Bwana Utam
JF-Expert Member
- Feb 15, 2016
- 20,546
- 38,093
ongezea nyama MKUUFaida ya vita hii ni kubwa kuliko hata hasara inayojitokeza kwa sasa
ongezea nyama MKUUFaida ya vita hii ni kubwa kuliko hata hasara inayojitokeza kwa sasa
hawakujua[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sababu ya Kukabidhi ni kwasababu ya Radiation ambazo hawakujua kuwa zitawaathiri
Strength ya Ukraine tu hakuijua akapewa intel zisizo sahihi. Response ya sanctions alijua ila mobilization ya Westerns kutoa misaada ya silaha na commitment ya Ukrainians aliichukulia kwa uzito mdogo. Sio kila kitu kinakuja vilevile hata uwe mzoefu na mjanjaNdio maana nkasema BORA WEWE .... na zama zinabarika .. na katika Mafunzo yote hayo yanakuwa case studies ..mwenye akili nzuri anaweza kupitia studies akatengeneza trap's nyingi na kutafuta namna ya kuziface ... Kapigwa Sanctions zaidi ya 1000 kawapa mbili tu wanahaha unafikiri hakulistudy kabla..... Kwa modern espionage after cold war ... Putin ni namba nyingine mjomba.
Aiseee kwenye zile Helikopta zilizoangushwa jana na Chenchen kuna mabaki ya badge ya bendera ya Tanzania. Sijui sasa tulipeleka mjeda huko au vipi.
hajazijua kiaje?Strength ya Ukraine tu hakuijua akapewa intel zisizo sahihi. Response ya sanctions alijua ila mobilization ya Westerns kutoa misaada ya silaha na commitment ya Ukrainians aliichukulia kwa uzito mdogo. Sio kila kitu kinakuja vilevile hata uwe mzoefu na mjanja
This's a false lie ever!Tatizo hata huo umeme unatumia mafuta
Kuondokana na matumizi ya fossil fuels itachukua angalau miaka 100
Figisu za wakenyaAiseee kwenye zile Helikopta zilizoangushwa jana na Chenchen kuna mabaki ya badge ya bendera ya Tanzania. Sijui sasa tulipeleka mjeda huko au vipi.
😂😂😂
Matukio yamekuwa machache kwa kuwa sheria zinazidi kuimarika na dunia inazidi kustaarabika. Sio tu kwamba kuwafuatilia maadui pekee ndio kunasaidia.Mkuu katika ulimwengu wa sasa wa tekinolojia ni rahisi kwa kiongozi yeyote kuwafatiria maadui zake kila aina ya hatua wanazo piga ,huwezi kulinganisha na kipindi cha nyuma.
Na ndio maana kwa miaka ya hivi karibuni matukio ya viongozi kuawa wakiwa madarakani yamepungua sana.
Hii kitu imenishangaza pia[emoji848]Aiseee kwenye zile Helikopta zilizoangushwa jana na Chenchen kuna mabaki ya badge ya bendera ya Tanzania. Sijui sasa tulipeleka mjeda huko au vipi.
Kwakweli inabidi tupate maelezo ya kinaHii kitu imenishangaza pia[emoji848]View attachment 2172419
Mkuu ni lazima wafanye hivyo kama njia ya kujilinda na mashambuli maana hakuna mkataba au makubaliano ya kusitisha mapigano ili waondoke salama,na ndio maana hawajaondoka kwa wakati mmoja.Mkuu ni kweli wanaondoka huku wanapigana ,hawaondoki kwa makaratasi.
