Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Kuna matoto majinga sana Bora ubadiriashane na Gunia la mkaa utapikia ... yaani nilienda kwenye Uzi wake huo nikawasoma nilipofika tu pale wanaulizana kwani HYPERSONIC MISSILE ndio ikoje inatofauti Gani na missile zingine nkaona hili darasa sio langu ntawachanganya Hawa watoto.
Movie za expendables zimekula bongo zao. Kweli USA wamefanikiwa kuua akili za vijana wengi kupitia kwenye propaganda za movie.
 
Kuna matoto majinga sana Bora ubadiriashane na Gunia la mkaa utapikia ... yaani nilienda kwenye Uzi wake huo nikawasoma nilipofika tu pale wanaulizana kwani HYPERSONIC MISSILE ndio ikoje inatofauti Gani na missile zingine nkaona hili darasa sio langu ntawachanganya Hawa watoto.
Hahahaha...wahurumie wanalinda Ugali wao kutoka kwa hisani ya watu wa Marekani.
 
Njia nyingine ya kujua kinachoendelea katika hii operation ya Urusi kwa Ukraine ni kupima majibu ya wafuasi wake kwa kuangalia aina ya matamshi wanayotoa wanapoielezea Urusi kwa wanaowakwaza.

Kuhusu Urusi kulipuliwa maoni yangu ni kuwa kuna watu hawataki hii vita iishe na hao watu si Urusi. Sidhani kama Urusi amefanya igizo la kujilipua.
 
Ukraine has started special operation in Russia😀😀

Leo fuel depot in Belgorod imechapwa on Tuesday ammunition depot ilipigwa

Joannah
 
Biden kumwaga mapipa milioni moja ya mafuta (kutoka hifadhi ya taifa ya mafuta)kwenye soko kwa kipindi kijacho cha miezi 6. Katika kipindi hiki cha miezi 6 uzalishaji utaongezeka kufidia pengo la mafuta ya Vladimir Putin. West imejipanga kweli kweli. Vladimir atasubiri sana hostile nations kununua mafuta kwa rubles. Kapewa middle finger.

“Today I’m authorising the release of one million barrels per day for the next six months – over 180 million barrels,” Biden told reporters from the White House on Thursday afternoon.
“This is a wartime bridge to increase oil supply until production ramps up later this year. And it is by far the largest release from our national reserve in our history.”
Wachambuzi wa uchumi wanasema hiyo ni kama kumwaga gunia la sukari baharini!
Demand ni mapipa milioni 100+ per day!Sasa hayo mapipa milioni 1 yatareplace vipi Pipa mil 100+!
Biden anahaha maana Kuna uchaguzi unakaribia hivyo anajaribu kupunguza makali Kwa wananchi wake!
 
After leaving the Council of Europe, Russia will save about 34 million euros, RIA Novosti was told in the Russian Foreign Ministry.
Galip SV Liwagu
20220329_102107.png
 
Njia nyingine ya kujua kinachoendelea katika hii operation ya Urusi kwa Ukraine ni kupima majibu ya wafuasi wake kwa kuangalia aina ya matamshi wanayotoa wanapoielezea Urusi kwa wanaowakwaza.

Kuhusu Urusi kulipuliwa maoni yangu ni kuwa kuna watu hawataki hii vita iishe na hao watu si Urusi. Sidhani kama Urusi amefanya igizo la kujilipua.
Hanna kujilipua, Ukraine ndo amezichapa hizo facilities.
On Tuesday alitumia missiles Jana Leo ametumia helicopter mbili
 
Njia nyingine ya kujua kinachoendelea katika hii operation ya Urusi kwa Ukraine ni kupima majibu ya wafuasi wake kwa kuangalia aina ya matamshi wanayotoa wanapoielezea Urusi kwa wanaowakwaza.

Kuhusu Urusi kulipuliwa maoni yangu ni kuwa kuna watu hawataki hii vita iishe na hao watu si Urusi. Sidhani kama Urusi amefanya igizo la kujilipua.
A weaker Russia is good for the world
 
[emoji26][emoji26][emoji26][emoji26]....hili libarua lirefu kama reli ya kwenda kigoma ntalimalizia kesho nimesha lisoma robo ..........robo tatu ingine ntamalizia kesho ... wacha nilale ....
Soma,the details are important.
 
Kukomesha kiburi cha Urusi ni hizo bomba kuvunjwa
Kuvunjwa Bomba ni kupoteza muda na ujinga TU,
Dawa yake ni kuacha kununua mafuta ya Urusi na pia kama mmaweza kausheni hayo mafuta ardhini,
Na ikiwa mkiacha kununua atauza kwa nchi nyingine kama Uchina India na mataifa mengine.
Wanunuzi sio nyinyi TU.
 
Back
Top Bottom