Mtoto wa nzi
JF-Expert Member
- Jun 6, 2012
- 10,781
- 20,059
Napitaga kama naaga maiti Mzee... Wajuaji wamekuwa wengi sana ... Acha Kila mtu apunwe Kwa akili zake.Mzeee umepotea jukwaani
Napitaga kama naaga maiti Mzee... Wajuaji wamekuwa wengi sana ... Acha Kila mtu apunwe Kwa akili zake.Mzeee umepotea jukwaani
Ila leo ni tarehe 01/04.Siku siku yenu wajinga duniani.[emoji16][emoji16][emoji16]Oooh tuna S400, S500 leo tumedhihirisha uongo wenu
Naiona nyomi yao ila hawana mwendo tu namalizia kupack makombola kwenye ndege mda si mrefu watasepaPro Ukraine wamefufuka kumbe walikua wanasoma uzi kimyakimya wiki yote hii
Ni mhanga wa stori za vijiweni kwamba marekani ako na Reserve ya 100 yearsHakuna kitu kigumu kama kumwelewesha mfuasi wa jua linakozamia. Ngumu mno tena mno.
Hapo hapo kwenye data alizokupa kaandika kua anazalisha 15Millions barrers per Day, ana Consumption ya 19Millions barrers per Day. Walau kujiuliza tu hiyo deficit anaifidia vipi hataki [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kibaya zaidi angalau basi ajiulize kama kwake kuna deficit atapatia wapi kiasi cha ziada kwenda kulisha nje? Zaidi tena hajiulizi kule Venezuela alienda kutafuta nini? Zaidi tena hajiulizi hiyo reserve ya almost 600Millions barrer per day kulingana na rate yake ya matumizi itasurvive kwa mda gani?
Zaidi tena hajiulizi kwanini US anawaambia China na India wa'release their reserves il ku'ration bei ya Oil and Gas hii inayozidi kukwea kila uchao?
Hawajiulizi kwa hii total oil Consumption ya Europe ya 16M barrer per day, ambayo Russia ana share ya takriban 40% ikiwa na maana ya takriban 6.4M barrer per day atazifidiaje kwa hyo 1M barrer aliyoanza kuiachia kwa siku...? Na hizo 1M bpd kutoka reserve haziendi Europe zinatumika apo apo USA.
Hadi unakaa chini unajiuliza hawa jamaa huwa wanawaza kwa kutumia nini [emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]... Ukimpa data zako hazitaki... Zile zile zake zinamfunga vile vile [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwa hivyo Hypersonic missiles travel faster than light? Electronic warfare is a nanoseconds game with nanoseconds manuevers.Nothing like that. Mzee nakushauri ujifunze. Hata hivyo laser weapon Russia wameanza kutengeneza miaka ya 1970s.
Ninajaribu kukusaidia tu.
1.Laser need energy kubwa mno ili kutengeneza beam ya kwenda mbali.
2. Laser target straight and one direction. Na inafaa sana kwenye kitu ambacho kipo kimesimama.
Hypersonic missiles zipo kwenye speed na zinafanya manuva haraka.
GO BACK TO SCHOOL.
Tudadavulie machache yaliyomo hukoNingekuwa hapa tokea awali ningetoa somo si kwamba vita hii na impact yake nimesimuliwa bali nimeona pande zote mbili! Russia ana tabu sana ninaishi Russia unapata mwaka wa 7 sasa
Haya bana ngoja tuoneNapitaga kama naaga maiti Mzee... Wajuaji wamekuwa wengi sana ... Acha Kila mtu apunwe Kwa akili zake.
Mzee nilivyo sema Go back to school ninamaanisha.Kwa hivyo Hypersonic missiles travel faster than light? Electronic warfare is a nanoseconds game with nanoseconds manuevers.
Nothing like that. Mzee nakushauri ujifunze. Hata hivyo laser weapon Russia wameanza kutengeneza miaka ya 1970s.
Ninajaribu kukusaidia tu.
1.Laser need energy kubwa mno ili kutengeneza beam ya kwenda mbali.
2. Laser target straight and one direction. Na inafaa sana kwenye kitu ambacho kipo kimesimama.
Hypersonic missiles zipo kwenye speed na zinafanya manuva haraka.
GO BACK TO SCHOOL.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] eeeenhe, hatariiii...Ni mhanga wa stori za vijiweni kwamba marekani ako na Reserve ya 100 years
Mzee unatuletea story za video games.![]()
Pentagon advances new technology to destroy Hypersonic Missile attacks
Pentagon advances new technology to destroy hypersonic missile attacks Washington, D.C. - Carrier strike groups, mechanized armored columns of ground vehicles and sensitive ground sites can all be destroyed in a matter of several minutes by fast, maneuverable hypersonic weapons traveling at...www.jamiiforums.com
Mzee nilivyo sema Go back to school ninamaanisha.
