Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Na kingine cha ajab kila mda nazidi kukwambia jifunze kuelewa hutaki [emoji23][emoji23][emoji23]... Apo nimesema kwamba umetuma ela ya biashara? Kabla haijaja hii mifumo ya sasa ambapo unafanya exchange Online.

Ingekuwa ni kutuma ela mkononi. Nje ya mipaka yako ungemtumia pesa ipi? Usipoibadilisha kabla ya kuituma ukatakiwa ukabadilishe ukifika utaenda na mawe au na hyo pesa ukaibadilishe uko ukifika.

Unajua kama Money Exchange ni business? Unafikiri hizo pesa zinabadilishwa bure? Ulishawahi kubadilisha ela yako kwenda ela nyingine bure?

Ukiambiwa na kaka ako kale hotelin kisha akaku,limit kula kwenye hotel ya rafiki yake tu unajua kamnufaisha nani apo?

Tumia akili kijana hayo mahaba ya kuchagua kutokuelewa hayakusaidii...

Hii mambo ata ukimpa mtoto wa darasa la tatu anaelewa... Hujiulizi sababu hasa za EU kulazimisha kuendelea kulipia kwenye Euro. Coz wanajua kubadilisha fedha kuna gharama. Na hizo gharama ndio hawazitaki na bahati mbay hazikwepeki labda waamue tu kuacha kuinunua Gas hiyo.

Nimekutolea mpaka mfano kua endapo mwanzo walikuwa wanalipa 1000Euro Directly sa hivi itabidi walipie 1000Euro plus Exchange Fee...

That is Before ilikuw 1000Euro Directly...
Now ni 1000Euro + Conversion Fee.

Na kwa taarifa ako Exchange Fee kwa Euro 1000 ni kama 25Euro hivi... Sasa piga hesabu ya Euro 25 kwa kila 1000Euro wanayolipia [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]... Taratibu mtaenda mnarudisha mlizoiba kwa kisingizio cha Vikwazo zidi ya Ukraine.

Nimekujibu vizuri sana katika post yangu lakini unauliza hilo hilo swali, nimeanza kugive up na wewe kwasababu hushiki mambo rahisi.

Nimekwambia gharama za ubadilishaji sarafu atazipata urussi na ndio maana EU hawakununua moja kwa moja Rubo.

EU wanalipa pesa walioelewana kwenye mkataba(bila exchange fee amabayo haikua katika mkataba)

Babu kitu gani hapo kigumu huelewi. Nkt
 
Around Russia and Belarus, as part of the US program, a network of biological laboratories has been created to develop bioweapons against certain ethnic groups, Dmitry Peskov said.
Galip SV Liwagu
20220329_102107.png
 
Hakuna kulipa kwa Rubi hakuna huduma mbona watakoma mwaka huu😂😂😂
Lakini wao wenyewe wamesema hawatokata supply? German na France wameweka msimamo wao hawalipi kwa Ruble, "The Ruble has been reduced to Rubble"🤣🤣🤣
 
Mzee, kwa mfano leo kuna watu wakiamua soko la dhahabu likwame ni kweli linaweza kwenda zero...

Usifikiri Dunia hii hasa Ulaya na US inategemei gesi ya urusi tu ili ku survive as the only means sahau kabisa... kwa hiyo mrusi asifikiri yeye ana kitu cha kipekee duniani...nakuhakikishia ndani ya miaka 5 hadi kumi Urusi itapotea kiuchumi.

Haya yote huwa yanakuja na Trust....nani leo anamwamini Putin duniani?

Kama huaminiwi na mataifa ya Ulaya na US wewe huna maana yoyote...maana hela ndiko ziliko utake usitake.

Russia sio Zimbabwe wala Africa. Shida umetawaliwa na mawazo ya west mtu kama wewe hata ukipewa elimu bado. Unaamin dunia ni US na ulaya tu.

Putin anaungwa mkono na watu smart sio wanafiki kama hao unaowatukuza.
 
Wewe ndio mweupe sababu hata huelewi umejibiwa kipi kwenye swali lako ulilouliza soma vyema uelewe kabla hujaanza vihoja vyako
Nimekuuliza hilo swali ndo ujiingize mtegoni na ukaingia mazima. Alichofanya Urussi ni kupegg sarafu yake.

Hio inaitwa currency manipulation, hajai acha sarafu yake ifloat freely katika soko manake anajua itaanguka.

Hata mama Samoa anaweza Fanya hivyo. Wajinga ndo watadhani hayo ni mafanikio
 
US maskini anaanza kupoteza ushawishi kama utani
Hv huko PENTAGONI na JUMBA JEUPE hawalioni hili
Ila acha inyeshe tutaona panapovuja kwakweli
Mkuu vipi kule Ukraine tumemfikia wapi? Pale Kyiv tunaingia lini ili kukata mzizi wa fitna?
 
Nimesoma ulicho andika na nimebaki nikitikisa kichwa, kwa akili hizi Africa bado tunasafari ndefu sana.

Nilidhania huu muda mwingi umetumia kabla kunijibu utarudi na hoja za maana kumbe ni Yale yale matusi.

Umejaribu sana kukwepa maswali yangu lakini ukateleza na umeshajifunga mwenyewe.

Umetoa mfano kwamba nitume hela kwa ksh mpaka Uganda. Tukifikia hapo tu itakuwa hela niliyoitumia Mimi kama medium ya biashara itakua ksh sindio?

Je unafahamu msimamo wa Putin awali ilikua kinyume na hivyo. Kile alitaka ni benki za EU zinunue rubo moja kwa moja kutoka gazprom na waziifadhi kwa Benki zao ulaya. Alafu baade wachomoe hizi rubo wazitume benki kuu ya urussi kupitia gazprom.

Hapo Putin amelegeza msimamo wake na EU wanaweza jigamba kwamba wamelipia mafuta/gesi kwa sarafu yao na yeye akaigeuza mwenyewe kwa gharama yake na Benki yake. Kuna kitu gani huelewi hapa.
Mkuu pana watu hapa huwa wanadhani kuandika mi comment mirefu ndiyo kujua kila kitu,lakini ukisoma wanachokandika sasa,bora mimi na basic concepts zangu za International Finance enzi zile nafuta ujinga
 
In Spain, farmers have to slaughter their livestock as milk production has become unprofitable.

Farmers are trying to limit feed purchases and reduce the portions given to animals, but even this does not help to achieve payback.

“Costs have skyrocketed, but milk prices have remained the same. As a result, the difference turns out to be too large and milk production becomes unprofitable,” says one of them.

Russia and Ukraine produced and exported about 30% of the world's wheat supply, along with corn, animal feed and fertilizers.
Galip SV Liwagu
20220329_102107.png
 
🤣🤣🤣 Hivi Hypersonic na high precision weapons hazikumaliza Silaha za Ukraine pamoja na Helicopter zake Hadi waende kuvamia Ndani ya Russia...

Au zile ni ndege za Russia zimefanya false flag Operation
 
Back
Top Bottom