Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Russia wamefanya uduanzi sana kushambulia maeneo ya raia,wamefurushwa huko Kharkiv....
......

Burned-out Russian tanks, cars, and bodies littered a highway leading to the Ukrainian city of Kharkiv. It reveals the intensity of the fighting that occurred there when Ukrainian forces launched counterattacks on occupying Russian troops. On March 31, RFE/RL reporter Roman Pahulych surveyed the destruction along the highway near the village of Mala Rohan just east of Kharkiv. (WARNING: Viewers may find the content of this video disturbing.
 
View attachment 2171328

The Russian Ministry of Defense publishes a video with the equipment of the Armed Forces of Ukraine captured near Chernigov.

T-64 tanks are serviceable and contain full ammunition.
Haishangazi kuona Russia imefanya hivi na sio habari Lakini tunavyojua na kujiaminisha uwezo wa Russia,inashangaza na ni habari pale UKRAINE anapoteka vifaru vya Russia 🤔
 
Russia ramps up gas supply to China


Russian energy major Gazprom said Friday it has pumped more gas to China via the Power of Siberia pipeline than it had previously planned.


The exports were part of the contract between Gazprom and China National Petroleum Corporation (CNPC), according to the company’s report on the first quarter results.


“Gazprom continues to supply gas in accordance with consumer requests in full compliance with contractual obligations.”
 
View attachment 2172333
RT ipo sema kuna watu wamefungua ac nyingi inabidi uchek yenye subscribers wengi t.me/rtnews
Kwenu apo ila kwenye number zenye country code hii haipo
IMG-20220401-WA0000.jpg
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Yaan Putin hama tofaut na mbwa anaeufyata mkia huku anabweka
Madai yako tunayajua
1.hutak Ukraine ajiunge NATO
2.Hutak ushirikiano wa ukraine na west kwenye mpaka wako na ukraine kijeshi
3.humtak kiongoz mpya wa ukraine sabab
4.hutak biashara kat ya ukraine na west especialy marekan

Sasa bro Putin ..unajua kabisa ukraine ni taifa maskin kabisa hawana lolote hawana chochote...nashangaaga sana hata wazaz wanaopeleka watoto kusoma elim ya juu ukraine..(uelewa)

Sasa Bro Putin..why usipambane na hao wanaoinyemelea hyo eneo unaenda mpiga maskin ukraine

Yaan ni sawa baba awe na ugomvi na baba mwenzie jiran..halaf ashindwe m face huyo baba..aende kupiga watoto wa huyo baba

Bro Putin..jipange..unaonekana ni mbabe unaeufyata mkia.

Uzi tayar

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Amka kutoka ndoto nyevu, kumekucha.
Putin amekataa hizo mambo. Amesema tayari ashaanza ^special operation,^ na lazima ikamilike. Too late for the president! Lazima Ukraine plus nchi zote za former USSR zirudi Russia.
 
[emoji298]️US to help transfer Soviet-made tanks to Ukraine.

The U.S. announced on April 1 that it will work with allies to send the tanks to support Ukraine’s defense in Donbas. The decision was made in response to a request from President Volodymyr Zelensky and will mark the first time that the U.S. has helped transfer tanks during the war. No information was provided regarding the exact number of tanks, dates of transfer, or countries from which the tanks will be sourced.
 
Mgogoro wa Russia vs ukaraine ukiutazama kinadharia utahisia Russia anapigana na Ukraine kweli lakini siyo kweli ni USA na mshirika wake UK dogo ametumika tu. Ili ujue vile vikwazo vilivyoweka nani alikuwa kimbelembele? Utapata jibu na nani vinamuathiri kwa sasa? Kukusaidia kitu kinaitwa brexity why UK alijitoa kwenye sarafu ya ulaya na umoja wa ulaya ila yupo NATO ushirika wa kujihami kijeshi na si vingine? Aliekuwa nyuma ya huu mpango ni USA kwanini sasa muungano wao ungekuwa tishio kwa uchumi wa marekani sababu wangeacha kumtagemea na kwenye umoja huo nani ana nguvu ni UK na kwa uhusiano wao hakikisha unajitioa. Mbali na kutishia uchumi ni kwamba pesa yake $ isingekuwa na nguvu bali euro kwasababu transactions yote ya biashara kimataifa ingefanywa kwa euro.
 
Russia imekuwa rogue state
Mmarakani hafanyi vita isiyo na faida kwake. Hawezi rudia makosa kwenda kumwaga damu ya wamarekani katika nchi za wengine bila faida yoyote. Sana sana Ukraine atasaidiwa kwenye ujasusi na Technolojia.

Pili Mmarekani anakwepa vita ya moja kwa moja na Russia. Ni busara kubwa kwani ukumbuke kwa tabia za Putin akiona anashindwa vita ya kawaida anaweza tumia Nyuklia ambayo kwa mmarekani anajua ni mwisho wa kila kitu.

Tatu vita ni gharama. Ukumbuke mmarekani akiwa vitani Mchina yupo kazini kujenga uchumi wake. Kwa vita ya moja kwa moja na mrusi si vita ya Muda mfupi. Hivyo inaweza kusababisha anguko kubwa la kiuchimi na kupelekea Mchina ku emerge kama New world Super power.

Kwa mrusi yeye hana cha kupoteza kwa kiuchuni yupo chini sawa tu na jimbo moja la Marekani. Yeye yupo vizuri kwenye technolojia ya silaha.
 
Hawaamini, walisema kwa vikwazo alivyopewa Russia uchumi wake utaanguka totally, wananchi wataandamana na serikali itaangushwa. Maajabu baada ya vikwazo uchumi wa Russia upo imara, shillingi yao imekua stable ndani ya vikwazo EU ba dunia zinashuhudia mfumuko mkubwa wa bei.

Ukimpiga chura teke, unamuumiza ila unamuongezea mwendo ndicho alichofanyiwa russia, swala la vita linaondelea tuache muda utasema, ila kuna mtu atanyoosha mikono soon.
 
Nchi yenye uchumi mkubwa Ulaya ni Ujerumani ikufuatiwa na Ufaransa.

Uturuki, Canada, Iceland, Norway, Estonia, Albania, na Montenegro hawako EU ila ni wanachama wa NATO.

Huna point hapa.
Mgogoro wa Russia vs ukaraine ukiutazama kinadharia utahisia Russia anapigana na Ukraine kweli lakini siyo kweli ni USA na mshirika wake UK dogo ametumika tu. Ili ujue vile vikwazo vilivyoweka nani alikuwa kimbelembele? Utapata jibu na nani vinamuathiri kwa sasa? Kukusaidia kitu kinaitwa brexity why UK alijitoa kwenye sarafu ya ulaya na umoja wa ulaya ila yupo NATO ushirika wa kujihami kijeshi na si vingine? Aliekuwa nyuma ya huu mpango ni USA kwanini sasa muungano wao ungekuwa tishio kwa uchumi wa marekani sababu wangeacha kumtagemea na kwenye umoja huo nani ana nguvu ni UK na kwa uhusiano wao hakikisha unajitioa. Mbali na kutishia uchumi ni kwamba pesa yake $ isingekuwa na nguvu bali euro kwasababu transactions yote ya biashara kimataifa ingefanywa kwa euro.
 
China has not received a request from Kyiv for Beijing to become a guarantor of Ukraine's security - Chinese Foreign Ministry

"We will not do anything deliberately to circumvent the sanctions imposed by the US and the EU on Russia. You know our position, we oppose sanctions," the Chinese Foreign Ministry said.

Also in China, they believe that possible mediation should not affect trade opportunities.
 
Back
Top Bottom