Ndio maana mpaka sasa mapigano yanaendelea sehemu hizo(Majeshi ya Russia yanashambulia pia)
Si lazima aondolewe kihuni ila mambo yakizidi kuwa mabaya itatokea haja ya kufanya kitu kuokoa jahazi. Sasa kitu gani kitafanyika hapo ndio hatujui. Russia na Putin mwenyewe kashazoesha wananchi kulaumu mayors wa miji, kila kitu lawama ni kwao hata kama ni cha Federal government. Mameya wana hali ngumu sana kipindi hiki, raia hawamlaumu Putin wanawalaumu wao ikitokea shida.Hapa sasa naanza kuamini maneno ya Russia defectors kwamba Putin ataondolewa kihuni kama wenzake waliotangulia
Hii kitu imenishangaza pia[emoji848]View attachment 2172419
[emoji1787] jamaa wana roho mbaya sana....wanatusingizia sisi ni wa warusi[emoji23][emoji23][emoji23]
Hii kitu imenishangaza pia[emoji848]View attachment 2172419
Dah!..hii kali aisee.Kwakweli inabidi tupate maelezo ya kina
Mkuu hao viongozi uliowataja ni tofauti kabisa na Putin maana Putin ni kiongozi wa kariba nyingine na mfumo wa taifa analo liongoza ni tofauti kabisa na mataifa hayo uliyo yataja.Matukio yamekuwa machache kwa kuwa sheria zinazidi kuimarika na dunia inazidi kustaarabika. Sio tu kwamba kuwafuatilia maadui pekee ndio kunasaidia.
Nowadays hakuna missions nzito za CIA, Mossad, FSB, SIS na MI6 na kadhalika. CIA ya kina Adrich Azen Hames, KGB ya kina Popov, MI6 ya kina Kim Philby zilikuwa enzi za changamoto sio leo eti mtu aliyesumbua pale Pentagon ni Edward Snowden na taarifa za kiraia za kompyuta. Tukirudi Cold war kuna muda aliyekuwa second in succession line ya MI6 pale UK alikuwa ni double agent wa KGB. Aldrich Ames pale Marekani alikuwa kitengo kilichomtafuta double agent ambaye ni yeye mwenyewe, na kaishi nao miaka kibao tu akipanga mbinu za kumkamata msaliti (yeye) na kuchoma watu wengi ambao CIA haikutaka kutaja idadi.
Dunia imestaarabika na kupenda amani kwa kiasi fulani ingawa fujo za hapa na pale hasa zikiongozwa na Marekani hazikosi. Kitu kinachosaidia usalama wa viongozi nchi kama Scotland, Ireland, Sweden na Finland ni mtazamo wa watu. Mara ngapi marais wa nchi kama hizo wanazunguka mitaani free na baiskeli zao tena siku nyingine unasikia huyu kapigwa kibao alipokosolewa na raia mara huyu kafukuzwa asikatize kwenye pavement za mtu. Mfano huyu Sauli Niinisto wa Finland ana haja gani ya kuogopa wakati hata raia wakilewa wakaanza kuongea matusi yeye bado wanamkubali. Mtafute wa Ireland yule mzee uone alivyo simple. Provided hakuna adui wa nje ya nchi, viongozi kama hawa wako very safe hutumii nguvu nyingi kuwalinda. Ulinzi unakuwa mkali kwa viongozi paranoid ambao hasa huwa na mambo mengi yasiyopendeza
Si lazima aondolewe kihuni ila mambo yakizidi kuwa mabaya itatokea haja ya kufanya kitu kuokoa jahazi. Sasa kitu gani kitafanyika hapo ndio hatujui. Russia na Putin mwenyewe kashazoesha wananchi kulaumu mayors wa miji, kila kitu lawama ni kwao hata kama ni cha Federal government. Mameya wana hali ngumu sana kipindi hiki, raia hawamlaumu Putin wanawalaumu wao ikitokea shida.
Russia yenyewe hii imeungwa kwa makundi. Chechnya miaka ile waliwahi kutaka kujitenga wakapigana na Federal army and they inflicted heavy casualties. Cha msingi uchumi usiharibike haraka na wamejitahidi wanaohusika nao wanafanya kazi nzuri ila mioyoni mwa Russians wanampenda Putin. Wanaoijua dunia kwa nje, wenye biashara zao na hawa oligarchies somehow wanaweza kuwa changamoto kwake ndio aliwaita "fifth column" kwenye hotuba iliyopita
Hii kitu imenishangaza pia[emoji848]View attachment 2172419