Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Kuuliza 'Russia ana silaha gani bana?' Kutamfanya mtu asikujibu maana suali ulilouliza linaonesha itakuwa ngumu kuelewa jibu! Mtu anayejua military 'stuffs' hata layman hawezi kuuliza swali kama hilo. Wewe ni beyond layman. Hatuwezi kumfundisha mtoto hesabu za aljebra wakati yeye yupo kwenye '...unaweka moja kichwani...'

Kaa hapo hapo kwenye 'Russia ana silaha gani bana?'

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Mimi nilishaacha kujibu hawa watu baada ya kugundua pro NATOAMERICA ni watoto .
 
SmartSelect_20220331-172948_Twitter.jpg
 
Imepanda kutoka 60%s kabla ya vita mpaka 70%s kama hiyo kwako inamaanisha kushuka basi mambo yanastaajabisha zaidi huko kwenye 'perspective' yako.

Russia chini ya VVP imeheshimika sana duniani. Kuanzia kumkingia kifua Assad huko syria, maduro Venezuela, Crimea, na sasa Zelensky. Si umewahi kusikia influence za Urusi kuwin host ya WC mpk kina Blatter wanajiuzulu. Umesahau operation Lakhta iliyoamriwa na VVP mwenyewe kuinterfere uchaguzi wa marekani na kumuweka raisi wanayemtaka hahaha.

Undisputed Putin [emoji91]

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Vvp is above their level vibaraka wa US hawawez elewa
 
These and are fake news from the mainstream media.Hivi mtu na akili zako unaamini taarifa kutoka the Daily Express kweli,hayo si magazeti yao,unategemea waandike nini?Wake up,umelala sana!
Huo usingizi wa Pono hawezi hata kukubali Kama amelala akikubali saana atakwambia kafumba macho
 
Haya sio kweli, zilikua ishu za biashara tu ili mchina adondoke semiconductor mzalishaji mkubwa ni mmarekani akiwa anazalisha 44% zinazotumika duniani na mchina yeye anazalisha 5.6% zinazotumika duniani, ndege nazo mchina anazalisha na ni wa 10 kwa uzalishaji duniani kwa sasa hakuna kinachomshinda mchina walikua nyuma zamani sio leo tusidanganyane
Kutengeneza na kuwa na technologia ya kuweza kutengeneza ni changamoto mbili tofauti. Unaweza kutengeneza kwa kutumia technologia ya mtu. Siku akisema hakuna ujue ndo mwisho wako. China bado hajamaster technologia nyingi. Anazo ila kwa kukodishiwa kutoka marekani na ulaya
 
Kuuliza 'Russia ana silaha gani bana?' Kutamfanya mtu asikujibu maana suali ulilouliza linaonesha itakuwa ngumu kuelewa jibu! Mtu anayejua military 'stuffs' hata layman hawezi kuuliza swali kama hilo. Wewe ni beyond layman. Hatuwezi kumfundisha mtoto hesabu za aljebra wakati yeye yupo kwenye '...unaweka moja kichwani...'

Kaa hapo hapo kwenye 'Russia ana silaha gani bana?'

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Hapo Ni saw nakuanza kumfundisha kuvuka barabara babu aliyekulia kijijin Serengeti maisha yake yote[emoji3]
 
watu wabishi sana wakati ht ukiwakekea evidence
24 Nov 2021 — ASML is the only firm in the world capable of making the highly-complex machines that are needed to manufacture the most advanced chips.

unamuelekeza mtu anasema hujui kuandika, unamuwekea links still anabisha duh, nmenyoosha mikono
 
Kutengeneza na kuwa na technologia ya kuweza kutengeneza ni changamoto mbili tofauti. Unaweza kutengeneza kwa kutumia technologia ya mtu. Siku akisema hakuna ujue ndo mwisho wako. China bado hajamaster technologia nyingi. Anazo ila kwa kukodishiwa kutoka marekani na ulaya
yeah hasa semiconductors
 
Kremlin decree indicates foreign currency can still be used to buy gas
A Kremlin decree, published by state media, says “unfriendly countries” can continue to pay for natural gas in foreign currency through a Russian bank that will convert the money into roubles.


It sets out that a designated bank will open two accounts for each buyer, one in foreign currency and one in roubles.

The buyers will be able to pay in foreign currency and authorise the bank to sell that currency for roubles, which are placed in the second account, where the gas is formally purchased.


Pro Putin, US Dollar ni issue nyingine
 
Do yoy
Sijakataa kuwa hizo kampun haziwez andika circuits ktk level ya manometer na nkakutajia kuwa znaandika kwe size ya 45 lkn haziwez kuandika kuanzia size ya nanometer 10 na kushuka ambayo ni msingi wa hoja yangu but kila unapojibu unazunguka haujbu ni kampuni gani ya urusi ina fab ya kuandika nanometer 10 na kushuka, huwez andika hio size bla ultaviolet lithography machine, umetoa maelezo mengi sn but kuwa specifc just mention one russian fab inayoandika chip yenye size ya nanometer 10 na kushuka just one, kila mtu ana internet ataangalia, km huwez taja moja tu basi, mi ntakutajia samsung ,intel na TSMIC ukigoogle utasoma vzuri, ulizotaja ww zote hamna ht moja inayoandika kwa size hiyo, sjui ht tunabishana nn, unataja hizo lithography techs as if kila lithography tech znaandika size zote, ndio maana wantk kumuwekea sanctions asiagize advanced chip ambazo yy hawez tengeneza

Unajua nanotechnology ni nini!? Unaonekana hujui.
 
🇷🇺 Russian President Vladimir Putin has signed a decree on the procedure for the fulfillment of obligations to Russian natural gas suppliers by foreign buyers:

🔹the decree applies only to Gazprom's pipeline deliveries;

🔹Russian government commission on foreign investment will be able to issue permits for non-ruble gas payments;

🔹existing contracts for the purchase of Russian gas will be stopped if they refuse to pay in rubles;

🔹Russia will continue to supply gas in volumes and at prices stipulated by existing contracts;

🔹these prices are several times lower than current spot prices;

🔹the transition to settlements in rubles with Western buyers of Russian gas will strengthen the country's financial and economic stability, Putin said.
 
IMG_20220331_182617_735.jpg
IMG_20220331_182620_086.jpg


Ukrainian Motor Sich company asked the Turkish manufacturer of "Bayraktars" whether it was possible to spray aerosols from them.

This could prove that the Kiev regime was developing delivery vehicles for biological weapons with the possibility of using them against Russia, the Russian Ministry of Defence says.
 
Kremlin decree indicates foreign currency can still be used to buy gas
A Kremlin decree, published by state media, says “unfriendly countries” can continue to pay for natural gas in foreign currency through a Russian bank that will convert the money into roubles.


It sets out that a designated bank will open two accounts for each buyer, one in foreign currency and one in roubles.

The buyers will be able to pay in foreign currency and authorise the bank to sell that currency for roubles, which are placed in the second account, where the gas is formally purchased.


Pro Putin, US Dollar ni issue nyingine
Watapita kimya hapa
 
Back
Top Bottom