President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,781
- 94,550
Go back tu school hapa siyo Kibera mwanangu. Ulisoma Kiambu, Machakosi au Turkana!?Siku utavuka red line ya NATO utapata jibu muafaka.
Go back tu school hapa siyo Kibera mwanangu. Ulisoma Kiambu, Machakosi au Turkana!?Siku utavuka red line ya NATO utapata jibu muafaka.
Washambulie tu hiyo Ikulu,Watanzania tunaunga mkono.Kuna taarifa kuwa Ukraine imeshambulia ndani ya Russia
Hii Habari imeripotiwa na BBC, Reuters na Shirika la Habari la Urusi
![]()
Ukraine denies attacking fuel depot inside Russia, mayor says fire almost out
Russia accused Ukraine of carrying out an air strike against a fuel depot in the Russian city of Belgorod on Friday, an incident the Kremlin said could affect peace talks, but a top Kyiv security official denied responsibility.www.reuters.com
Jana Jeshi la marekani lilithibitisha msaada wa Silaha umefika Ukraine zikiwemo Helcopter, Habari bado haijathibitishwa na Jeshi la Ukraine ila Gavana wa jimbo lilishombuliwa anasema ni Helcopter za Ukraine..
Nadhani kama hali ndio hii endapo Ukraine watapewa Ndege za kijeshi basi watashambulia Ikulu ya Russia, this is very worrying to Russia
Red line zipo ngapi, hata Ukraine si walimpiga mkwara hasithubutu leo je? Husizani EU hawaijui Military capability ya Russia wanaijua na ndio maana wanaishia kiweka vikwazo, Russia angekuwa mzaifu mbona sasa wangekuwa tayari washaingia kama walivyo ingia Iraq, Afghanistan na Libya.Siku utavuka red line ya NATO utapata jibu muafaka.
Hasara kwa Nani!
We unazungumzia 10nm watu wamefika mwezini 1950's kabla hata ya US unafikiri ni watu kuwachukulia poa.Haina shida ila taja kwnz ni tech ipi wanayotumia kutengeneza chip zao? Mi najua wanatumia mashine za mjapan na za asml za zaman
These are good dreams. Anyway hebu niambie hizo laser unazozisema zimewahi kutumika wapi na zimeshusha na kuharibu missile ipi!?
These are good dreams. Anyway hebu niambie hizo laser unazozisema zimewahi kutumika wapi na zimeshusha na kuharibu missile ipi!?
Huwa sijadiliani na mbumbumbu.![]()
Israel unveils Laser-Based Missile Interception System to replace Iron Dome
Israel unveils 'laser sword' defence system that can stop rockets and drones, following Iranian missile attack on US forces in Iraq Israel has unveiled a 'laser sword' defence system that can stop rockets and drones as tensions in the region continue to simmer. The technological breakthrough...www.jamiiforums.com
We unazungumzia 10nm watu wamefika mwezini 1950's kabla hata ya US unafikiri ni watu kuwachukulia poa.
Kwa hio kwa akili zako unaona hawana uwezo wa kutengeneza 10nm chip?
Russia ndio wakali wa kutengeneza rocket engine US hafuatii mpaka leo, na hivi majuzi hapa wamekataa tena kuiuzia US rocket engines.
Hata Elon Musk alisema rocket engines za Russia sio poa , zipo vizuri mno.
Kwenye rocket engine tech Russia hana mpinzani duniani.
We umekazania chip za 10nm kwa sababu ya hutu tu samsung na chinese phones vinatumia hio tech, lakini hutoifahamu Russia kwenye masuala makubwa kama hayo cause bado tunapambania umeme wa rea na msaada wa mahindi kila kaya bila kusahau zahanati na madawati, siku tukianza kurusha rocket ndio utajua umuhimu wa Russia na upande wa tech wapo wapi, kwa sasa endelea kumtukuza china na US kwa kukuletea visimu vya 10nm processor tech n.k.
India imejifunza na imesaidiwa kurusha satellite nyingi sana na Russia, Russia haangaiki na kuuza simu na charger, jamaa wanafanya deals kubwa kubwa kama kuuza gas, rocket engines, military aircraft, missilea, madude kama s400 n.k, uuzaji wa simu amewaachia China na SK.
Nini tofauti ya uchumi na GDP!?Uchumi wa Russia ni GDP $1.7Billion, uchumi wa US ni $20.9Billions, Japan ni $5.3B, Korea ya Kusini ni $1.6B, Ujerumani ni $3.8B.
