NYUNDO YA MOTO
JF-Expert Member
- Jun 12, 2015
- 5,360
- 17,003
Olaf Scholz booed in Essen, Germany.
During the speech of the German Chancellor, people shouted to him: “Get lost!”, “Liar!” and "Scholz must go!"
In Germany, due to rising prices against the backdrop of anti-Russian sanctions, people began to use less heating and electricity. Meanwhile, annual inflation in the country in March reached a historical record - 7.3%.
Galip SV Liwagu
View attachment 2173626
Au sioJamani nimetoka kuongea na rafiki yangu yuko Sweden muda huu amenithibitishia kuwa vifo vya wa ukrain ni watu 200 tu
Na sivyo kama tunavyohabirishwa humu.
Na hii imenionyesha thamani ya mzungu
Yaani vita ni kubwa na inahusu nchi kubwa km Urusi lakini idadi ya vifo ni vichache lakini wazungu wamechukia dunia nzima na kuonyesha ushirikiano
Unaziona frustration zao kupitia comment ndefu,hawajui sasa hivi kipi washikilie,wamehamishia "special operation yao" kwenye USD vs Ruble which has been reduced to rubble.😀Huu uzi udumu..
Tuliyoandika huko nyuma yanaanza kutimia..
Siwezi kumlaumu huyo rafiki yako kwa sababu sijajua alikua anakupa habari akiwa katika state gani ya mind ila najiuliza na wewe umeamini hiyo taarifa?Jamani nimetoka kuongea na rafiki yangu yuko Sweden muda huu amenithibitishia kuwa vifo vya wa ukrain ni watu 200 tu
Na sivyo kama tunavyohabirishwa humu.
Na hii imenionyesha thamani ya mzungu
Yaani vita ni kubwa na inahusu nchi kubwa km Urusi lakini idadi ya vifo ni vichache lakini wazungu wamechukia dunia nzima na kuonyesha ushirikiano
Ninachokijua watu wamechoka wanarudi nyuma kujiregroup kwa mujibu wa RT,hayo mengine ni ngonjera za kujipa moyo tu Mkuu 🙂Mkuu kwani umesahau kwamba mliomba Urusi asiendelee na Operation kwenda Kiev,au ndio kujitekenya na kucheka mwenyewe.
Fox News again,here we go 😀In an interview with Fox News, he stressed that we do not need millions of bulletproof vests or helmets of a special brand. We need rockets and planes. And if the partners can't give us an F18 or an F19, we agree to the old Soviet planes.View attachment 2173637
Hii siyo propaganda kweli ya 'western media"🙂