaka saba kabla ya kujitenga rasmi na Ukraine magharibi. Russia kama alivyofanya US kwa Vietnam ya kusini, akasailisadia na anaendelea kusaidia republics hizi huku akitangaza kuhakikisha anatekeleza operesheni ya kuondoa unazi na nguvu ya kujeshi itakayosumbua republics hizi.

Kwa hiyo, hiyo sheria yako ipitie upya, ili uweze kushawishi baraza hili adhimu la JF linalofuatilia mjadala huu.
 
Russia Lost the war, baada ya mazungumzo

Ukraine wamekubali kutokuwa na Upande na kutjiunga NATO kwa Makubaliano ya Kusaidiwa ulinzi na Mataifa ya NATO, pia Russia wamekubali Ukraine wajiunge na EU, This means ikitokea Russia anavunja Mkataba wake kwa Ukraine basi Itabidi apigane na Turkey, UK, US na Germany.

Hili ni somo kwetu ambao Marais wetu wananguvu ya kufanya hata wanayoambiwa na wenza wao
Is EU a military alliance!? Kuna kipengele cha collective defence kwenye EU!? Alafu kwanza nikuulize Turkey ipo EU!?

Demilitarization, Denazification, Protecting of Russian speaking UKr of PRL & PRD. Hizo ndio lilikuwa lengo la Urusi hapo UKR

Russia lost the war!? Which war!? Hahaha

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Russia Lost the war, baada ya mazungumzo

Ukraine wamekubali kutokuwa na Upande na kutjiunga NATO kwa Makubaliano ya Kusaidiwa ulinzi na Mataifa ya NATO, pia Russia wamekubali Ukraine wajiunge na EU, This means ikitokea Russia anavunja Mkataba wake kwa Ukraine basi Itabidi apigane na Turkey, UK, US na Germany.

Hili ni somo kwetu ambao Marais wetu wananguvu ya kufanya hata wanayoambiwa na wenza wao
Wewe pro marekani .....kwa hiyo unawachukulia warusi ni mapongoyoyo zumbukuku ......yaani unarahisisha tu eti Germani turkey sijui ufaransa wataipiga russia ikikiuka mashart kirahisi rahisi tu ...
..hizi ndoto za mchana tuziachege jamani .[emoji848][emoji848][emoji848]...kwamba russian wao hawajaweka mashart yao mezani .....
 
, kiuchumi na kisiasa na jinsi vita ilivyokuwa inazidi kuwa bloody kila kukicha haikuwa ktk interest ya urusi kuendelea, shida unaangalia ktk angle ya kijeshi pekee. kuhusu swal lako km vita ikiendelea mda mrefu kiev itaanguka maana russia ina uwezo mkubwa kuliko ukraine
Hapo Sasa umeeleweka.
 
Mkuu hapa hatujadili ninani yuko sahihi au nani asiye sahihi.

Maana Ukraine na Urusi wote wako sahihi kwa minajili ya maslahi yao .
Upande wa Ukraine una pigana kulinda mipaka na uhuru wa nchi yao na upande wa Urusi inapigana kuhakikisha mipaka yake ina baki salama ,na mshindi ni yule atake hakikisha ana timiza kile alicho enda kupigania.

Unanichekesha sana, yaani unaona ni sawa kwa raisi wa Ukraine tuteketeza maelfu ya vijana wa nchi yake na miundo mbinu waliyo ijenga kwa miongo kadhaa kwa ajili ya kulitetea taifa lao ,ila hapo hapo unaona si sahihi kwa Putin kuteketeza vijana wake kwa ajili ya usalama na maslahi ya taifa lake?

Mwana jeshi hajawa mwana jeshi kwa ajili ya kuvaa magwanda na kubebelea bunduki kama pambo, bali yupo kwa ajili la kufa akipigania maslahi ya taifa lake lililo mlea kwa hiyo hata akifa hakuna mjadala juu ya hilo.
Hata sisi tuna vijana wetu hapo kongo na mpaka sasa ni zaidi ya vijana kalibia 40 wamesha uawa hao vijana walikuwa na familia,wazazi ,marafiki walio wapenda lakini walikufa kwa ajili ya kutetea maslahi ya taifa na hilo ni jukumu lao na wala sio ombi.
Mkuu ana jenga hoja zake kiajabu kweli huyo. Unaweza kushangaa sana.
Ndio walivyo lakini.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Nianze na hukumu ya Mahakama ya KImataifa ya Umoja wa Mataifa dhidi ya Uganda kwenye Februari 2022; milioni $ 325 kwa JD Kongo kama fidia kwa uharibifu uliosababishwa na jeshi la Uganda katika Mkoa wa Ituri wakati wa vita ya Kongo 1998-2005.
Ujerumani ililipa miaka mingi fidia kwa uharibifu uliosababishwa nayo wakati wa vita kuu. Iraki ilipaswa kulipa bilioni kwa uharibifu uliosababishwa nayo wakati wa kushambulia Kuwait.
Swali lako kuhusu Vietnam ni nzuri, nakubali Marekani ingelipa zaidi (ililipa kidogo sana kwa kusafisha sumu ya kuua misitu) lakini naona pia hapa sheria haitoshi, maana Marekani haikushambulia Vietnam; Vietnam Kaskazini ilishambulia Kusini ; serikali ya Kusini iliomba Marekani kuingia na kusaidia. Hali halisi mambo yaliendelea tofauti jinsi tunavyojua, ila kisheria ni jambo tata.

