LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums

Tizama dakika 35 za mwanzo👆 kuelewa chimbuko la mgogoro.

images (2).jpeg
 
Yaan Putin hama tofaut na mbwa anaeufyata mkia huku anabweka
Madai yako tunayajua
1.hutak Ukraine ajiunge NATO
2.Hutak ushirikiano wa ukraine na west kwenye mpaka wako na ukraine kijeshi
3.humtak kiongoz mpya wa ukraine sabab
4.hutak biashara kat ya ukraine na west especialy marekan

Sasa bro Putin ..unajua kabisa ukraine ni taifa maskin kabisa hawana lolote hawana chochote...nashangaaga sana hata wazaz wanaopeleka watoto kusoma elim ya juu ukraine..(uelewa)

Sasa Bro Putin..why usipambane na hao wanaoinyemelea hyo eneo unaenda mpiga maskin ukraine

Yaan ni sawa baba awe na ugomvi na baba mwenzie jiran..halaf ashindwe m face huyo baba..aende kupiga watoto wa huyo baba

Bro Putin..jipange..unaonekana ni mbabe unaeufyata mkia.

Uzi tayar

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Russia says they already have a substitution for import of semiconductors — sanction the west praised the most
 
Game ndio kwanza imeanza na team Russia wanaongoza dhidi ya Kikosi dhaifu.

Naona lengo la Kocha USA ni kusoma mchezo na mbinu za Russia kabla ya kuingiza Kikosi chake cha kwanza(NATO).

Na pasipo shaka Mashabiki wa team NATO watashangilia mwishoni kwa ushindi mkubwa huku kukiwa na hat trick za kutosha. Team Russia itashuka daraja na haitaweza tena kupanda kucheza Ligi ya Mabingwa.
 
They are clearly already prepared for any sanction they could face, they wouldn't have invaded if sanctions would bring them down
 
Game ndio kwanza imeanza na team Russia wanaongoza dhidi ya Kikosi dhaifu.

Naona lengo la Kocha USA ni kusoma mchezo na mbinu za Russia kabla ya kuingiza Kikosi chake cha kwanza(NATO).

Na pasipo shaka Mashabiki wa team NATO watashangilia mwishoni kwa ushindi mkubwa huku kukiwa na hat trick za kutosha. Team Russia itashuka daraja na haitaweza tena kupanda kucheza Ligi ya Mabingwa.
Mlisema hawezi vamia leo mmebadilisha maneno.
 
Oya dingi putin njoo Kuna genius wa Nanjilinji anakupa mawaidha Huku,
Note usiseme hukuambiwa Mimi nakutag tu mkuu Sina ubaya na Wewe Labda mtoa maada Ndio anakukashifu

Et Wewe ni Wuuuu! Wuuuu! Wuuuu!
Mbwa kokoooooooooo!
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji91]
Hahahhaha.. ukraine kwa jinsi ilivyokuwa unstable mrusi anaenda mwongezea maumivu zaid. Unajua ukraine imebomoka kiuchumi kabisa sabab ya chokochoko hiz za kila siku.. sasa imagine jamaa wanakukandamizia misumari zaid

Putin apambane na wakubwa wenzie bana.. anamuonea ukraine .. sasa kama ukraine anaona anapata nafuu ya maisha zaid akiwa na west kuliko east.. why asijiunge nao... Ila putin namuelewa.. hata ningekua mim ningehakikisha navunja huo urafik na hao rivals

Najua Putin yumo humu ataona tuu.. hahahahhahah

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu viongozi wa nchi za kijamaa mara nyingi hujali matumbo yao/ namna ambavyo wataendelea kutawala kwao hakuna issue za utu. Hiyo russia viongozi wao wameiba pesa wanaenda ficha london na kuwekeza western. Ujamaa na ushetani ni pua na mdomo muda wote viongozi na vyama vya kijamaa huwaza kuendelea kutawala hata watu mamilioni wakifa hawajali.
Hovyo kabisa hii mifumo ya mavikundi ya wachache kuhodhi Nchi na ku dictate kila kitu..
 
Game ndio kwanza imeanza na team Russia wanaongoza dhidi ya Kikosi dhaifu.

Naona lengo la Kocha USA ni kusoma mchezo na mbinu za Russia kabla ya kuingiza Kikosi chake cha kwanza(NATO).

Na pasipo shaka Mashabiki wa team NATO watashangilia mwishoni kwa ushindi mkubwa huku kukiwa na hat trick za kutosha. Team Russia itashuka daraja na haitaweza tena kupanda kucheza Ligi ya Mabingwa.

Mbupu kola.🤣

Russia ni kidume cha dunia kama hujui.
 
Unadhani hii ni kama playstation ukichoka unaweka pause na ukikosea una-repeat au kutumia lives zako zilizobaki...

The Stakes are high; Na NATO sio kwamba wanawapenda sana Ukraine bali wanajaribu kupunguza influence ya Russia, na sio rahisi kivile NATO kuingia moja kwa moja (that will mean an all out war)....

Bado naamini Msemo wa "No One wins a War"; unless ni kama hii ambapo wanaojifanya kupigana wapo miles away with no human sacrifices...
 
Russian FM Lavrov says Moscow wants:

  • Our expectations of Kyiv remain the same, Russia doesn’t change its position “like a girl”
  • We want to 'free Ukraine from oppression'
  • President Putin will hold several int phone calls
  • We want to ensure demilitarisation of Ukraine https://t.co/AT8CWuePp8
 
Russian FM Lavrov says Moscow wants:

  • Our expectations of Kyiv remain the same, Russia doesn’t change its position “like a girl”
  • We want to 'free Ukraine from oppression'
  • President Putin will hold several int phone calls
  • We want to ensure demilitarisation of Ukraine https://t.co/AT8CWuePp8
 
Mbupu kola.🤣

Russia ni kidume cha dunia kama hujui.
In the age of Nuclear Capabilities hakuna Kidume wa Dunia kuna wajitoa muhanga na Dare Devils...

Kuna hatari za Uchumi; Politics na Annihilation of the Word kama watu watatumie weapons of mass destruction
 
Back
Top Bottom