Cash Generating Unit
JF-Expert Member
- Jan 12, 2019
- 13,284
- 39,513
Ruble huko inapands thamani kwa kasi hapo bado malipo ya ruble hayajaanza. Russia sio Zimbabwe.
Point of correction.
UK (ukiwa na maana ya England)hakujitoa kwenye sarafu ya pamoja (euro), bali hakuingia/hakujiunga kabisa from the beginning.
Na Shilingi yetu vipi?Ruble huko inapands thamani kwa kasi hapo bado malipo ya ruble hayajaanza. Russia sio Zimbabwe.
Mmarekani ni shetani hapendi
Maendeleo ya wenzake hata siku moja sahv anampiga vita mrussi sababu ameona anapata faida kwenye uuzaji wa nishati so anachofanya kuharibu haribu.
Ukweli wa mambo marekani anaungwa mkono kinafiki sana. Ukweli ameshachokwa watu sahv wameamka usingizini hawaogopi tena.
Marekani anajivunia vikwazo ila ajue dollar yake itaenda kuangukia pua na utawala wake utaanguka.
Nchi ipo America imekuja NATO kuungana na nchi za ulaya anatafuta nini!? Akili mtu wangu kwanini asiungane na America wenzake kule amekimbilia ulaya?.
Marekani anatumia nguvu sana kuwa mtawala wa dunia anatumia propaganda kibao Africa anatuletea Vimisaada vyake ndo hvo viongozi hawana sauti.
Niliwaambia watu humu ndani zikipigwa kura za siri mataifa yote yakahusika marekani hawezi kuzidi hta 10% ya kura wanaokubali huo ndo ukweli.
Asia huko hawana time nae kabisaa hawataki hata kumsikia Africa tuko neutral kasoro SA tu ameonesha waziwazi yuko side ipi.
Marekani ushawishi wake unapungua kila siku huko NATO tu kuna wanaompinga anaforce waache kutumia nishati za Russia ili uchumi wa Ulaya ushuke yeye aendelee kuwa superior na awauzie LNG yake, sasa ulaya wameshtuka itakua ghali sana.
Hakuna marefu yasiyo na ncha na hakuna jambo lisilo na mwisho kila utawala huwa unaanguka kutokana na historia ya dunia. Utawala wa US utaanguka tu.
US, Canada na nchi nyingine chache za Ulaya ndio waanzilishi wa NATO, wengi wote wamejiunga NATO baada ya kuona faida zake.
Nchi za Ulaya ndio zinataka majeshi ya US yaweke vituo vyake kwenye bara lao kuwaongezea ulinzi dhidi ya Russia. Japan, Korea Kusini, Colombia, Qatar, Saudi Arabia ni nchi nyingine nyingi za dunia ndizo zimetaka US aweke vituo vya kijeshi kwenye nchi zao.
US ina vituo vya kijeshi zaidi ya 700 duniani kote.
Leo nimesikia wamepanda mines eneo lote walilokuwa wakishikilia.Mkuu ni lazima wafanye hivyo kama njia ya kujilinda na mashambuli maana hakuna mkataba au makubaliano ya kusitisha mapigano ili waondoke salama,na ndio maana hawajaondoka kwa wakati mmoja.
Na sio kwamba kukubaliana lilikuwa jambo gumu kwa Urusi na Ukraine hapana, ila wangekubaliana kusitisha mapigano ili kuruhusu wanajeshi ya Urusi kuondoka salama katika tafisiri ya vita ni umesalimu amri kitu ambacho Urusi hataki kukisia, lakini kuondoka kwa njia kama wanayo itumia kwa tafisiri ya kivita ni mbinu ya kimkakati ya kivita.
Waasisi washaziweka mpaka maofisini. Hii ni Oval office ndani ya white house.Aisee wanatumia vita kuhamasisha ushoga si uanona hapaView attachment 2172688
Waasisi washaziweka mpaka maofisini. Hii ni Oval office ndani ya white house. View attachment 2172706 Angalia hapo kwenye hicho kiti kwa umakini. Kwa sasa wenzetu sio jambo la kujificha ni jambo la kujisifia. Tusubir mwezi june ndio mwezi wao... Wanauita Pride month [emoji849][emoji849][emoji849][emoji849]... Hii chini japo ya zaman ila tu nakupa kukuonesha namna gan muasisi analipigania kwa nguvu zote View attachment 2172711
...naona wanatishia kujamba wakati wanamatumbo yakuhara, watanyooka tu...ni swala la mda tu watakubali wenyewee, energy ndio kila kitu,ishu yakulipia kwa ruble imewavuruga sana yani putin this time amewashika pabayaWanashindwaje kulipa kwa ruble? Yaani raia wako wapate shida kisa US hizi akili ni matope sasa. US amewashika akili hawa jamaa.
Upo dunia gani mkuu?Kichaa cha mbwa kinazidi kupanda -Urusi imelipuwa ndege pekee duniani ambayo inayo uwezo wa kubeba tani 250.
View attachment 2172744
Habari za wiki ya kwanza ya vita unaleta leo .empty headKichaa cha mbwa kinazidi kupanda -Urusi imelipuwa ndege pekee duniani ambayo inayo uwezo wa kubeba tani 250.
View attachment 2172744
Jamaa alijiona bonge la mtafuta taarifa.
Uncivilized ,babarians,uncouth ,goons ,the Z lot.