Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Sawa boss, ila anayehukumu si wewe Mathanzua na sababu ww ni mkristo utakubaliana na mm kuwa kila mtu atahukumiwa kwa Matendo yake, mwenye kipimo cha hayo matendo yupo hivyo tusipende sana kumsemea. Kuna watu vijiji vya India, China, Misitu ya amazon huko hata YESU hawajawahi msikia na wamelala mavumbi huenda wakiwa na matendo safi mbele ya mtoa hukumu.
Huyo mwenye matendo safi maana yake ni kwamba ana Yesu hata bila ya yeye kujua.
 
niliposoma marengo badala ya Malengo nikaacha kusoma gazeti lako all in all jifunze kuandika kiswahili vizuri
ngoja nipate muda nitasoma hili gazeti
Mkuu huwa unanifurahisha na lugha unayoitumia katika tweets zako!
 
YouTube has unblocked the “Moscow speaking” account, the radio station said.
Galip SV Liwagu
20220329_102107.png
 
Sasa kwa bahati mbaya wateja wake hawana hizo sarafu na hata mkataba walioingia hausemi watalipa kwa Ruble au dhahabu.
Najua mkataba haukua hivyo, ila mkataba sio bible au Quran. Kwa situation ilivyo Russia hana cha kupoteza ulaya, ameanza kutafuta alternative ya wateja, ni wao sasa wateja kujiongeza. Vita ya uchumi haina mbabe, labda kwa shithole countries.
 
Zelensky ali bet maisha ya wenzie, kuna kitu amejifunza juu ya unafiki wa west. Taiwan ajifunze kitu pia.
Luna mchangiaji mmoja humu kaja na mfano mwepesi kasemaje kama Palestine (Hamas) wanajua kuwa Israel inanguvu kuwazidi na inafanya uharibifu mkubwa uhasama ukianza si nao wangekubali tu(kutawaliwa) ili yaishe na uharibifu na vifo visiwepo!

Siyo maoni yangu nimekopi tu kutoka kwa mdau, so changanua labda unaweza kupata something .

Kwangu wangekubali mapema Luna yafuatayo yangetokea;

*Utawala wa sasa ungetolewa na kuwekwa wa kibaraka

*wangepoteza majimbo mawili Donetsk na lughask + (Chrrimea)

*Wangepoteza Sovereight yao au kuto exist tens kama nchi huru.

*wasingeweza kujiunga na EU.

*Jeshi lao lingewekewa masharti zaidi ya like LA Japan.
*Wengeendelea kuwa maskini hata baada ya miaka 50 ya vita.

*Wangetawaliwa kidikteta.

*na mengineyo mengi madogo madogo.

#kuna baadhi ya watu humu wanasema lengo LA Uvamizi siyo Regime change waongo either Sabah is a Gaulish a au wanataka kupotosha badhi ya watu wasiofuatilia vizuri mgogoro huu .
 
Yajayo Yana furahisha kinacho enda kumpata Putin itakua n funzo kwa dunia

Uzuri Russia Inajua Nato Na Wapambe Wao Ni Mabingwa Wa Vita Ya Maneno[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

Vitisho Na Maneno Mmeanza Kuongea Kabla Ukrein Haijachakazwa Mpka Sasa Imebaki Majivu Bado Mnaongea

Maneno Yale Yale[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Itategemeana na Russia,kama ataona plan yake sio operation kuwa ya muda mrefu basi anaweza kubadili strategy take kijeshi na bado akafanikisha dhumuni lake maana uwezo wa kijeshi wa kuamua hilo anao.
Mimi kweli ila kwa gharama kubwa!
 
Najua mkataba haukua hivyo, ila mkataba sio bible au Quran. Kwa situation ilivyo Russia hana cha kupoteza ulaya, ameanza kutafuta alternative ya wateja, ni wao sasa wateja kujiongeza. Vita ya uchumi haina mbabe, labda kwa shithole countries.

Kwenye Swala La Kuwekeana Vikwazo Huwa Hatuangalii Mikataba Inasemaje?

