Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Mzee anasinzia Ovyo... View attachment 2173489 Na kwenye maelezo anajichanganya vile vile
[emoji848][emoji848][emoji848]

Apo anasema ati “I’m deeply proud of the work she's doing as first lady with Joining Forces initiative she started with Michelle Obama when she was vice president and now carries on."

Sasa mkewe kawa Vice President lini. Kuna speculations zinazagaa uko kua Biden mwenyewe sio huyu [emoji849][emoji849][emoji849]
 
Ooh!
Samahani nimekosea kiukweli niwie radhi.

Ni ubinadamu nimeteleza. Lengo haswa lilikuwa ni kumuonyesha habari aliyopatiwa ina walakini!

Naifuta ndugu, ni kweli nimekosea samahani sana na nawataka radhi jukwaa kwa ujumla.

🙏
Itapendeza sana ukifuta. Kuna mtu akitizama hivyo basi siku yake imeharibika tayari. Shukran kwa kuitikia wito.
 
Jamani nimetoka kuongea na rafiki yangu yuko Sweden muda huu amenithibitishia kuwa vifo vya wa ukrain ni watu 200 tu
Na sivyo kama tunavyohabirishwa humu.
Na hii imenionyesha thamani ya mzungu

Yaani vita ni kubwa na inahusu nchi kubwa km Urusi lakini idadi ya vifo ni vichache lakini wazungu wamechukia dunia nzima na kuonyesha ushirikiano
jamaa kakudanganya vibaya sana nahajakwambia ukweli
ila ukweli nikwamba toka hii vita imeanza mpaka sasa imefikia wamekufa WAUKRAINE watano (5) na majengo tisa (9) pekee ndio yameharibika
 
Jamani nimetoka kuongea na rafiki yangu yuko Sweden muda huu amenithibitishia kuwa vifo vya wa ukrain ni watu 200 tu
Na sivyo kama tunavyohabirishwa humu.
Na hii imenionyesha thamani ya mzungu

Yaani vita ni kubwa na inahusu nchi kubwa km Urusi lakini idadi ya vifo ni vichache lakini wazungu wamechukia dunia nzima na kuonyesha ushirikiano


Western media wants you to believe in a lot of lies. Don't be a fool. Do some research before believing anything you read. Wa NATO kila wanachoona wanaleta humu wamelishwa sumu hawaambiliki vijana wanamihemuko sana
 
Daaah mkuu unapotea, urusi iliiambia EU kuwa kama wanataka gas basi watanunua Kwa Rubo, EU wakakataa Putin kaona isiwe taabu fungua account kwenye bank zangu halafu lipa Kwa Rubo yaani ni kitu kile kile, maana hizi bank itafikia kipindi bank za urusi zitapandisha thamani Kwa kuwa zinahitajika Sana, kitakachotokea Russia atakuwa na hifadhi kubwa ya dollar na uero siku akirudisha kwenye mzunguko WA pesa dollar itashuka thamani dunia nzima maana kutakuwa na dollar nyingi kwenye mzunguko kuliko mahitaji, pia kumbuka duniani ni marekani tu ndiye anayeweza kuprint pesa zake lakini kitendo cha world Bank Ku freeze pesa ya bank kuu ya urusi kunatoa mwanya Kwa urusi na yeye kuprint rubo
Mwanangu nasikitika kukwambia ivi wewe huna akili kabisa yaani ji sawa na empty set
 
Hawa jamaa wanaandika maneno mengi lakini nusu ni matusi, nusu nyingine ni kejeli. Tunaenda nao kistaarabu mpaka watatuelewa.
Ww mkenya una matatizo sana Marekani pamoja na kujifanya amepiga marufuku mafuta kutoka Urusi lakini mpaka sasa bado anaagiza mafuta ya Urusi, ndo ujue Urusi si kama kenya yenu inayo nuka njaa kila mahali.
 
Nilidhani mpaka sasa tungekuwa tunaona bendera za Russia pale Kyiv kumbe ni hizi ngonjera za tangu inaanza hii operation isiyo kuwa na kichwa wala miguu.Russia tuonyesheni nyinyi ni super power mbele ya Ukraine ndiyo nitaelewa.
Urusi ilitangaza kusitisha operation yake ya kijeshi kaskazini mwa Ukraine ikiwemo kwenye mji mkuu kiev baada ya mazungumzo ya amani kupiga hatua kubwa baada ya Ukraine kukubali takwa kubwa la Russia la Ukraine kutojiunga na NATO .
Kilicho baki ni kukubaliana kuhusu Cremea na mkoa wa Dombas na leo waziri wa mambo ya nje wa Urusi amesema wana karibia kukubaliana.
 
