Omary - Msamalia
JF-Expert Member
- Jan 19, 2020
- 2,077
- 4,525
🤣🤣🤣🤣🤣Ilifika hatua humu warusi walijadiliana wenyewe kwa Kirusi kama huelewi ndo basi.
Wakaanza kupiga hesabu za Rubble, Hela ambayo 99.99% hawajawahi Hawa kuiona inafananaje 🤣🤣🤣🤣
🤣🤣🤣🤣🤣Ilifika hatua humu warusi walijadiliana wenyewe kwa Kirusi kama huelewi ndo basi.
Kwa facts gani ambazo zinakufanya uamini hivyo?????Rudia tena kusoma bandiko langu..nimekwambia kwamba huwezi kutamba ki uchumi duniani kama utawekwa pembeni na US, EU, UK na washirika wake..
Nikakwambia tena kwamba hata kama unakumya almasi kila siku HUWEZIII.
Wanasema anga la urusi halipitiki kirahisi kwi kwi kwi🤣🤣🤣 Hivi Hypersonic na high precision weapons hazikumaliza Silaha za Ukraine pamoja na Helicopter zake Hadi waende kuvamia Ndani ya Russia...
Au zile ni ndege za Russia zimefanya false flag Operation
Cry more Russia 🙂“Now they are thinking about sanctions against China. Well, the flag is in their hands. They will destroy themselves - that's all they will achieve.
The sanctions did not work with Cuba, or with Venezuela, or with Nicaragua, or with Iran, or with anyone else, political observer Jean Briquemont said in a conversation with RT. And I asked myself: why did the West decide that they would work with a country like Russia?
“A country much larger, more self-sufficient and with many allies around the world. How can they even hope for this if [even] nothing worked out with Venezuela?” he added.
According to Brickmont, there are already doubts in Europe about the correctness of this strategy:
“German industry is not happy about the reduction in gas supplies. The Germans are not happy with the idea of paying for gas in rubles. I don’t know what they will do: if they have to pay in rubles, it will be a violation of their own sanctions.”
Galip SV Liwagu View attachment 2173200
watakwambia Russia anajipigaWanasema anga la urusi halipitiki kirahisi kwi kwi kwi
😂😂😂😂
wazee wa kuretreat wako hoi soon kichapo kinaelkea huko donbas waliko
wanauchumi wa urusi ya buza 😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣
Wakaanza kupiga hesabu za Rubble, Hela ambayo 99.99% hawajawahi Hawa kuiona inafananaje 🤣🤣🤣🤣
Slava Ukraine✊Mungu Ibariki Urusi
8![]()
Ufisadi Jeshi la Urusi waibuka ndio sababu ya magari na vifaru kupigwa na Ukraine
Ufisadi Jeshi la Urusi waibuka ndio sababu ya magari na vifaru kupigwa na Ukraine Mchambuzi wa maswala ya kijeshi ya vifaa vya kivita akihojiwa na CNN amesema kuwa Urusi kila mwaka imekuwa ikitenga mabilioni ya dola kununua vifaa vya kivita, kutengeneza na spea Zake lakini pesa hizo zimekuwa...www.jamiiforums.com
Mh!..🇺🇦Since the start of Russia's special operation, 525 Ukrainian soldiers have laid down arms and voluntarily joined the Donetsk People's Republic, the DPR militia says.
Mkuu Muungano wa Nchi kwa Nchi stage ya Mwisho huwa ni muungano katika Uchumi-one currency. Sasa unaposema England hakujiunga sijui una maana gani.Point of correction.
UK (ukiwa na maana ya England)hakujitoa kwenye sarafu ya pamoja (euro), bali hakuingia/hakujiunga kabisa from the beginning.
Ni kitu ambacho hakiwezekani maana ni sawa na kusema marekani na EU wana hifadhi kubwa ya dhahabu wawe masikini Kwa ghafla tu, Kwa hakika haiwezekani, kama wanataka kuiondoa thamani dhahabu ni swala litakalochukua muda ili kuhamisha thamani ya dhahabu kwenda kwenye kitu kingineUnaendelea kunionyesha ulivyokua mweupe kichwani.
Niamini nikikwambia kwamba Leo hii dunia ikiamua kua dhahabu haitakua na thamani tena huo ndo utakua mwisho wake.
Niamini nikikwambia dunia nzima ikiamua leo kwamba Tanzanite ndo itachukua nafasi ya gold thamani itapapanda maradufu.
There's nothing special in Gold kando na kua rare metal. Afadhali diamond ambayo inaweza kutumika katika mambo mingi.
Thamani ya kitu inaamuliwa na binadamu. Leo hii marekani/EU/ washirika wake wengine wakimaliza reserve zao wanaweza kuamua kwamba hawatakubali biashara ya dhahabu, wenye reserve na migodi hawana chao.
Kwa hio bwana FUSO yuko sahihi kabisa
Kweli wewe ni Coco reborn.GREAT NEWS: China just cancelled a $500 million investment in Russian gas, out of fear of being sanctioned by all the countries against the war in Ukraine.
The world is abandoning Putin.
View attachment 2172811



So far, the UK is the only country to have imposed sanctions on Russia's Gazprombank, through which payments for Russian natural gas are made. The measure effectively denies Britain the ability to pay for the commodity, and has forced Gazprom to walk away from the sales and trading arm. In accordance with Putin's decree that Russian gas be paid for in rubles, Gazprom has set up foreign-currency accounts for customers where their currencies can be converted into rubles on the Moscow exchange."London wants to be the leader of everything anti-Russian. It even wants to be ahead of Washington! That’s the cost!" Peskov outlined.
Sasa hivi ukitaka kufanya comparison ya thamani ya Russian rubble inatakiwa iufanye against Gold na sio USD tena,maana hurusi afanyi biashara kwa USD tena-it is useless kwake.Rubo imeimarika kutokana na speculation ya investors wanayoikimbilia wakidhania kuwa EU watanunua kwa rubo.
Lakini baada ya muda , rubo itarudi kuendelea kuanguka kama kawaida yake dhidi ya dollar.
Rubo imetimiza vigezo zote za kuitwa valueless
Sasa si tusonge mbele,mbona twarudi nyuma kujiregrop tena 🙂More than 100 nationalists and mercenaries were killed after a high-precision Iskander strike on the defense headquarters in Kharkov, the Russian Defense Ministry said.
Galip SV Liwagu View attachment 2173201
Sawa MKUUNimekuuliza hilo swali ndo ujiingize mtegoni na ukaingia mazima. Alichofanya Urussi ni kupegg sarafu yake.
Hio inaitwa currency manipulation, hajai acha sarafu yake ifloat freely katika soko manake anajua itaanguka.
Hata mama Samoa anaweza Fanya hivyo. Wajinga ndo watadhani hayo ni mafanikio