LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Sasa mbona mpangaji mwenyewe hajapanga nyumba hiyo kwanini uanze kumshambulia?

Ukraine hajajiunga na Nato ila alikuwa na kusudio hilo tu sasa imekuwaje Urusi iishambulie kijeshi wakati hata hajajiunga?
Werevu huangaikia Kinga na si Tiba. Kinga hugharimu padogo kuliko Tiba.
 
Haaaahaaah. Halafu Fake ID madhara yake mnaweze kuwa Ofisi Moja halafu unayemtukana ni Mkuu wako wa department. Kila ninapoona Post zako naona zina test fulani na jamaa hapa ofisini. Naendelea kuku zoom ifike hata 60% nitakachofanya huyu jamaa wa ofisini nitamhamishia sehemu network shida na usipoonekana humu nita conclude ni wewe.
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Putin Jasusi Mbobezi kama Mh. Bernard Membe , amesha ithibitishia dunia ya kwamba yeye ndiye mbabe kwa sasa.

Hivyo Marekani ni kama CCM tu mbele ya Chadema! Yaani mwanamke hawezi kupigana na mwanaume kirahisi tu. Labda akuvizie na kuzikamata zile nanihii (kwa Marekani ni vikwazo dhidi ya Russia), hapo atashinda.
Acha matumizi ya ^key-levi,^ utakuja kunishukuru baadaye. But Putin is right.
 
fb_img_16457854926823164-jpg.2130768

FB_IMG_16457854926823164.jpg
 
Yeye akivamia wanasema anataka kuleta demokrasia Urusi ikifanya ooh ni Udikteta [emoji1787][emoji1787] Pro-America wanashida Sana mkuu
Huwezi kumuamini U.S.A hata kidogo, majuzi tu aliisaliti serikali ya Afganistan.
Alikata umeme akatoroka kimyakimya usiku wa manane bila kutoa taarifa kwa mkuu wa majeshi. Taliban wakaingia kilaini bila kufyetua risasi hata moja!
 
Teh..teh..teh...Russia wahuni kweli, eti Russia haibadilibadili msimamo wake kama mtoto wa kike (msichana)!

Any way, tayari rais wa Ukraine kaomba kuzungumza na Putin juu ya Ukraine kutojiunga na NATO na kutoweka silaha za US na NATO kwenye ardhi ya Ukraine
Putin amekataa hizo mambo. Amesema tayari ashaanza ^special operation,^ na lazima ikamilike. Too late for the president! Lazima Ukraine plus nchi zote za former USSR zirudi Russia.
 
Huwezi kumuamini U.S.A hata kidogo, majuzi tu aliisaliti serikali ya Afganistan.
Alikata umeme akatoroka kimyakimya usiku wa manane bila kutoa taarifa kwa mkuu wa majeshi. Taliban wakaingia kilaini bila kufyetua risasi hata moja!
Hivi unaamini kabisa Taliban hawakuwa wamekula dili na hao 🇺🇸?
 
Amebeep jamaa wamempigia..!!
Sasa mbona mpangaji mwenyewe hajapanga nyumba hiyo kwanini uanze kumshambulia?

Ukraine hajajiunga na Nato ila alikuwa na kusudio hilo tu sasa imekuwaje Urusi iishambulie kijeshi wakati hata hajajiunga?
 
urusi imejikuta kuwa na vikwazo kama pesa yao kutumiwa kwenye biashara za kitaifa kwenye mataifa mengine hata kubadilishana.

utafiti unaonyesha kuwa urusi ilijipanga mda mrefu na baada ya kupata elimu ya cryptocurrency .

urusi imewekeza pesa zake nyingi humo ambapo mfumo huu wa cryptocurrency uwezi kujua pesa anamiliki na nani na unaweza kwenda sehemu yoyote na kununua chochote.

Tuachane na kujipanga kivingine.hata North korea ilishawahi kuiba mamilioni ya cryptocurrency na kununua vifaa kwa ajili kutengeneza makombora.

cryptocurrency itaweza kuzuia vikwazo vya urusi
 
Watu wa Cryptos Ni kama WEHU.

Hivi kwanini mnatumia NGUVU kubwa sana kufanya PROMO ya hizo Cryptos zenu.

Tatizo Ni Nini?
 
Dah aiseeh sikujua Kama humu bongo tuna warusi weusi na wamarekani wengi namna hii
Huyo ni Mrusi wa Buza, anajaribu kujifariji na cryptocurrency! Atakapominywa asipate hata Mia ya kununua unga Manzese ndo atakapojua hajui.
 
Kama mnavyojua huko mashambulizi dhidi ya wanajeshi wa Ukraini yameshika hatamu..
Cha kujiuliza ni kipi hasa raisi wa Urusi (Vladmir Putin) anahitaji???

ni kipi kitakachofanya wasitishe mashambulizi huko Ukraine??

au ndo tuseme wanahitaji Nchi washirika hasa mataifa ya Ulaya Magharibi na America wajoin vita ili iwe WW|||?

#StopWars
 
Wamarekani wenzangu wa kimbiji eyo wasup man. Hahahaaa.

Nimetania kidogo hapo lakini kwakweli babu Biden na serikaliyake hawalali usingizi kwa aibu wanayo ipata huko ulaya, yani nikama Putin anawapiga wao.

Kwamtazamo wangu.
ukiangalia kimkakati Putin akimalizana na Kiev hataishia pale.

Kama kweli kilicho mfanya kuvamia Ukraine ni security issues,then anahitaji kuwafurusha wanajeshi wa US Poland na Romania.

Sababu nyingine nikwamba tayari Putin na washirika wake wameona US ni debe tupu kwahiyo watataka kumjaribu Poland waone atafanyanini.

Bilashaka Putin anaamini US akibaki Poland atakuwa haja maliza kazi sababu US watatumia ukaribu huo wa Poland ama Romania kuleta usumbufu Ukraine ambayo itakuwa tayari chini ya Russia.

Wamesha mjaribu Syria, na Venezuela wakaonakumbe hanauwezo mkubwa kiasi hicho.

Vi nchi vingine kama Latvia na Lithunia havina sumu Putin akivitaka anaweza kutuma migambo tu.

Ngoja tusubiri muda simrefu moto utawakatu.
 
Back
Top Bottom