President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,781
- 94,550
⚡️ Iran wants to trade with Russia in national currencies - Central Bank (Sputnik)
ULAYA NI (EUROPE) zipo nchi 44 au 45 hivi.... EU (EUROPEAN UNION/JUMUIYA YA ULAYA) zipo nchi 27... sio Kila nchi ya ULAYA ni mwanachama katika JUMUIYA YA ULAYA. naomba ada yangu.EU na Ulaya tofauti yake nini?
Amewaacha ulaya wapambane na Hali zao ... Kama alivyowaingiza Chaka kwa Ukraine .. KILA MCHUMA JANGA HULA NA WA KWAO ulaya wafanye sasa kama Marekani Kila nchi irelease stock yake isaidie wananchi wake.. wakati ndio kwanza wengine wameanza mgao mnashupaza shingo Kenya tu Hapo mafuta mnafuata Uganda na yanapita bandarini kwenu jipige kifuani ukisema Mimi Coco reborn ni mwehuNdo maana mnaambiwa muwache ujuaji wa kijinga. Hio reserve biden ameachilia ni kwaajili ya marekani peke yake
Hapo kichwa chake kimechemka kwa kujihusisha kujadili yaliyomzidi ufahamu wake. Anaonngea na kujijibu mwenyewe, ila punguza moto unaowapelekea hao proNATOWe mzee kichwa yako haipo sawa. Tafadhali tuliza kichwa maana kichwa kimechemka. Unaandika Billions halafu hapa unasema Trillions. F2...ck
View attachment 2171626
Ukiwaambia habari za Siberia hawataki hata kusikia, ukiona Putin kaona liwalo na liwe jua anajua Siberia kuna hazina ya kutisha sana ya mafuta na gesi. Tuacheni utani ile nchi imebarikiwa sana kila kitu duniani kipo kwa wingi sanaMarekani ana reserve ya mafuta miaka 100? Ila wabongo wanadanganywa sana[emoji28][emoji28] . Mmarekani anavyopenda sifa angeforce kuendelea kwa teknolojia ya magari ya umeme?? Si angetumia hayo mafuta kupata faida?.
Russia pekee ndo anaetegemewa kuwa msaada wa mafuta karne zijazo kwani ile Siberia ina reserve kubwa ya gas na mafuta na hajayagusa.
Msidanganywe na stori za abunuasi.View attachment 2171578
Boieng, Raytheon, AGIS, General Dynamics, Northrop Grumman, General Electric, BAE systems... Ziko zaidi ya contractors 100 zinazofaidika
Pentagon yeye anatoa hela tu
Kwenye teknolojia huwezi kuwa mkubwa duniani kama huzalishi bidhaa bora, Apple imekuwa kampuni kubwa zaidi ya simu duniani kwa sababu wanazalisha Bidhaa bora, Microsoft wamekuwa kampuni kubwa zaidi ya software duniani kwa sababu wanazalisha software bora,Ukiwaambia habari za Siberia hawataki hata kusikia, ukiona Putin kaona liwalo na liwe jua anajua Siberia kuna hazina ya kutisha sana ya mafuta na gesi. Tuacheni utani ile nchi imebarikiwa sana kila kitu duniani kipo kwa wingi sana
Ukiwaambia habari za Siberia hawataki hata kusikia, ukiona Putin kaona liwalo na liwe jua anajua Siberia kuna hazina ya kutisha sana ya mafuta na gesi. Tuacheni utani ile nchi imebarikiwa sana kila kitu duniani kipo kwa wingi sana

Kichwa chako kimepoa sasa unaweza kujadili senses.Hifadhi ya mafuta na gesi YOTE iliyogundulika duniani haitazidi nusu karne(miaka 50) kwa kiwanga cha leo cha matumizi.
Kichwa chako kimepoa sasa unaweza kujadili senses.
Nimekuuliza maswali yafuatayo:-
1. Do you how laser weapons operate!?
2. What is laser!?
3. Tofauti ya Uchumi na GDP ni ipi!?
Lengo la Urusi hapa ni kukaza masharti mzee. Umewahi hata kupiga mguu pande, mguu sawa hata primary school!?Kremlin says alleged Ukrainian attack on depot harms talks
The Kremlin has said the alleged Ukrainian strike on a fuel depot in Belgorod has created uncomfortable conditions for continued talks with Kyiv over ending the war.
“Of course, this is not something that can be perceived as creating conditions comfortable for the continuation of negotiations,” Kremlin spokesman Dmitry Peskov told reporters on a conference call.
Yaani Urusi imeshambuliwa na Tuhelicopter tuwili wanalia hivi ndio waje washambulie na Mandege ya NATO, wataliaje
Kremlin says alleged Ukrainian attack on depot harms talks