Huyu jamaa asicheze na US na watu wa Magharibi...wata m fix tu ndani ya miaka 5 Urusi itakuwa taifa maskini sana. Ni ujinga kama si upumbavu kufikiri kwamba dunia hasa ulaya itaendelea kutegemea gesi ya Urusi in next 5 to 10 yrs.

Kusema watu wanunue gasi na mafuta kwa sijui rupiiie yake ni ujinga mtupu... ni useless.

Ni mtu aliyeingia ndani ya box alilolitengeneza mwenyewe na amepoteza funguo za kutokea...ni mhamaniko...poor Putin.

Time....

Labda kama wakija na options nyingine kama kutengeneza gari za umeme kwa bei nafuu ila kwa bei hizi mafuta,ges lazima viwe muhimu,na mafuta,ges havitumik tu Kwenye magari,kuzalisha umeme,kutumika majumbani,labda wablock anga lao wasipate barid au watumie kuni [emoji23][emoji1787]ila Mrusi bado yupo nao sana!
 
Labda kama wakija na options nyingine kama kutengeneza gari za umeme kwa bei nafuu ila kwa bei hizi mafuta,ges lazima viwe muhimu,na mafuta,ges havitumik tu Kwenye magari,kuzalisha umeme,kutumika majumbani,labda wablock anga lao wasipate barid au watumie kuni [emoji23][emoji1787]ila Mrusi bado yupo nao sana!
Hata hiyo mitambo ya kuzalisha umeme ina endeshwa kwa mafuta, hata vivyo viwanda vya kutengeneza hayo magari ya Umeme vinaendeshwa kwa mafuta.
 
Hatupo kwenye ushabiki wa Yanga na Simba narudia,tupo kwenye logic.Nipe ushahidi,na kama unacho-ongea ni kweli,basi Putin ameichukulia Germany kama a friendly nation na wamekubaliana kwamba anaweza kutumia Euro kununulia bidhaa kutoka Ujerumani in a special arrangement through a company doing business in Russia.Germany watailipa hiyo kampuni Euros halafu the company will pay Russia Rubles.Hata hivyo hii mipango haijakamilika.

Kumbuka kwamba Germany inapata 40%+ of its' gas from Germany kwa hiyo hawawezi kufanya ujinga,so they have reached an agreement,kama nilivyo-eleza.Wamesema details zaidi of the deal will be made available later.

Mwisho naomba ukumbuke kwamba Vita ya Putin zaidi ni with the US $.

Taarifa kamili official as of today hii hapa👇.

Update (1140ET): It looks like Moscow is making headway with its demands that "hostile states" (aka its European customers) start paying for their gas in rubles. According to Bloomberg, Putin and German Chancellor Scholz have agreed to let 'experts on both sides' discuss the feasibility of Russia's demand that Germany switches to rubles for its gas payments, according to an emailed statement from the Kremlin.

Both leaders have agreed that switching to ruble payments shouldn’t deteriorate contract terms for European importers of Russian gas (meaning that the price should remain stable regardless of which currency is used for payment and settlement). Putin also updated Scholz on the state of talks between Russia and Ukraine.

But Scholz isn't the only European leader who appears to be seriously considering Putin's demands. Italian leader Mario Draghi is also reportedly considering Putin's demands.


The news has been broadly supportive of the ruble, which has erased all of its post-invasion losses.



* * *

Now that Moscow has doubled down on its demands that its European "partners" pay for its oil and gas in rubles instead of euros (which, as the bloc already demonstrated, can be easily confiscated in the name of "sanctions"), the German government is digging in its heels as the payment dispute threatens to precipitate problematic energy shortages in Europe's largest economy.



The FT reported Wednesday that German Energy Minister Robert Habeck has activated the "early warning phase" of Germany's gas emergency law, which was adopted to help ration supplies in the face of a severe shortage. The decision will alert German consumers and businesses to do what they can to conserve energy.

Too bad President Biden and the US will take years to reroute their promised LNG exports (and even so, they will likely never be able to fully compensate for Russian supplies).


Habeck issued the warning for fear that Moscow would swiftly move to cut off energy exports to one of its biggest customers in Europe over its refusal to make payment in rubles, which Habeck has insisted would be a violation of the two sides' contract.


After demanding last week that "hostile states" pay for its gas and oil in rubles (although it hinted that gold and cryptocurrency might also be considered), Moscow said it wouldn't share its resources "for free" after the G-7 aggressively repudiated the Russians' request.


