Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Daaah mkuu unapotea, urusi iliiambia EU kuwa kama wanataka gas basi watanunua Kwa Rubo, EU wakakataa Putin kaona isiwe taabu fungua account kwenye bank zangu halafu lipa Kwa Rubo yaani ni kitu kile kile, maana hizi bank itafikia kipindi bank za urusi zitapandisha thamani Kwa kuwa zinahitajika Sana, kitakachotokea Russia atakuwa na hifadhi kubwa ya dollar na uero siku akirudisha kwenye mzunguko WA pesa dollar itashuka thamani dunia nzima maana kutakuwa na dollar nyingi kwenye mzunguko kuliko mahitaji, pia kumbuka duniani ni marekani tu ndiye anayeweza kuprint pesa zake lakini kitendo cha world Bank Ku freeze pesa ya bank kuu ya urusi kunatoa mwanya Kwa urusi na yeye kuprint rubo
Mkuu naomba kukusahihisha kidogo,Urusi ana print hela zake mwenyewe ambacho hawezi Ku print ni USD ambayo ni pesa sio yake.mengine yote upo sahihi kabisa.
 
Nilidhani mpaka sasa tungekuwa tunaona bendera za Russia pale Kyiv kumbe ni hizi ngonjera za tangu inaanza hii operation isiyo kuwa na kichwa wala miguu.Russia tuonyesheni nyinyi ni super power mbele ya Ukraine ndiyo nitaelewa.
Mkuu kwani umesahau kwamba mliomba Urusi asiendelee na Operation kwenda Kiev,au ndio kujitekenya na kucheka mwenyewe.
 
[emoji3][emoji3]
IMG_20220330_132505.jpg
 
Wewe una matatizo gani?
Kila posti lazima utaje ushoga!
Kwenu kuna mtu ambaye ni shoga au uliwahi kufatwa na shoga?
Mnapenda misaada wabongo ndomana mnapitisha ushoga ksa misaada mtu kama huyu ndo familia inamtegemea tayari kashaona bila misaada hawezi fuckenn kabisa
 
Raia wa Ukraine hawataki kibaraka wa Russia awe kiongozi wao wala hawavutiwi na Moscow wala hawataki taifa lao kuwa Belarus nyingine. Wanavutiwa zaidi na New York, London, Paris, Berlin
Urusi anachotafuta sasaivi ni kichwa cha rais wao, ndio maana anawaasa wanajeshi wa ukrain kumpindua rais wao, na akitoka tu huyo rais vita inaweza kuisha. yeye mwenyewe anaogopa mno ndio maana amesema anataka urusi imhakikishie usalama wake na familia yake, urusi atamuua huyu rais na hatafaidika chochote. na itakuwa justified kumuu akwasababu yupo vitani na amevaa magwanda mtaani anapigana
 
Unaendelea kunionyesha ulivyokua mweupe kichwani.
Niamini nikikwambia kwamba Leo hii dunia ikiamua kua dhahabu haitakua na thamani tena huo ndo utakua mwisho wake.

Niamini nikikwambia dunia nzima ikiamua leo kwamba Tanzanite ndo itachukua nafasi ya gold thamani itapapanda maradufu.

There's nothing special in Gold kando na kua rare metal. Afadhali diamond ambayo inaweza kutumika katika mambo mingi.

Thamani ya kitu inaamuliwa na binadamu. Leo hii marekani/EU/ washirika wake wengine wakimaliza reserve zao wanaweza kuamua kwamba hawatakubali biashara ya dhahabu, wenye reserve na migodi hawana chao.

Kwa hio bwana FUSO yuko sahihi kabisa
Kweli nimeamini ww ni kiazi kama iyo picha yako apoo ww unajua utofauti WA madini au uanisi dhahabu unatumika kwenye uremboo Tu thamani ya dhahabu haina mbadala wake katika madini yote uyajuayoo
 
Jamani nimetoka kuongea na rafiki yangu yuko Sweden muda huu amenithibitishia kuwa vifo vya wa ukrain ni watu 200 tu
Na sivyo kama tunavyohabirishwa humu.
Na hii imenionyesha thamani ya mzungu

Yaani vita ni kubwa na inahusu nchi kubwa km Urusi lakini idadi ya vifo ni vichache lakini wazungu wamechukia dunia nzima na kuonyesha ushirikiano
 
Nikirudia kukwambia una akili za kitoto unasema nakutukana. Sikutukani ila nakusifia. Rudi tena kajifunze kuelewa kisha uanze kujifunza jambo lenyewe. Maswali unayouliza yanaonesha kabisa hata mifumo ya kifedha huijui namna gani inafanya kazi.

