Mgogoro wa Russia vs ukaraine ukiutazama kinadharia utahisia Russia anapigana na Ukraine kweli lakini siyo kweli ni USA na mshirika wake UK dogo ametumika tu. Ili ujue vile vikwazo vilivyoweka nani alikuwa kimbelembele? Utapata jibu na nani vinamuathiri kwa sasa? Kukusaidia kitu kinaitwa brexity why UK alijitoa kwenye sarafu ya ulaya na umoja wa ulaya ila yupo NATO ushirika wa kujihami kijeshi na si vingine? Aliekuwa nyuma ya huu mpango ni USA kwanini sasa muungano wao ungekuwa tishio kwa uchumi wa marekani sababu wangeacha kumtagemea na kwenye umoja huo nani ana nguvu ni UK na kwa uhusiano wao hakikisha unajitioa. Mbali na kutishia uchumi ni kwamba pesa yake $ isingekuwa na nguvu bali euro kwasababu transactions yote ya biashara kimataifa ingefanywa kwa euro.