Morogoro kaskazini
JF-Expert Member
- Jul 5, 2020
- 2,560
- 9,690
Hapa tunakutana watu wenye malezi na background tofauti sana Mkuu,unakuta mtu anatoa matusi hadi unajiuliza,hata kama ni nyuma ya key board huyu mtu hana staha hata kidogo, kumbe unakuta tatizo ni malezi aliyokulia tangu utotoni.Tuendelee na mada yetu,japo naona kabisa Putin hii special operation imekuwa kaa la moto na limemkalia vibaya kooni.wala sijapanic
sikumbuki kumtusi au kumuita mtu mjinga toka nijiunge kwenye hii forum sasa mtu ukiwa unakuja na lugha zaajabu ajabu wengine tumelelewa kuwaheshimu wengine kwakuwajua ama kuwasikia tuu sasa ukija na matusi hua naamua kukupuuza tuu kama nlivyo fanya kwahuyo jamaa hapo juu
kuhusiana na huko kwengine hakuna sehem tume give up
RUSSIA mbele kwa mbele
Kuna silaha mtaletewa ambazo wenyewe hawazitumii kwa miaka sasaOTG Vostok, 01/04/22, get out, arrived, part 1
warusi wa bonyokwa watakwambia hiyo ni edited, watakwambia anaongea akiwa USA ukraine alishaondokaHii siyo propaganda kweli ya 'western media"🙂
Putin anaepusha vifo vingi vingeweza kutokea maana wametanguliza raia eti walinde nchi yao. Shame of them.Kama kuna kitu kinawafrustrate pro Putin ni hiki cha special operation kutokueleweka mpaka sasa,inabidi sasa wawe wanaruka na ajenda yoyote inayokuja mbele yao.
Negotiations are underway, kama watu wamekaa mezani na kuanza kukubali masharti yaliyowekwa, unataka mapigano yaendelee ili iweje?Hii vita naona kama Urusi ameanza kuishiwa nguvu
Russia warudi tu nyumbani hamna wanachokifanya Ukraine kama ni vita wameshashindwa uwezo wao wa kijeshi ulitiwa chumvi, Urusi ya kweli ilikuwa ni ile USSR ya akina Lionid Brezhnev, Constantine Chernenkho na Yuri Andropov lakini sio hii ya huyu tapeli Putin.
Anaua watu wasio na hatia bure kabisa kwa upumbavu wake, lazima afikishwe mahakamani The Hague kwa uovu aliofanya. Bure kabisa.