Kwenye account yako una Ksh 1000... Ukamtumia mtu kwenda Uganda akapata USh3100... Wakati unatuma ulituma Ksh au Ush?

Hyo Ush kaipataje ilhal ulituma saraf yako? Utanijib ilifanyiwa? Exchange... Nikuulize tena hiyo exchange aliyeifanya ni nani na yuko wapi? Waganda wakisema exchange zote za kupata ela yao uzifanyie nchini kwao utaenda na maembe ili ukafanye exchange?

Hiyo ni nukta nyingine ya kuonesha uzuzu wako kwamba hata currency exchange huielewi.

Kisha rudi uko kwa hao watu. Ruble ipo Russia au Europe? Ukitaka kubadil Euro kwenda Ruble utaenda wapi? Na ukiambiwa utumie exchange moja tu iliyo ndani ya Russia utaenda na mawe yako ubadilishe kua Ruble au utaenda na Euro kuibadilisha iwe ruble?

Unaelewa maana ya kufungua account ya fedha flan? Mfano apo ulipo Mobile Account ako ina support aina moja tu ya currency ambayo ni Ksh... nikikutumia Tsh itapokelewa kama ilivo????

Jibu ni hapana, itabidi ibadilishwe, na kwenye kubadiliashwa kuna fee [emoji23][emoji23][emoji23] Kwasababu nyie watoto hamuelewi. Mnabaki kutusumbua kuandika magazeti[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]...

Kwa taarifa ako sasa kijana elewa kua Exchange za Russia zitapiga san pesa kwenye kuzconvert hizo Euro kua Ruble, nae huyu unayemwona zuzu alijua hilo ni soko moja tam la exchange akaamua lifanyikie kwenye ardhi yake.

Imagine mwanzo ilikuwa wanalipia mathalan 1000 ambayo ilikuwa deposited directly bila kubadilishwa. Ila sasa itabidi walipie 1000 + Conversion Fee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]...

Waliopevuka akili ndio wanaliona hilo.... Nyie endeleeni hivo hivo na ushabiki wenu wa kingese.
Wanafalsafa wanasema kuna aina 4 za watu:
1)Anayejua na anajua kuwa yeye anajua.
2)Anayejua na hajijui kama anajua.
3)Hajui na anajua kuwa yeye hajui.
4) Hajui na hajijui kuwa hajui.

Watu wa kundi la 2 wanashauri uwe nao makini ila watu wa kundi la 4 wanashauri jamii hiyo ya watu achana nao kwani hakuna zao bora litakalotoka hapo!
 
Mkuu Muungano wa Nchi kwa Nchi stage ya Mwisho huwa ni muungano katika Uchumi-one currency. Sasa unaposema England hakujiunga sijui una maana gani.
Naomba kufuta England ibaki UK.
Ni kwamba wakati wa kuunganisha sarafu UK aligoma kwenda kwenye euro, akabaki na Starling Pound yake.
Au kama unakumbuka ali i surrender lini £ yake kwa EU tukumbushe maana kipindi cha kati hapo nilikuwa si mfuatiliaji saana wa masuala ya kimataifa.
 
Hata na wewe unapanic Mkuu,Sote twajua mambo hayaendi kama vile Kremlin ilipredict yaende,but wewe si wa kugive up kirahisi hivyo. Leta hoja tupo tunaokusoma na kupata kitu Mkuu.
wala sijapanic
sikumbuki kumtusi au kumuita mtu mjinga toka nijiunge kwenye hii forum sasa mtu ukiwa unakuja na lugha zaajabu ajabu wengine tumelelewa kuwaheshimu wengine kwakuwajua ama kuwasikia tuu sasa ukija na matusi hua naamua kukupuuza tuu kama nlivyo fanya kwahuyo jamaa hapo juu
kuhusiana na huko kwengine hakuna sehem tume give up
RUSSIA mbele kwa mbele
 
Back
Top Bottom