Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Hakuna kitu kigumu kama kumwelewesha mfuasi wa jua linakozamia. Ngumu mno tena mno.

Hapo hapo kwenye data alizokupa kaandika kua anazalisha 15Millions barrers per Day, ana Consumption ya 19Millions barrers per Day. Walau kujiuliza tu hiyo deficit anaifidia vipi hataki [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Kibaya zaidi angalau basi ajiulize kama kwake kuna deficit atapatia wapi kiasi cha ziada kwenda kulisha nje? Zaidi tena hajiulizi kule Venezuela alienda kutafuta nini? Zaidi tena hajiulizi hiyo reserve ya almost 600Millions barrer per day kulingana na rate yake ya matumizi itasurvive kwa mda gani?

Zaidi tena hajiulizi kwanini US anawaambia China na India wa'release their reserves il ku'ration bei ya Oil and Gas hii inayozidi kukwea kila uchao?

Hawajiulizi kwa hii total oil Consumption ya Europe ya 16M barrer per day, ambayo Russia ana share ya takriban 40% ikiwa na maana ya takriban 6.4M barrer per day atazifidiaje kwa hyo 1M barrer aliyoanza kuiachia kwa siku...? Na hizo 1M bpd kutoka reserve haziendi Europe zinatumika apo apo USA.

Hadi unakaa chini unajiuliza hawa jamaa huwa wanawaza kwa kutumia nini [emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]... Ukimpa data zako hazitaki... Zile zile zake zinamfunga vile vile [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unawaonea uwezo wao wakufikiri ni kama mnyama PIMBI hawawezi fikiria yote hayo wanachojua ni wanachomabiwa MAREKANI AN RESERVE YA KUISHI MIAKA 100 MBELE...ukiwauliza ana kiasi Gani wanabung'aa.... Kama mazezeta hivi sio kama nimekumbuka ni MAZEZETA
 
🇬🇪 Sanctions of Western countries against Russia do not make sense, said the ruling party of Georgia.

“Sanctions do not work, and absolutely everyone admits this. Even if we don’t admit it, it is a fact and a reality. The sanctions imposed by Georgia cannot play any role,” Georgian Dream chairman Irakli Kobakhidze said on Channel One.

According to him, the authorities are concentrating on not taking steps that could cause serious damage to the population and the country.
 
img_5_1648795154105.jpg
img_3_1648794737973.jpg
irplin kiev dozi inaendelea
 
One shot back, then the other! Wow, how many of them are there!": the orcs are going to publicise the idea of the naftobaza in Belgorod

Who knows - who are the helicopters?

The Russian lord is able to burn 8 tanks with a burn, there is a threat to the transition of fire to the stils.
 
Mamamaaaae ndio umemaliza Hapo (How laser weapon works) tena Kwa kugoogle... Ubongo wako umejaa MAKAMASI
Ndugu yangu ninayo uhakika details za how laser work huwezi kuzifahamu/kuelewa. Prerequisites multi variable calculus ,advanced probability ,quantum physics. Hapa tujadiliane level ya layman howstuffworks. I am done, nimemaliza.
 
Back
Top Bottom