Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Mimi nimesema demand ya EU per day kutoka Russia!US si anatoa reserve yake Kwa EU kureplace utegemezi Kwa Russia!Sasa 15 bil cubic meters ni chache kulingana na 150 bil cubic meters anazotoa Russia!
Demand ya EU per day kutoka Russia ni barrel mil 100+!
Mfumuko wa bei hautakwepeka iwapo Russia hatauza gas yake!US hawezi kureplace gas ya Russia anayowauzia EU!
Anayeuza gesi sana (Qatar) alishasema haiwezekani kureplace gesi ya urusi inayotakiwa ulaya! Kama EU wakiachana na gesi ya Russia option nzuri ilobaki ni qatar na ndio hao wamesema haiwezekani kumreplace kwenye soko la energy duniani.

Putin kumkingia kifua Assad asikimbizwe pale syria Syria ilikuwa kete muhimu sana. Walikuwa wanataka kumuweka kibaraka wao ili wajenge mabomba ya gesi kutoka qatar kwenda ulaya kupitia syria.

Putin hapo alipo kahakikisha EU hawana option ya gesi nyingine popote pale duniani alaf ndio anawalazimisha wafanye anavyotaka. Unyama sana Putin[emoji1787].
Ulaya hawawezi kusurvive bila gesi ya urusi hata kwa mwaka mmoja. Tukumbuke asia nao wanakuja mbio kwenye mambo ya uzalishaji na uchumi in general. Kama wakisubiria mpk 2027 ambapo wanaproject watakuwa wamepata mbadala wa gesi ya urusi watakuwa wamedoroa sana kiuchumi na pengine kupitwa na nchi za Asia.

Good thing ni kwamba EU wana pride sana kukubali kupitwa kimaendeleo na jamii nyingine duniani kisa tu wamegomea gesi ya mrusi.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Trivial matter- google energy conversion systems .
Mzee nataka nikuekeze kidogo tu. Tuanze kama ifuatavyo:-

As a laser travels to its target, “it encounters atmospheric effects that distort the beam and cause it to lose its focus.” Particles in the atmosphere such as water vapor, sand, dust, salt, and pollution can all absorb or refract a laser’s energy, and thermal blooming is of particular concern in high-power laser weapons.

First, a laser can only stop a missile if it generates enough energy to cut into its electronics package. By adding a harder, thicker layer of outside shielding, adversaries can strengthen a missile’s “skin” and prevent it from being disabled.

Second, lasers can only focus on one target at a time. An adversary could simply launch a salvo attack to oversaturate laser defenses.

Third, laser weapons can only destroy targets in their line of sight. This means most systems would be unable to target low-flying cruise missiles. Moreover, line-of-sight systems are restricted by the curvature of the earth and risk letting targets get away over the horizon—a limitation not faced by heat-seeking kinetic interceptors.
 
Wachambuzi feki hao. Get your facts straight ->
EIA’s preliminary data for 2021 indicates that U.S. total petroleum production averaged about 16.582 million barrels per day (b/d), which included:



Total U.S. petroleum consumption (reported as product supplied) averaged about 19.782 million b/d in 2021. The difference between petroleum consumption and production is mainly composed of net imports (imports minus exports) of petroleum and changes in petroleum inventories.


Let freedom ring:To life,liberte' and pursuit of happiness.
Warusi waongo sana
 
No need kulipua mabomba, Vladimir apewe hizo takataka zake. Ndani ya miezi sita West watajenga mfumo madhubuti wa nishati usiotegemea mafuta wala gesi ya Urusi. Putin atakoma kutisha kuangamiza dunia kwa mabomu ya nuklia. Ataangamia yeye kabla ya dunia-huo ndio ukweli.
Wazungu wajanja sana hawatalipua maana wanajua Putin hatakaa muda mrefu, wanaweza kubali umia kwa miaka 5 ila Urusi itaumia muda mrefu
 
SmartSelect_20220401-115509_Twitter.jpg
 
Governor wa urussi amekubali we mkaazi wa kwa mpalange ni nani upinge.

