Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

masikini 🙆‍♂️ wameacha familia zao huko kisa kichaa mmoja asie na nywele kichwani
Depressed accordion player (still different )
 
We jamaa, mtu anazungumzia habari ya dunia kuamua dhahabu isiwe na thamani we unaona ameongea point hadi unamshukuru !!!!!
Sasa unachobisha ni nini mzee kwani kwa akili yako leo hii serikali ya Tanzania ikiamua kwamba ndani ya mipaka ya Tanzania hatutakuwa tunatumia tena pesa kama kipimo cha kubadirishana vitu badala yake karata ndo zitakuwa zinatumika na kila karata ikapewa thamani yake, unafikiri hii pesa uliyo nayo apo mfukoni mwako itaendelea kuwa na thamani au itageuja makaratasi na na kutumiwa chooni tu?
 
The original stop sign. True, it did n’t help much
 
Jamaa anadhani Dunia yote ni kama Russia anaweza kuiendesha apendavyo,mikwara ya kuwa balckmail na gesi yake imekwama.Hawajalipa kwa madafu yake na hajakata hiyo gesi,kama kweli yeye ni kidume akate sasa.
Duh...
 
Yaani US na Wachumba zake wakiruhusu hili litokee basi nakuhakikishia hawatakaa warejeshe tena USD POUND na EURO zao kama awali
Yaani hio itakua imekula kwao mazima hakuna cha within wala without
VIVA PUT IN
Wachumba si ni wale wanaofurushwa Ukraine wanakimbilia kujiregroup,unazidi mtu kwa kila kitu na bado anakutoa kamasi mpaka sasa na bado unajiita kidume.
SLAVA UKRAINE,SLAVA ZELENSIKY ✊
 
Wewe hujielewi, sio benki zote za urussi zimepigwa sanction, kuna zile zimeachwa kwa madhumuni ya kufanya biashara ya mafuta/gesi.

Sasa Putin alipoona ulaya imedinda kununua kwa rubo, akabadili msimamo na kuwarusu kulipa kwa dollar/euro alafu benki ya gazprom iigeuze kwa rubo.

Sasa hapo Putin kazidiwa maarifa na jeuri ya kufunga mifereji hana kwa sababu anahitaji pesa kwa uchumi wake uliokua dhaifu.

Ulaya wananunua mafuta kwa dollars/euros. Period
Kwa hiyo hiyo Bank itabadilisha uero/Usd bure?
 
Sasa unachobisha ni nini mzee kwani kwa akili yako leo hii serikali ya Tanzania ikiamua kwamba ndani ya mipaka ya Tanzania hatutakuwa tunatumia tena pesa kama kipimo cha kubadirishana vitu badala yake karata ndo zitakuwa zinatumika na kila karata ikapewa thamani yake, unafikiri hii pesa uliyo nayo apo mfukoni mwako itaendelea kuwa na thamani au itageuja makaratasi na na kutumiwa chooni tu?
Sijui hata nikujibu nini.
 
mbadilishano wa maiti sita za kirusi kwa wanajeshi hai wa ukraine
Ukrainian soldiers released from captivity
 
Nimesoma ulicho andika na nimebaki nikitikisa kichwa, kwa akili hizi Africa bado tunasafari ndefu sana.

Nilidhania huu muda mwingi umetumia kabla kunijibu utarudi na hoja za maana kumbe ni Yale yale matusi.

Umejaribu sana kukwepa maswali yangu lakini ukateleza na umeshajifunga mwenyewe.

Umetoa mfano kwamba nitume hela kwa ksh mpaka Uganda. Tukifikia hapo tu itakuwa hela niliyoitumia Mimi kama medium ya biashara itakua ksh sindio?

Je unafahamu msimamo wa Putin awali ilikua kinyume na hivyo. Kile alitaka ni benki za EU zinunue rubo moja kwa moja kutoka gazprom na waziifadhi kwa Benki zao ulaya. Alafu baade wachomoe hizi rubo wazitume benki kuu ya urussi kupitia gazprom.