As Germany scrambles to address a looming shortfall in energy supplies, analysts are warning that the government's refusal to meet Moscow's request for payment in rubles could create a "substantial" risk.



Already, the German economy is facing its most brutal inflation in decades, with an annual headline inflation rate that could top 6% by the end of the year. The dire situation has already prompted the government to subsidize citizens' energy costs with a round of energy stimmies.

Further restrictions on Russian supply could have even more dire consequences.

As a reminder, Russia dominates gas and oil exports to the EU:



Source: FT


Of course, if Berlin doesn't play ball, gas won't be the only commodity in short supply. The Kremlin said on Wednesday that demanding ruble payments for exports of oil, grain, fertilizers, coal, metals and other key commodities in addition to natural gas was a good idea, Russia's top lawmaker Vyacheslav Volodin said on Wednesday, per Reuters.


Peskov, meanwhile, said the dollar's global reserve currency was already diminishing, and that pricing Russia's biggest exports in rubles would be "in our interests and the interests of our partners."

Now, if the leaders of Europe don't play ball, then President Biden's prediction of devastating food shortages could become a self-fulfilling prophecy.
Kaka ukipenda mantiki, anza kwa kusoma ninachoandika. Sijagusa swali la nchi rafiki au sirafiki, wala sijali.
Putin alitangaza mwanzoni, hao ambao anaita sirafiki wanapaswa kununua gesi kwa rubel.
Ukijaribu kuelewa mantiki yake (iko): wangeendelea kulipa kwa € na $ kwenye akaunti ya Gazprom Ujerumani, basi kuna hatari kwamba hela hizo zinakamatwa baada ya kulipa. Hivyo anataka malipo kwenye akaunti nchini Urusi.
Na kwa sababu pesa yake imeshuka, wametafuta njia za kuimarisha rubel. Pesa inaimarika wakati inatafutwa = kununuliwa. Hapa walitangulia kulazimisha makampuni yote ya Kirusi kubadilisha mapato yao (sehemu kubwa kabisa) kwa rubel. Pia walizuia wawekezaji wa nje kuuza hisia (maana kama wangeuza -ambayo inhekuwa kwa rubel- wangejaribu mara moja kupeleka pesa nyumbani kwa kununua dollar. Pia walibana kwa jumla nafasi za kununua dollar (kwa kuuza rubel). Kwa kusema wanunuzi wa nje walipe kwa Rubel, alitaka kuwalazimisha kununua rubel.
Nimeshaandika siku kadhaa iliyopita kwamba kuna mlango wa nyuma katika mpango wake, maana mikataba inasema: gesi itanunuliwa kwa €$. Basi hapa hatumii "kampuni fulani"; malipo yaende kupitia Benki ya Gazprom nchini Urusi ambayo ni benki moja iliyosamehewa bado na EU; bado haiko chini ya vikwazo.
Hivyo mlango wa nyuma ni: makampuni ya EU wanalipa gesi kwenye benki hiyo kwa €$ (jinsi ilivyo kwenye mkataba, na jinsi wanasiasa wa EU wanasema), benki inalipa kampuni ya Gazprom (inayozalisha gesi) kwa rubel.

Kwa namna fulani ni unafiki kidogo pande zote mbili. Maana sasa ni Gazprom Bank inayonunua rubel, badala hao wa EU moja kwa moja.
EU inapata gesi, hailipi rubel, Putin anapata hela anayohitaji.

Hadi sasa gesi inaendelea, hadi sasa hakuna aliyepeleka rubel kwenye benki.
Putin akitaka kuwachokoza kweli (na kujiumiza) anaweza kukataza benki ya kirusi isipokee tena dollar. Hapa anaweza kujaribu hao wa EU kwenda Benki Kuu ya Urusi (iliyopo chini ya vikwazo) kinyume cha sheria za EU.
Hatua hii hajachukua bado, Tuone.
Nilivyosema - unafiki kidogo pande zote mbili...
 


Ndio mana warusi wamemtoa jicho jamaa aliotesa wafungwa wa kivita
IMG_6156.jpg

IMG_6158.jpg
 
Raia wa Ukraine hawataki kibaraka wa Russia awe kiongozi wao wala hawavutiwi na Moscow wala hawataki taifa lao kuwa Belarus nyingine. Wanavutiwa zaidi na New York, London, Paris, Berlin
Beralus nao Hawaitaki Russia ni suala la Muda, Sasa sijui Russia akiwavamia nani atawasaidia 🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom