Amka kijana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Russia broke the agreement of not Invading Ukraine in exchange for destruction of nuclear weapons. So Ukraine will have no choice but to start the program
Nyie wakenya mnachojua ni mashamba ya walowezi na kusujudia wazungu tu.Ndugu yangu ninayo uhakika details za how laser work huwezi kuzifahamu. Prerequisites multi variable calculus ,advanced probability ,quantum physics. Hapa tujadiliane level ya layman howstuffworks. I am done, nimemaliza.
Jitambe ndungu yangu Leo ni SIKUKUU YENU SIKU YA WAJINGA ..HATUNA BUDI KUKUACHIA NAFASI MJINGA UJITAMBE.Uchumi wa Russia ni GDP $1.7Trillion, uchumi wa US ni $20.9BmTrillions, Japan ni $5.3T, Korea ya Kusini ni $1.6T, Ujerumani ni $3.8T.
Alisikika mjinga mmoja akisema Russia ina deal na mavitu makubwa makubwa kama rockets.
Mpe muda akagoogleNyie wakenya mnachojua ni mashamba ya walowezi na kusujudia wazungu tu.
Tukija kwenye Science and Technology ni zero nyeusi.
Which source of energy generates laser beams!?
Tulia wewe, na vijiswali vyako yva juniour physics. Google au vizuri zaidi tafuta msaada wa O level physics student -sitanii.Nyie wakenya mnachojua ni mashamba ya walowezi na kusujudia wazungu tu.
Tukija kwenye Science and Technology ni zero nyeusi.
Which source of energy generates laser beams!?
Hajui kama GDP ni Moja ya component na indicators za Economy anajua GDP ndio Economy... Wehu ni wengi. Wasamehe kakaNini tofauti ya uchumi na GDP!?
Unaelewa maana ya GDP!?
Nyie wakenya mnachojua ni mashamba ya walowezi na kusujudia wazungu tu.
Tukija kwenye Science and Technology ni zero nyeusi.
Which source of energy generates laser beams!?
Hajui kama GDP ni Moja ya component na indicators za Economy anajua GDP ndio Economy... Wehu ni wengi. Wasamehe kaka
Umehama science umekuja kwenye economics kaka ...huna hujualo Kwa ulichoandika tu Hapo....Uchumi wa Russia ni GDP $1.7Trillion, uchumi wa US ni $20.9BmTrillions, Japan ni $5.3T, Korea ya Kusini ni $1.6T, Ujerumani ni $3.8T.
Alisikika mjinga mmoja akisema Russia ina deal na mavitu makubwa makubwa kama rockets.
View attachment 2171883View attachment 2171885juzi wachawi wa ukraine waliku wanamroga putin lakin mwamba kashindwa kulogeka
Wakamwita mganga kutoka nigeria mganga huyo naye alishindwa alisema mizimu iligoma kwenda urusi
Uko sahihi, Russia imeachawa mbali kiteknolojia na nchi nyingi. Sababu mmojawapo ni sekta binafsi ya teknolojia iliyo dhaifu. Mataifa mengi yenye mafuta au gesi ni rahisi kupata pesa nyingi za dezo, hivyo yanakuwa na viongozi wasioipa msukumo sana sekta nyingine zinazohitaji ubunifu mkubwa.Si ndio maana juzi nikasema ukiniambia nipange list ya top ten militaries ukiachana na weapons of mass destruction sitaiweka Russia top four.
Tatizo la Russia ni uchumi ila watu wanafanya kama hawalioni. Tangu nijiite T-14 Armata ni 2017, mara ya kwanza nakiona ilikuwa ni Victory Day Parade mwaka 2015 walipokuwa wanatimiza miaka 70 baada ya ushindi wa WW2. Tangu hapo mpaka leo T-14 Armata haijawa incorporated kwenye vikosi. Bajeti hamna, kila kitu kinachelewa. Kama Ularvagonzavod hawana bajeti sasa makampuni mengine yatakuwaje. Kwa Marekani makampuni kibao yanaendesha project na hela zipo.
Armata universal platform nzima haijawa tiyari kwenye matumizi. Vifaru vyote vya Russia vinapigwa kasoro T-14 inayoogopwa sana ila haiko mass produced na haijapimwa zaidi wala kuwa tested vitani. Hata Ujerumani kwenye WW2 mwishoni ilikuwa na much feared King Tiger tank ila havikutengenezwa vingi na vilikuwa vizito mwishowe havikuleta impact. Ukija kwenye IFV za Russia akina BMP wote wanapigwa, Bumerang ambayo ni mpya nayo shida ni zilezile za Armata. Ukitazama IFV za Marekani zile Bradley zimetumika sana vita mbalimbali zinapiga kazi nzuri kuliko hata military planners walivyotaka.
Sasa ardhini ambako Russia ndio ana nguvu zaidi ndio anapigwa hivi, angani na majini itakuwaje. Nabaki nina imani kiasi na submarines zao ila ukitoa nuclear subs ambako inazidiwa na Marekani kwenye technology na quantity bado ukiniambie nichague diesel electric submarines nikachukua zile Kilo class na Lada class wakati kuna state the art subs zenye Air Independent Propulsion System (AIP) ziko Sweden na Germany.
Kwa Germany Siemens wababe wa teknolojia ya nishati walishirikiana na ThyssenKrupp wazoefu wa silaha za majini. Mitambo yetu ya umeme wa gesi pale Ubungo naona imeandikwa Siemens. Kwa Sweden wao ndio wa kwanza kutengeneza. Kwa Sweden kampuni yao ya Kockums ya kutengeneza meli na submarine ndio walikuwa earliest pioneer wa usable AIP duniani hadi US Navy ikawa inaomba subs zao ifanyie drills, wao hawatumii subs zisizo nuclear powered. Kockums inamilikiwa na Saab Group hapo Sweden na ndio hao hao watengenezaji wa ATM za NLAW zinazopiga vifaru vya Urusi kila siku na pia wanazo 4.5 generation fighter jet ile Saab JAS-39 Gripen inayosemekana inaweza kuwa bora zaidi ya Su-30 variants zote. Russia hana muunganiko mzuri wa teknolojia kwenye sekta mbalimbali, vigumu sana uwe na silaha nzuri wakati kampuni zako haziwezi kutengeneza vizuri magari ya kiraia, meli za mizigo, ndege za kiraia, etc.
Hao ndio kina mwigulu nchembaKati ya sie na wewe apo nani mjinga... Hivi umekiona ulichokiandika. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Eti Russia ana GDP ya $1.7Billions, US ni $20.9Billions... So unataka kutwambia Mo Dewji mwenye wealth ya $1.7Billions kwa yuko sawa na Pato la taifa la Russia?
Hivi hii gongo mnayokunywa huwa ina Alcohol ya ngapi?
Pato la Taifa ama hii GDP inayokushupaza shingo unaijua maana ake? Unajua maana ya Uchumi? Unaeza tofautisha kati ya Uchumi na pato la taifa? Mna midudu gani vichwani nyie mmh?????????
Duh [emoji119][emoji119][emoji119][emoji119] hii ndo Tanzania....
We unazungumzia 10nm watu wamefika mwezini 1950's kabla hata ya US unafikiri ni watu kuwachukulia poa.
Kwa hio kwa akili zako unaona hawana uwezo wa kutengeneza 10nm chip?
Russia ndio wakali wa kutengeneza rocket engine US hafuatii mpaka leo, na hivi majuzi hapa wamekataa tena kuiuzia US rocket engines.
Hata Elon Musk alisema rocket engines za Russia sio poa , zipo vizuri mno.
Kwenye rocket engine tech Russia hana mpinzani duniani.
We umekazania chip za 10nm kwa sababu ya hutu tu samsung na chinese phones vinatumia hio tech, lakini hutoifahamu Russia kwenye masuala makubwa kama hayo cause bado tunapambania umeme wa rea na msaada wa mahindi kila kaya bila kusahau zahanati na madawati, siku tukianza kurusha rocket ndio utajua umuhimu wa Russia na upande wa tech wapo wapi, kwa sasa endelea kumtukuza china na US kwa kukuletea visimu vya 10nm processor tech n.k.
India imejifunza na imesaidiwa kurusha satellite nyingi sana na Russia, Russia haangaiki na kuuza simu na charger, jamaa wanafanya deals kubwa kubwa kama kuuza gas, rocket engines, military aircraft, missilea, madude kama s400 n.k, uuzaji wa simu amewaachia China na SK.
Kichwa yake bendi Moja haikishiki FM kinashika RADIO TANZANIA DARESALAAM muoneeni huruma ...We mzee kichwa yako haipo sawa. Tafadhali tuliza kichwa maana kichwa kimechemka. Unaandika Billions halafu hapa unasema Trillions. F2...ck
View attachment 2171626
Kwenye teknolojia huwezi kuwa mkubwa kama huzalishi bidhaa bora, Apple imekuwa kampuni kubwa zaidi ya simu duniani kwa sababu wanazalisha Bidhaa bora, Microsoft wamekuwa kampuni kubwa zaidi ya software duniani kwa sababu wanazalisha software bora,
Gazprom wamekuwa kampuni kubwa ya gesi duniani kwa sababu wana gesi nyingi, Saudi Aramco wamekuwa kampuni kubwa ya mafuta duniani kwa sababu wana mafuta mengi. Hawa wawili hawana tofauti na Tanzania ambayo imekuwa na mzalishaji mkubwa wa Tanzanite kwa sababu inazo Tanzanite nyingi.