Ngoja PRONATOAMERICA media zingechachamaaa nayo kinomanoma ... Zamani wakati bado Kuna ubabe tulikuwa nikupita mbele yako najipiga mtama paaa .naanguka na wanafunzi wanaona nakushushia kichapo... Na ulienda Kwa mwalimu nakushinda nnaushahidi umeanza kunipiga mtama (kumbe nimejipiga mtama)..... Tatizo kichwa yako ni OPEN-ENDED PIPE ... Kinachoingia upande wa kwanza kinatokea upande wa pili ..kichwa yako haiifadhi kitu.
 
Kuna taarifa kuwa Ukraine imeshambulia ndani ya Russia

Hii Habari imeripotiwa na BBC, Reuters na Shirika la Habari la Urusi



Jana Jeshi la marekani lilithibitisha msaada wa Silaha umefika Ukraine zikiwemo Helcopter, Habari bado haijathibitishwa na Jeshi la Ukraine ila Gavana wa jimbo lilishombuliwa anasema ni Helcopter za Ukraine..


Nadhani kama hali ndio hii endapo Ukraine watapewa Ndege za kijeshi basi watashambulia Ikulu ya Russia, this is very worrying to Russia
Poland akiwapa Ukraine zile ndege 28 Urusi atapata taabu maana atapigwa ndani.... Hapo ndo Nukes zitatumika kwa mara ya 2
 

Russia’s Gazprom says gas exports to Europe via Ukraine continue​

Russian state-owned energy giant Gazprom has said it was continuing to supply natural gas to Europe via Ukraine in line with requests from European consumers.


The company said requests stood at 108.4 million cubic metres (mcm) for April 1, down from 109.5 mcm a day earlier.

Watanzania acheni kujidanganya EU na Ulaya ni Mataifa yenye uchumi mkubwa sana, kwa sasa wanaweza kutunishiana misuli na USA labda na China ila si Russia...
Mikataba iheshimiwe
 
inawezekana ila sio rahisi hivyo hasa kwa helicopters kuna military jets zinaweza zikafanya hivyo nausiulize mara mbili x2, lakini kama ni helicopter aisee especially amid hii millitary operation nitakuwa mtu wamwisho kuamini hilo
Kwamba unabishana na waliotoa taarifa
 
Baada ya majaribio madogo ya muda mrefu hatimaye Pentagon waliwapa kandarasi ya kutengeneza silaha kubwa ya laser makampuni mawili ya silaha ya Marekani, Boeing na General Atomics Aeronautical Systems(GA-ASI). Majaribio ya kwanza ya silaha kubwa za kilowat 300 za laser yanatarajiwa kufanyika na jeshi kuanzia mwaka 2022.
Mzee nataka nikuekeze kidogo tu. Tuanze kama ifuatavyo:-

As a laser travels to its target, “it encounters atmospheric effects that distort the beam and cause it to lose its focus.” Particles in the atmosphere such as water vapor, sand, dust, salt, and pollution can all absorb or refract a laser’s energy, and thermal blooming is of particular concern in high-power laser weapons.

First, a laser can only stop a missile if it generates enough energy to cut into its electronics package. By adding a harder, thicker layer of outside shielding, adversaries can strengthen a missile’s “skin” and prevent it from being disabled.

Second, lasers can only focus on one target at a time. An adversary could simply launch a salvo attack to oversaturate laser defenses.

Third, laser weapons can only destroy targets in their line of sight. This means most systems would be unable to target low-flying cruise missiles. Moreover, line-of-sight systems are restricted by the curvature of the earth and risk letting targets get away over the horizon—a limitation not faced by heat-seeking kinetic interceptors.
 
We ni mwehu ....
Silaha za laser "Laser weapons" ndio silaha zinazotegemewa kuwa silaha za viwango vya juu zaidi duniani kuyasaidia majeshi dhidi ya makombora yote katika karne ya 21.

Silaha za laser ni silaha za aina gani?