No Ruble No Ges[emoji23]
 
Sawa ukipenda kumpa Putin taji la ushindi, bila shaka litamfariji sana wakati uchumi wake unaendelea kuporomoka.
Ilhali hakuna aliyekuwa tayari kupokea Ukraine katika NATO kabla ya uvamizi, utaiona kama hekima kubwa kwa Putin kuchinja maelfu ya vijana wake hadi Zelensky anasema mwenyewe kwamba hataendelea kutafuta nafasi ya kujiunga na NATO?
Na bila shaka unaiona kama hekima kubwa ya Putin kuimarisha NATO pamoja na nafasi ya Marekani katika Ulaya?
Sawasawa...

Marekani na wapambe wake wa nato wamechinja watoto na wanawake zaidi ya milion 11 Libya iraq afaghanistan yemen sirya
 
Mk

Mkuu kumbuka mwanzoni mwa vita Russia walishawahi kusema/kuwaambia wanajeshi wa Ukraine wamuondoe Zelennsky Ila hawakumsikiliza.(means regime change) .
Mkuu usiwe msahaulifu, nakukumbusha!
Pia mkuu ulimuelewaje Putin aliposema moja ya malengo ya operation ni demilitarization and denazification( slidai kuwa uongozi uliopo ni wakinazi mamboleo na wauza unga) .
Na zelensky amenusurika assassination Mara 3 ..
Sasa uanaposema kuwa moja ya malengo yake siyo kutoa uongozi uliopo madarakani nakushangaa kidogo (rudia kusoma/kufuatilia mwanzoni kwa operation utaelewa)
Kuna saboteurs na spetnaz walishafika mpaka mitaa ya Kiev (Obolon) na wengine walikuwa wanashushwa na ndege kusini mwa Kiev Ila bahati mbaya kwao hawakufanikisha malengo yao.
Angalizo unapofuatilia kitu acha ushabiki na mapenzi pembeni wewe deals na uharisia kwanza.
 
Sawa ukipenda kumpa Putin taji la ushindi, bila shaka litamfariji sana wakati uchumi wake unaendelea kuporomoka.
Ilhali hakuna aliyekuwa tayari kupokea Ukraine katika NATO kabla ya uvamizi, utaiona kama hekima kubwa kwa Putin kuchinja maelfu ya vijana wake hadi Zelensky anasema mwenyewe kwamba hataendelea kutafuta nafasi ya kujiunga na NATO?
Na bila shaka unaiona kama hekima kubwa ya Putin kuimarisha NATO pamoja na nafasi ya Marekani katika Ulaya?
Sawasawa...
Mkuu hapa hatujadili ninani yuko sahihi au nani asiye sahihi.

Maana Ukraine na Urusi wote wako sahihi kwa minajili ya maslahi yao .
Upande wa Ukraine una pigana kulinda mipaka na uhuru wa nchi yao na upande wa Urusi inapigana kuhakikisha mipaka yake ina baki salama ,na mshindi ni yule atake hakikisha ana timiza kile alicho enda kupigania.

Unanichekesha sana, yaani unaona ni sawa kwa raisi wa Ukraine tuteketeza maelfu ya vijana wa nchi yake na miundo mbinu waliyo ijenga kwa miongo kadhaa kwa ajili ya kulitetea taifa lao ,ila hapo hapo unaona si sahihi kwa Putin kuteketeza vijana wake kwa ajili ya usalama na maslahi ya taifa lake?

Mwana jeshi hajawa mwana jeshi kwa ajili ya kuvaa magwanda na kubebelea bunduki kama pambo, bali yupo kwa ajili la kufa akipigania maslahi ya taifa lake lililo mlea kwa hiyo hata akifa hakuna mjadala juu ya hilo.
Hata sisi tuna vijana wetu hapo kongo na mpaka sasa ni zaidi ya vijana kalibia 40 wamesha uawa hao vijana walikuwa na familia,wazazi ,marafiki walio wapenda lakini walikufa kwa ajili ya kutetea maslahi ya taifa na hilo ni jukumu lao na wala sio ombi.
 
Back
Top Bottom