NYUNDO YA MOTO
JF-Expert Member
- Jun 12, 2015
- 5,360
- 17,003
Nimesema ina walakini kwa sababu mpaka sasa Urusi ndio imetoa taarifa hiyo na Ukraine mpaka sasa haijatoa taarifa yeyote kuhusu hilo shambulizi jambo ambalo si la kawaida hata kwenye taarifa ya kila siku ya jeshi la Ukraine haijatoa taarifa kama hiyo.Unamaanisha kuwa Urusi nayo inaweza tengeneza Propaganda sio West tu?
Mzee unaongelea Office softwares siyo!?
Je unaweza kutuletea Space software, Military softwares etc!?
Kwa mabomu na mizinga mkuu .... 🤣🤣🤣🤣kwa Nini ya pili ni sababu yao hiyo juu nimekuzingua tu ( kudhoofisha Urusi) Maana kama shida yao ni kudhoofisha uchumi wa Urusi vikwazo havizaidii ni mabomu 10 tu za njia zote halafu uchumi wa Urusi kwishnehi .... Wanahangaika na vikwazo na wanamlipa kununua mafuta na gesi ni ujinga KAMA KUANIKA NGUO KWEYE MAJI BAHARINI NA UNASUBIRI YAKAUKE au KUKANDAMIZA BALL KWENYE PIPA UKIACHIA TU UNAKUPIGA USONI .... Walipue yaishe uchumi wa Urusi udorore halafu tuone nani atadorora zaidi. Vitu vingine ni simple like ABC, Marekani SI huyu aliweka vikwazo kwenye agric inputs za Russia mbona kaachia!!?? MKUKI HAUPIGWI KONZI Mzee utaumiaKwanini walipue?
Ulishawahi kutumia Kaspersky!?Hakuna jeshi duniani linaweza kuwa na teknolojia kubwa kuzidi kampuni binafsi. Teknolojia zote za majeshi imara na ya kisasa duniani zinatengenezwa na kampuni binafsi.
Jeshi la Russia bado ni la kizamani kiteknolojia ukilinganisha na nchi nyingi kwa sababu Russia haina makumpuni makubwa binafsi ya teknolojia yanayoweza kupewa tender za usalama na pia kuna rushwa iliyokithiri ambayo inafanywa na wakuu wa usalama na viongozi jeshini kwenye bajeti ya jeshi.
Ukweli ulionao Nanjilinji..ambao EU,NATO wasiujue...No need kulipua mabomba, Vladimir apewe hizo takataka zake. Ndani ya miezi sita West watajenga mfumo madhubuti wa nishati usiotegemea mafuta wala gesi ya Urusi. Putin atakoma kutisha kuangamiza dunia kwa mabomu ya nuklia. Ataangamia yeye kabla ya dunia-huo ndio ukweli.
Jifunze walau kidogo tu kutofautisha ukubwa wa biashara na ubora wa bidhaa inayozalishwa. Panua akili hiyo mdogo wangu.
Ulishawahi kutumia Kaspersky!?
We endelea kudownload windows za ku crack na adobe kwenye torrents.Hakuna jeshi duniani linaweza kuwa na teknolojia kubwa kuzidi kampuni binafsi. Teknolojia zote za majeshi imara na ya kisasa duniani zinatengenezwa na kampuni binafsi.
Jeshi la Russia bado ni la kizamani kiteknolojia ukilinganisha na nchi nyingi kwa sababu Russia haina makumpuni makubwa binafsi ya teknolojia yanayoweza kupewa tender za usalama na pia kuna rushwa iliyokithiri ambayo inafanywa na wakuu wa usalama na viongozi jeshini kwenye bajeti ya jeshi.
Hahaha haya boss.Kwa mabomu na mizinga mkuu .... 🤣🤣🤣🤣kwa Nini ya pili ni sababu yao hiyo juu nimekuzingua tu ( kudhoofisha Urusi) Maana kama shida yao ni kudhoofisha uchumi wa Urusi vikwazo havizaidii ni mabomu 10 tu za njia zote halafu uchumi wa Urusi kwishnehi .... Wanahangaika na vikwazo na wanamlipa kununua mafuta na gesi ni ujinga KAMA KUANIKA NGUO KWEYE MAJI BAHARINI NA UNASUBIRI YAKAUKE au KUKANDAMIZA BALL KWENYE PIPA UKIACHIA TU UNAKUPIGA USONI .... Walipue yaishe uchumi wa Urusi udorore halafu tuone nani atadorora zaidi. Vitu vingine ni simple like ABC, Marekani SI huyu aliweka vikwazo kwenye agric inputs za Russia mbona kaachia!!?? MKUKI HAUPIGWI KONZI Mzee utaumia
Wazee wa kugoogle na kucoympy na kupaste mradi tu alichosearch kimekuja hata akili ya kuzichakata hizo taarifa zilizokuwa hana kabaki na AKILI ZA KWENDA CHOONI NA KUVUKIA BARABARA.Do you know how laser weapons work!?
Muongo huyo, kaanzisha uzi anakimbia maswali.Tudadavulie machache yaliyomo huko
Mamamaaaae ndio umemaliza Hapo (How laser weapon works) tena Kwa kugoogle... Ubongo wako umejaa MAKAMASILASER machine tools(presicion cutting of metal components in industry)are commonplace. Extension to military application doenst require genius.