Kwanza kabisa unatakiwa uijue technology ya laser weapon how operates.
Pili nakusihi ujue source of energy kwaajili ya ku operate na kuzalisha laser rays. Inahitaji kifaa cha kilo 30 - 40 kuzalisha jast 1Kw.
Lasers take a lot of energy and have difficulty penetrating haze, dust, smoke and materials with anti-laser coatings.
So most siku hizi drone dizo njia nzuri za kusafirisha weapo to the target. Sasa drone kuwa na uwezo wa kubeba more than 500kg for small impact ni upuuzi tu.
Laser weapons faces lot of challenges.
Kinetic Enery weapons bado zinanguvu mno.
Ndio maana huwezi mpaka sasa ukakuta ndege inayotumia electric as a source of energy.
MZEE HAYA NI MAMBO YA SCIENCE. NYIE MBUMBUMBU TULIENI TUWAFUNDISHE.
Leo kwa sababu nimeamua kufundisha ngoja nifundishe Physics kidogo.Kwa hivyo Hypersonic missiles travel faster than light? Electronic warfare is a nanoseconds game with nanoseconds manuevers.
Keep dreaming ,changamoto nyingi za matumizi ya silaha za LASER zimetatuliwa. The future is now.Mzee nilivyo sema Go back to school ninamaanisha.
Kwanza kabisa unatakiwa uijue technology ya laser weapon how operates.
Pili nakusihi ujue source of energy kwaajili ya ku operate na kuzalisha laser rays. Inahitaji kifaa cha kilo 30 - 40 kuzalisha jast 1Kw.
Lasers take a lot of energy and have difficulty penetrating haze, dust, smoke and materials with anti-laser coatings.
So most siku hizi drone dizo njia nzuri za kusafirisha weapo to the target. Sasa drone kuwa na uwezo wa kubeba more than 500kg for small impact ni upuuzi tu.
Laser weapons faces lot of challenges.
Kinetic Enery weapons bado zinanguvu mno.
Ndio maana huwezi mpaka sasa ukakuta ndege inayotumia electric as a source of energy.
MZEE HAYA NI MAMBO YA SCIENCE. NYIE MBUMBUMBU TULIENI TUWAFUNDISHE.
Unamaanisha kuwa Urusi nayo inaweza tengeneza Propaganda sio West tu?Hii habari imetangazwa na Urusi yenyewe kwa hiyo ina walakini mkubwa sana kama ni kweli au kuna lengo fulani linalo kusudiwa.
These are good dreams. Anyway hebu niambie hizo laser unazozisema zimewahi kutumika wapi na zimeshusha na kuharibu missile ipi!?Keep dreaming ,changamoto nyingi za matumizi ya silaha za LASER zimetatuliwa. The future is now.
A recent report from DOD’s top scientific advisors has concluded that weapons based on the power of the laser will prove to be faster, more precise, and cheaper than any now in the US inventory. “High-power lasers have the potential to change future military operations in dramatic ways,” the report said.
The report went on, “The United States is in a position to exploit current high-energy laser technology to take advantage of speed-of-light engagement, precisely controlled effects, deep magazines, low cost per shot, and reduced logistics footprint.”
Uelewa wako wa sayansi na teknolgia finyu kweli. Ficha ujinga.Leo kwa sababu nimeamua kufundisha ngoja nifundishe Physics kidogo.
Mzee kama nilivyokwambia hapo juu.
1. Unahitaji kifaa cha uzito wa 30 to 40kg kuweza kuzalisha 1kw for laser beam.
Yaani computer inauwezo wa ku consume 400 - 500W.
Maana yake unakuwa bettery inayotuza umeme yenye ukubwa wa 30kg ili kuweza kutengeneza power yenye uwezo wa ku operate 2 computers.
Kumbuka bettery inaisha chaji kadri unavyoitumia.
Ndio maana wanasayansi wamefanikiwa kutengeneza magari madogo madogo tu yanayotumia umeme. Hii ni kwasababu hayahitaji energy kubwa.
Huwezi kwa sasa ukatengeneza Lory na mizigo linalotumia umeme. Maana yake utahitaji bettery yenye more than 10tones ibebwe na hilo gari. Which is the stupid Idea.
Siku utavuka red line ya NATO utapata jibu muafaka.These are good dreams. Anyway hebu niambie hizo laser unazozisema zimewahi kutumika wapi na zimeshusha na kuharibu missile ipi!?
Mzee wa copy and paste. Unataka kuongea na nguli wa Science. Ukija kwenye Science and Technology nakuacha mbali mno mwanangu.Uelewa wako wa sayansi na teknolgia finyu kweli. Ficha ujinga.