Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Nimekuuliza hilo swali ndo ujiingize mtegoni na ukaingia mazima. Alichofanya Urussi ni kupegg sarafu yake.

Hio inaitwa currency manipulation, hajai acha sarafu yake ifloat freely katika soko manake anajua itaanguka.

Hata mama Samoa anaweza Fanya hivyo. Wajinga ndo watadhani hayo ni mafanikio
Mkuu pitisha kwanza basic concepts za IF ndiyo mtaenda sawa na hawa Pro Putin,bila ya hivyo utakesha nao,wao wanachojua tu ni "Putin anakiwasha" basi.
 
Matusi weka pembeni, inaonyesha uwezo wako wa kufikiria.
Nina maswali kwako ambayo yatafungua ubongo wako

Je EU wanadeposit hela kwa Benki ya gazprom katika sarafu gani? Euro/dollars au Rubo

Je Kati ya EU na Benki ya gazprom ni yupi anaechukua jukumu la kugeuza hio sarafu?

Je gazprom iko chini ya mamlaka ya nchi gani?

Ukitafakari utaona Putin ndo amelegeza kamba, kumbuka Mara ya kwanza alitaka EU wanunue rubo moja kwa moja kwa Benki za urussi ndo walipie Nayo mafuta/gesi.

Kile amefanya ni kuruhusu EU kufanya malipo direct na sarafu yao alafu Benki yake iigeuzu kuwa rubo. Benki ya gazprom iko chini ya sheria ya urussi.
Mkuu swala la exchange rate inavyofanya kazi bado linakupiga chenga,mbona sababu zinatolewa kila mara Nchi nyingi duniani zinafanya biashara ya mafuta na gesi kwa kulipa USD moja kwa moja-hii inaifanya dollar ya USA kuendelea kuimarika.

Alicho kifanya Russia hizo EU countries zitapaswa kufungua akount za Russia rubbles direct kwenye Gazprom bank,maana yake hapo kama walikuwa wananua pipa moja la mafuta kwa dollar 100 watalinunua kwa USD 105 -kutaongezeka fee za Ku exchange pesa.Hapo fedha ya Urusi itahitajika zaidi na kupanda thamani na ile ya USA itashuka thamani ndani ya Russia.
 
Mkuu nilikuwa siku zote nikiangalia update za kinachoendelea Ukraine nakukumbuka wewe ulivyo calm and composed,I was like Tsh must be enjoying the convo. Nimekuwa free tu nikakutafuta 😀
Hahaha, humu usipokuwa na mihemko kunafurahisha sana. Hasa unapowaona ndugu zetu wa Kirusi walivyo na uchungu na nchi.
 
Ukiona nchi za EU zinatumia gas ya urusi means wamelipa pesa urusi
Hakuna kitu kama hicho.Wangelipa kwa Ruble ingekuwa all over RT and other pro Russian media to help them win War propaganda na hasa hao RT.Njaa haina baunsa na we all knoW hapa nani ana njaa.
 
IMG-20220402-WA0042.jpg
 
Urusi huwa anatoa misaada ya kijamii huyo hela atoe wapi? warusi wenyewe walio wengi choka mbaya, na washukuru Mungu wana gesi na mafuta bila hiyo urusi isingekuwa hapo ilipo maana zaidi ya 40% ya mauzo ya nje ni mafuta na gesi. kauchumi ka russia kanalingana kwa kiasi fulani ka state kamoja tu ka US yaan TEXAS. urusi kiuchumi kapitwa hata na india, brazil, halaf ndo atoe misaada kama anayotoa UK-DFID, USA USAID? msaada wa maana wa russia kwa afrika ni nafasi za masomo kwa waafika na nafasi zilishapungua na labda kuuza silaha kwa bei ya chini. Angalia hata watoaji wakubwa wa misaada mbalimbali ya kijamii warusi wangapi ni maarufu? but nenda western countires kibao utawakuta akina bill gates, hilton, wengi mno na thats why wanabarikiwa sana na Mungu maana wanatoa sadaka na halafu pesa zao sio magumashi kama za maoligarch wa russia ambapo wengi wao waligawana keki ya taifa la urusi kama akina abromovich na wengine. Nenda kwenye azaki na mashirika ya misaada na hata serikali za afrika mara ngapi huwa wanapeleka proposal za kuomba funding russia? but kwa mfano cheki mawaziri wa fedha na marais wanavyokwenda western countries wanaenda maana wanajua watapata hela. Marais wote wa Tz kuanzia mchonga mwenyewe wanajua kabisa hela za misaada zinapatikana western countries na sio russia na ndiyo maana hata kutibiwa wanaenda kwa mabeberu why wasiende russia, india, china hata jiw alikuwa na ile kitu ya moyo made in germany.

​

Mkuu kwanza nakushauri ukiwa unaandika jaribu kufuata kanuni za uandishi,vituo na paragraph ili usomeke vizuri.
 
Hakuna kitu kama hicho.Wangelipa kwa Ruble ingekuwa all over RT and other pro Russian media to help them win War propaganda na hasa hao RT.Njaa haina baunsa na we all knoW hapa nani ana njaa.
Kweli mkuu unayosema 🤣🤣🤣🤣🤣🙌🙌🙌🙌🙌
 
Kwakua hujaja na hoja umekuja na vihoja nakupuuza
Hata na wewe unapanic Mkuu,Sote twajua mambo hayaendi kama vile Kremlin ilipredict yaende,but wewe si wa kugive up kirahisi hivyo. Leta hoja tupo tunaokusoma na kupata kitu Mkuu.
 
🤣🤣🤣🤣🤣

Wakaanza kupiga hesabu za Rubble, Hela ambayo 99.99% hawajawahi Hawa kuiona inafananaje 🤣🤣🤣🤣
Nimepitwa na mengi sana.Nilikuwa nikipata muda mchache naangalia kinachoendelea na ninawaza kinachoendelea JF,nimerudi nasoma nimeishia kucheka sana kukuta mjadala umehama kutoka battle field in Ukraine to usd vs ruble 🤣
 
Back
Top Bottom