Alisikika mjinga mmoja akisema Russia ina deal na mavitu makubwa makubwa kama rockets.
Uchumi wa Russia ni GDP $1.7Billion, uchumi wa US ni $20.9Billions, Japan ni $5.3B, Korea ya Kusini ni $1.6B, Ujerumani ni $3.8B.
Alisikika mjinga mmoja akisema Russia ina deal na mavitu makubwa makubwa kama rockets.
| 1 | United States | $19,485,394,000,000 | $19.485 trillion | 2.27% | 325,084,756 | $59,939 | 24.08% |
| 2 | China | $12,237,700,479,375 | $12.238 trillion | 6.90% | 1,421,021,791 | $8,612 | 15.12% |
| 3 | Japan | $4,872,415,104,315 | $4.872 trillion | 1.71% | 127,502,725 | $38,214 | 6.02% |
| 4 | Germany | $3,693,204,332,230 | $3.693 trillion | 2.22% | 82,658,409 | $44,680 | 4.56% |
| 5 | India | $2,650,725,335,364 | $2.651 trillion | 6.68% | 1,338,676,785 | $1,980 | 3.28% |
| 6 | United Kingdom | $2,637,866,340,434 | $2.638 trillion | 1.79% | 66,727,461 | $39,532 | 3.26% |
| 7 | France | $2,582,501,307,216 | $2.583 trillion | 1.82% | 64,842,509 | $39,827 | 3.19% |
| 8 | Brazil | $2,053,594,877,013 | $2.054 trillion | 0.98% | 207,833,823 | $9,881 | 2.54% |
| 9 | Italy | $1,943,835,376,342 | $1.944 trillion | 1.50% | 60,673,701 | $32,038 | 2.40% |
| 10 | Canada | $1,647,120,175,449 | $1.647 trillion | 3.05% | 36,732,095 | $44,841 | 2.04% |
| 11 | Russia | $1,578,417,211,937 | $1.578 trillion | 1.55% | 145,530,082 |
Akate afe njaa...Wale wajuzi hivi tar 1 April si ndo Leo. Vp Putin amekata huduma ya gesi ulaya au wamekubali kununua kwa rubles.?
Nini tofauti ya uchumi na GDP!?
Unaelewa maana ya GDP!?
Nini tofauti ya uchumi na GDP!?
Unaelewa maana ya GDP!?
Ni mhanga wa stori za vijiweni kwamba marekani ako na Reserve ya 100 years
Marekani ana reserve ya mafuta miaka 100? Ila wabongo wanadanganywa sana[emoji28][emoji28] . Mmarekani anavyopenda sifa angeforce kuendelea kwa teknolojia ya magari ya umeme?? Si angetumia hayo mafuta kupata faida?.
Russia pekee ndo anaetegemewa kuwa msaada wa mafuta karne zijazo kwani ile Siberia ina reserve kubwa ya gas na mafuta na hajayagusa.
Msidanganywe na stori za abunuasi.
Wewe mkenya unaleta taarifa kutoka Wikipedia unajua maana ya GDP!? and it limitations!?Takwimu fikirishi(GDP)
1 United States $19,485,394,000,000 $19.485 trillion 2.27% 325,084,756 $59,939 24.08% 2 China $12,237,700,479,375 $12.238 trillion 6.90% 1,421,021,791 $8,612 15.12% 3 Japan $4,872,415,104,315 $4.872 trillion 1.71% 127,502,725 $38,214 6.02% 4 Germany $3,693,204,332,230 $3.693 trillion 2.22% 82,658,409 $44,680 4.56% 5 India $2,650,725,335,364 $2.651 trillion 6.68% 1,338,676,785 $1,980 3.28% 6 United Kingdom $2,637,866,340,434 $2.638 trillion 1.79% 66,727,461 $39,532 3.26% 7 France $2,582,501,307,216 $2.583 trillion 1.82% 64,842,509 $39,827 3.19% 8 Brazil $2,053,594,877,013 $2.054 trillion 0.98% 207,833,823 $9,881 2.54% 9 Italy $1,943,835,376,342 $1.944 trillion 1.50% 60,673,701 $32,038 2.40% 10 Canada $1,647,120,175,449 $1.647 trillion 3.05% 36,732,095 $44,841 2.04% 11 Russia $1,578,417,211,937 $1.578 trillion 1.55% 145,530,082