digba sowey
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 10,508
- 23,368
Id yake anajiita simplemind wewe unategemea jipya gani toka kwa mtu Kama huyu?
Id yake anajiita simplemind wewe unategemea jipya gani toka kwa mtu Kama huyu?
Iripuliwe harakaaaKuna meli ya marekani imezima yenyewe karibu na pwani ya uturuki
Inapanda kutokana na speculation ya investors lakini hivi karibuni hicho kibofu kitapasuka.Ruble huko inapands thamani kwa kasi hapo bado malipo ya ruble hayajaanza. Russia sio Zimbabwe.
Sasa kama vita inawashinda kwenye uchumi si ndio wataanza kuchanganyikiwa...Wakali hao, kwa sasa wamehamia swala la ruble na mafuta, vita kama wameisahau, wamesahau walivyoaibishwa
RUSSIA sio ZIMBABWEJapani (kibaraka wa Marekani) imeshindwa kususia mradi mkubwa wa mafuta na gesi ya Russia...Waziri Mkuu wa Japani amesema huo ni mradi muhimu zaidi kwa wajapani ambao utawahakikishia upatikanaji wa nishati za mafuta na gesi.
View attachment 2172755View attachment 2172754
Wafunge warusii wale nyasi.Sasa kama vita inawashinda kwenye uchumi si ndio wataanza kuchanganyikiwa...
Waulize je Russia imeshafunga mambomba ya gesi kwa wasiolipia kwa Rubble
Wewe itakua unaishi JUPITER maana sio kwa huo u outdate ulokua naoKichaa cha mbwa kinazidi kupanda -Urusi imelipuwa ndege pekee duniani ambayo inayo uwezo wa kubeba tani 250.
View attachment 2172744
Kichaa cha mbwa kinazidi kupanda -Urusi imelipuwa ndege pekee duniani ambayo inayo uwezo wa kubeba tani 250.
View attachment 2172744
Inapanda kutokana na speculation ya investors lakini hivi karibuni hicho kibofu kitapasuka.
Ukiona mtu anatumia emoji kiholela jua amepanic. Haya mambo ya uchumi ni zaidi ya kucopy and paste.Na bado mtapasuka wenyewe [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Pamoja ni ndege ya Ukraine,Antonov 225 ni moja ya ndege inayotambulisha teknologia ya mrusi.Taarifa za mwanzo wa vita hzo unaleta leo unajua kwanini walilipua?
VP mkuu Putin amekata gesi ya ulaya au wanalipa kwa rubles?Na bado mtapasuka wenyewe [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Akate warussi wale nyasi. EU wanalipa kwa dollars / euros wao wanazigeuza rubles(valueless piece of shit)VP mkuu Putin amekata gesi ya ulaya au wanalipa kwa rubles?
👍👍👍👍👍👍👍Greek railway workers refuse to transport US and NATO armored vehicles from the port of Alexandroupolis to the borders of Ukraine.
This is reported by the information portal of the Communist Party of Greece.
According to the workers, they are being pressured and threatened by TrainOSE management. They answer: "We will not become accomplices in the passage of a military machine through the territory of our country."
A dozen and a half local trade unions have already stood up for the railway workers, and a number of activists began to throw paint on NATO armored vehicles (on video).
View attachment 2172831
Usiandike hivi awamu nyingine. Maandishi mengi hivi bila aya yanaboa katika usomaji.Habari!
Nimekuwa naifuatilia hii vita inayoendelea ya mafahali wawili, majirani na ambao mwanzoni walikuwa ndugu wa jamii USSR ambao ni Urusi na ndugu yake Ukraine na sababu zimekuwa ni nyingi sana lakini kuu ni ikiwa Urusi ikimtuhumu Ukraine kujiunga na umoja wa nchi za kujihami (NATO) na kwamba kunahatarisha usalama wa Urusi na vyanzo vingine vingi. Na mpaka wakati huu hii vita imesababisha mauaji ya maelfu ya raia wasio na hatia na kusababisha uharibifu mkubwa wa miundombinu na mali kama madaraja, shule, hospital, na makazi ya raia. Inavyosemekana hii ni vita mbaya kuwahi kutokea barani Ulaya baada ya vita kuu za dunia. Urusi imekuwa inaonyesha ubabe wake licha ya kuwekewa vikwazo vingi vya kiuchumi na jumuiya za kimataifa, na licha ya vikwazo lakini Urusi inaendelea kuruhusu mabomu na wanajeshi wake wazidi kushambulia Ukraine. Zoezi la usuluhishi unaendelea japo kwa taadhari sana maana nimesikia kwenye vikao watu wanapeana hadi sumu na hii inazidi kuweka ukakasi wa kuaminiana kwenye jitihada za kutafuta Suluhu! Kwanini nasema War is not the Answer kwamba vita sio jibu la Suluhu kwani hapa wote wanaumia Urusi na Ukrani. Wanapaswa wakae chini watambue tofauti na kuangalia namna gani wanamaliza hii vita na wasijiangalie wao tu kwani wao ni mafahali wanapogombana sisi pia tunaumia sana tu hata kwenye sekta ya misaada ya kifedha kwa Africa tutayumba sana ukizingatia wazungu wanadhamini sana maisha ya wazungu wenzao lazima miradi mingi ya maendeleo yataelekezwa Ukraine. Hapo bado hatujazungumzia ngano, mafuta na gas ndo balaa. Urusi na Ukraine wakae pamoja na kumaliza tofauti hii dunia tumetoka kupata majaribu mengi sana ya Maradhi kama HIV/AIDS, UVIKO 19, na sasa vita. Watuache tupumzike kidogo aisee na waache hizo vita ili dunia iwe sehemu. Michael Jackson aliimba make the world a better place for you and me