Afghanistan kisheria ni tata pia (ingawa nakubali kabisa kiutu na kimaadili kuna makosa makubw aupande wa magharibi) maana vita ilianza kwa mashambulio dhidi ya Marekani iliyoongozwa kutoka afghanistan.

Katika Ukraine sioni utata wa kisheria. Urusi ilivamia, bila kutendewa uovu wowote. Ilivamia bila kutangaza rasmi hali ya vita, hivyo ikavunja mkataba wa kimataifa wa Haag (ambao inakubali). Ikasababisha uharibifu mkubwa; katika miji kama Mariupol ilitumia silaha kali dhidi ya watu raia.
Sina shaka kwamba ingetosha kwa hukumu mbele ya Mahakama ya Kimataifa.
Umeombwa nukuu ya sheria

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
km ukraine itajiunga EU basi russia atakua ameipoteza Ukraine moja kwa moja,
EU Sio NATO.
Urusi Hana shida na Eu.
Kuna Wana NATO wengine sio wa EU,mfano Ututruki.
Na kuna Wana NATO wengine sio wa EU mfano UK.
Na kuna wa EU wengine sio wa NATO mfano Finland na Sweden.
Ukiwa EU Russia Hana shida na wewe,
Yeye ana shida na NATO.
 
Utata unaouona kwenye suala la Vietinam ndiyo huo huo tuna uona Ukraine ! Republics mbili za Donestik na Luhangski zikiwa huru ziliomba msaada wa kujilinda baada ya kushambulia kwa miaka saba kabla ya kujitenga rasmi na Ukraine magharibi. Russia kama alivyofanya US kwa Vietnam ya kusini, akasailisadia na anaendelea kusaidia republics hizi huku akitangaza kuhakikisha anatekeleza operesheni ya kuondoa unazi na nguvu ya kujeshi itakayosumbua republics hizi.

Kwa hiyo, hiyo sheria yako ipitie upya, ili uweze kushawishi baraza hili adhimu la JF linalofuatilia mjadala huu.
Asante, umeleta mfano mzuri. Bado kuna tofauti muhimu. Vietnam kaskazini ilikuwa iliingia ndani ya Kusini, kusaidia waasi Wakomunisti waliopigania dhidi ya serikali ya kusini. Hadi hapo unaweza kuilinganisha. Kwa hiyo Marekani ilituma wanajeshi wa kwanza kusini kuimarisha serikali yake (kama Warusi katika Donbass). Baadaye Marekani ilianza kutupa mabomu kaskazini na kutuma wanajeshi wengi Vietnam Kusini, lakini mapigano yalitokea katika Kusini pekee. Jeshi la Marekani halikuingia Vietnam Kaskazini.
Ila Jeshi la Urusi lilivamia moja kwa Ukraine.
 
sasa manmbo yakiisha namna hii nani anakuwa mshindi wa siatuation nzima?? je makubaliano haya ni kwamba ukraine atakamilisha ndoto nyingine ya kujiunga EU baada ya nato kuota mbawa, je waukrane na urusi ule undugu aliosema putin utaendelea au ndio unaishia hapa?
Jamaa yangu,ni hivi EU Sio umoja wa kijeshi,
Shida hapo ni NATO.
Uingereza haimo EU lakini imo kwenye NATO.
Urusi hataki majeshi ya USA jirani kwake.
 
Acha unafki basi mzee .... Ebu angalia libya yetu hapa hapa afrika wala tusiende kwingine ......je ni sawa walivofanya ..marekani na ufaransa kuipiga libya mabom tena wakaweka NO FLY ZONE ....nchi yenye uhuru wake .....asa hivi wanaiba mafuta huko beghazi ......huku wakimwaga silaha watu wauwane wao haiwasumbui .....punguza unafki kidoho mzee ......CONGO hapa jirani yetu kila kukicha tunaskia kachinjwa huyu mara hivi .., ....MSUMBIJI hapo ....kugundulika kwa gesi tu tayari wameibuka waasi kusiko julikana ....NIGERIA ...kule .kwenye mafuta .....[emoji41][emoji41][emoji41][emoji41].....wewe sio mgeni kwa wanachokifanya wamaeekani hapa dunian ..........
Sielewi mambo hayo yana uhusiano gani na yale niliyosema? Nilimjibu mtu aliyetaka kumtangaza Putin kuwa mshindi mkubwa akijibu hoja langu simwoni mshindi kweli . . .
 
Mkuu una wakati mgumu sana,mshindi wa vita ni yule aliye timiza lengo lilimpeleka vitani haijalishi amepata hasara kiasi gani.

Urusi tangu mwanzo ili kuwa inakataa Ukraine kujiunga na NATO lakini viongozi wa Ukraine waka endelea na ukaidi.

Na kama una kumbuka vizuri Urusi ilisha iandikia barua mpaka Marekani ikitaka kupewa hakikisho la Ukraine kutojiunga na NATO jibu la Marekani likawa hapana na kejeli kibao.
Tamaa kubwa ya Ukraine ni kujiunga na NATO lakini kwa sasa mashambulizi ya Urusi yamesababisha abadili muelekeo ambapo ni dalili ya kushindwa.
Siku zote unapo razimishwa kufanya jambo lolote ambalo hautaki kufanya tiyari una kuwa umesha shindwa.
Uko sawa kabisa,hao waache wajifariji TU.

Na kwa hiyo Ukraine atatimiza masharti au matakwa ya Urusi,Sio Urusi kutimiza matakwa ya Ukraine kama yapo.
 
Back
Top Bottom