Hapo Putin amelegeza msimamo wake na EU wanaweza jigamba kwamba wamelipia mafuta/gesi kwa sarafu yao na yeye akaigeuza mwenyewe kwa gharama yake na Benki yake. Kuna kitu gani huelewi hapa.
Daaah mkuu unapotea, urusi iliiambia EU kuwa kama wanataka gas basi watanunua Kwa Rubo, EU wakakataa Putin kaona isiwe taabu fungua account kwenye bank zangu halafu lipa Kwa Rubo yaani ni kitu kile kile, maana hizi bank itafikia kipindi bank za urusi zitapandisha thamani Kwa kuwa zinahitajika Sana, kitakachotokea Russia atakuwa na hifadhi kubwa ya dollar na uero siku akirudisha kwenye mzunguko WA pesa dollar itashuka thamani dunia nzima maana kutakuwa na dollar nyingi kwenye mzunguko kuliko mahitaji, pia kumbuka duniani ni marekani tu ndiye anayeweza kuprint pesa zake lakini kitendo cha world Bank Ku freeze pesa ya bank kuu ya urusi kunatoa mwanya Kwa urusi na yeye kuprint rubo
 
Ukraine's deputy defence minister says the country's forces have retaken the whole Kyiv region.

Mimi Nina Swali kwa Pro Russia what was a point of Invading Kiev kama mission ilikuwa kukimbia 🤣🤣🤣🤣


Aisee Tanzania tufanye mpango tumpunguzie Rais mamlaka
 
The Ministry of Defense showed footage of the Iskander strike on the headquarters of the nationalists in Kharkov.

More than 100 Ukrainian militants and foreign mercenaries were destroyed.
Galip SV Liwagu
View attachment 2173238
Nilidhani mpaka sasa tungekuwa tunaona bendera za Russia pale Kyiv kumbe ni hizi ngonjera za tangu inaanza hii operation isiyo kuwa na kichwa wala miguu.Russia tuonyesheni nyinyi ni super power mbele ya Ukraine ndiyo nitaelewa.
 
Ila Pro Russia watakuwa Wanapitia wakati mgumu sana... Mnakumbuka Russia alisema mtu yoyote atakaye msaidia Ukraine atapata Cha mtema kuni akaja kusema atashambulia misafara ya Silaha, Sasa mbona makombora yanafika Hadi Donbass 🤣🤣🤣🤣

Video footage verified by the BBC appears to show Ukrainian forces using a high-velocity British-supplied Starstreak projectile to shoot down a Russian MI-28 helicopter in the Luhansk region of eastern Ukraine.

UK Defence Secretary Ben Wallace confirmed in March that the UK had supplied Ukraine with the anti-aircraft missiles.

The Ministry of Defence has declined to comment on the footage.
 
Mkuu pana watu hapa huwa wanadhani kuandika mi comment mirefu ndiyo kujua kila kitu,lakini ukisoma wanachokandika sasa,bora mimi na basic concepts zangu za International Finance enzi zile nafuta ujinga
Hawa jamaa wanaandika maneno mengi lakini nusu ni matusi, nusu nyingine ni kejeli. Tunaenda nao kistaarabu mpaka watatuelewa.
 
Nilidhani mpaka sasa tungekuwa tunaona bendera za Russia pale Kyiv kumbe ni hizi ngonjera za tangu inaanza hii operation isiyo kuwa na kichwa wala miguu.Russia tuonyesheni nyinyi ni super power mbele ya Ukraine ndiyo nitaelewa.
High Precision weapons wanaita 🤣🤣🤣🤣... Yaani kila siku wanasema wameharibu Silaha zote za Ukraine Cha Ajabu wao ndio wanakimbia
 
Ilifika hatua humu warusi walijadiliana wenyewe kwa Kirusi kama huelewi ndo basi.
Mkuu nilikuwa siku zote nikiangalia update za kinachoendelea Ukraine nakukumbuka wewe ulivyo calm and composed,I was like Tsh must be enjoying the convo. Nimekuwa free tu nikakutafuta 😀
 
  • Thanks
Reactions: Tsh
Back
Top Bottom