Silaha za laser ni silaha zitakazokuwa zinatumia nguvu za miale ya laser kuharibu mifumo ya vifaa vya kijeshi kama maroketi, helicopters, ndege, rada, makombora n.k ishindwe kufanya kazi zake, kutembea au ishindwe kulipuka kama ilivyokusidwa kwenye target yake pale miale hiyo ya laser inapoelekezwa katika vifaa hivyo.

Hizi ni silaha mojawapo katika kundi la silaha zinazoitwa Directed Energy Weapons (DEW), nyingine ya silaha katika kundi hili zitakuwa ni za microwaves, particle beams na sound beams.
 
Mimi nimesema demand ya EU per day kutoka Russia!US si anatoa reserve yake Kwa EU kureplace utegemezi Kwa Russia!Sasa 15 bil cubic meters ni chache kulingana na 150 bil cubic meters anazotoa Russia!
Demand ya EU per day kutoka Russia ni barrel mil 100+!
Mfumuko wa bei hautakwepeka iwapo Russia hatauza gas yake!US hawezi kureplace gas ya Russia anayowauzia EU!
Hakuna kitu kigumu kama kumwelewesha mfuasi wa jua linakozamia. Ngumu mno tena mno.

Hapo hapo kwenye data alizokupa kaandika kua anazalisha 15Millions barrers per Day, ana Consumption ya 19Millions barrers per Day. Walau kujiuliza tu hiyo deficit anaifidia vipi hataki [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Kibaya zaidi angalau basi ajiulize kama kwake kuna deficit atapatia wapi kiasi cha ziada kwenda kulisha nje? Zaidi tena hajiulizi kule Venezuela alienda kutafuta nini? Zaidi tena hajiulizi hiyo reserve ya almost 600Millions barrer per day kulingana na rate yake ya matumizi itasurvive kwa mda gani?

Zaidi tena hajiulizi kwanini US anawaambia China na India wa'release their reserves il ku'ration bei ya Oil and Gas hii inayozidi kukwea kila uchao?

Hawajiulizi kwa hii total oil Consumption ya Europe ya 16M barrer per day, ambayo Russia ana share ya takriban 40% ikiwa na maana ya takriban 6.4M barrer per day atazifidiaje kwa hyo 1M barrer aliyoanza kuiachia kwa siku...? Na hizo 1M bpd kutoka reserve haziendi Europe zinatumika apo apo USA.

Hadi unakaa chini unajiuliza hawa jamaa huwa wanawaza kwa kutumia nini [emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]... Ukimpa data zako hazitaki... Zile zile zake zinamfunga vile vile [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Silaha za laser "Laser weapons" ndio silaha zinazotegemewa kuwa silaha za viwango vya juu zaidi duniani kuyasaidia majeshi dhidi ya makombora yote katika karne ya 21.

Silaha za laser ni silaha za aina gani?

Silaha za laser ni silaha zitakazokuwa zinatumia nguvu za miale ya laser kuharibu mifumo ya vifaa vya kijeshi kama maroketi, helicopters, ndege, rada, makombora n.k ishindwe kufanya kazi zake, kutembea au ishindwe kulipuka kama ilivyokusidwa kwenye target yake pale miale hiyo ya laser inapoelekezwa katika vifaa hivyo.

Hizi ni silaha mojawapo katika kundi la silaha zinazoitwa Directed Energy Weapons (DEW), nyingine ya silaha katika kundi hili zitakuwa ni za microwaves, particle beams na sound beams.
Nothing like that. Mzee nakushauri ujifunze. Hata hivyo laser weapon Russia wameanza kutengeneza miaka ya 1970s.

Ninajaribu kukusaidia tu.
1.Laser need energy kubwa mno ili kutengeneza beam ya kwenda mbali.
2. Laser target straight and one direction. Na inafaa sana kwenye kitu ambacho kipo kimesimama.

Hypersonic missiles zipo kwenye speed na zinafanya manuva haraka.

GO BACK TO SCHOOL.
 
Back
Top Bottom