CARDLESS
JF-Expert Member
- Apr 2, 2017
- 7,840
- 15,918
Anajitoa ufahamu huyo.Hukuona taarifa ya Ukraine ikiomba mazungumzo yafanyike belarus.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anajitoa ufahamu huyo.Hukuona taarifa ya Ukraine ikiomba mazungumzo yafanyike belarus.
It was a Total war. Jambo la kushangaza sio Russia kuendelea na vita, ni Eukraine kukataa mazungumzo.Sasa mazungumzo yameshindikana na Ukraine wanajikuta wanapata kichwa. Sasa URUSI wametangaza total war.
Putin toka ameanza kuishambilia Ukraine hakuna siku aliyositisha mapigano pamoja Na Rais wa Ukraine kumuomba wazungumze, leten hiyo habar humu tuioneWe hukusikia Rais wa Ukraine aliomba mazungumzo na PUTIN akatoa masharti yakazungumzwe BELARUS?? Kutokana na hali hiyo Urusi ikaviagiza vikosi vyake kusimamisha mzigo. Sasa mazungumzo yameshindikana na Ukraine wanajikuta wanapata kichwa. Sasa URUSI wametangaza total war.
ofcourse, kwa vita vya mtaani, Ukrain wanapigana kienyeji na wataua wanajeshi wengi wa urusi, kwasababu wanatumia raia kama shield, ila ninachoogopa ni kwamba, raia wengi sana watakufa kwasababu bunduki zimegawanywa kwa raia 10,000 ambao wakirusha tu risasi wanakuwa military target (kwa sheria za kivita), na urusi anaweza kupiga hata kama kwenye jengo la raia as long as kuna watu wanaojibizana nao, ni justifiable collateral kivita hata kuvuruga jengo. ile tu kugawa bunduki wamejustify urusi kushambulia majengo walimo adui wanaojibizana nao risasi. pia tumeona vifaru vya ukrain vikiwa mtaani na wanarusha makombora tokea mtaani, this means, russia is justified kupiga pale kombora linapotoka hata kama ni mtaani, sasa raia waliopo huko ambao wengine wamepewa bunduki kama toy, watauawa wengi sana unnecessarily. kwa wale wanaojua sheria za kivita watakuwa wamenielewa.Wanajeshi wa urusi wamewekwa mtu kati kiev
Hii kamba mzee baba. Kichapo kizito kinatembezwa hapo KYIV.Wanajeshi wa urusi wamewekwa mtu kati kiev
We hufatilii huu mzozo. Vita ina mapumziko?? Kama haina mbona mchana hawajapiga?? Fuatilia taarifa utaambiwa sasa.Putin toka ameanza kuishambilia Ukraine hakuna siku aliyositisha mapigano pamoja Na Rais wa Ukraine kumuomba wazungumze, leten hiyo habar humu tuione
Pia ongezea raia wengi pia hawajui kutumia silaha...ofcourse, kwa vita vya mtaani, Ukrain wanapigana kienyeji na wataua wanajeshi wengi wa urusi, kwasababu wanatumia raia kama shield, ila ninachoogopa ni kwamba, raia wengi sana watakufa kwasababu bunduki zimegawanywa kwa raia 10,000 ambao wakirusha tu risasi wanakuwa military target (kwa sheria za kivita), na urusi anaweza kupiga hata kama kwenye jengo la raia as long as kuna watu wanaojibizana nao, ni justifiable collateral kivita hata kuvuruga jengo. ile tu kugawa bunduki wamejustify urusi kushambulia majengo walimo adui wanaojibizana nao risasi. pia tumeona vifaru vya ukrain vikiwa mtaani na wanarusha makombora tokea mtaani, this means, russia is justified kupiga pale kombora linapotoka hata kama ni mtaani, sasa raia waliopo huko ambao wengine wamepewa bunduki kama toy, watauawa wengi sana unnecessarily. kwa wale wanaojua sheria za kivita watakuwa wamenielewa.
kina wapi tena Russia Today hakuna kitu nategemea twitter na Western media kama France 24, TRT[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] mkuu ukiona hizo taarifa jaribu kufuatilia kwa kina. Ukweli ni kwamba UKRAINE anakula KICHAPO kizito. Tegemeo la UKRAINE ni RAIA kupewa silaha na kujificha kwenye mgongo wa RAIA wema. Natabiri URUSI watatangaza maafa kwa wote wataoonekana wana silaha na watahesabika ni askari wa UKRAINE, na hapo ndipo mtaona ubaya wa URUSI. Hii vita inaendeshwa sana na HASHTAG ila kwa ground UKRAINE anachapika, afu mbaya URUSI hawana POROJO ni kichapo kwa kwenda mbele. Tuacheni ushabiki na tuombe pande mbili zikae mezani, bila hivyo UKRAINE anakuwa kama LIBYA sasa.
Raia wa Eukraine waliokubali kuchukua bunduki wanajua wanaenda kufa kwa ajili ya nchi yao. Na hizo bunduki sio toi. Ni bunduki iliyobebwa na askari.ofcourse, kwa vita vya mtaani, Ukrain wanapigana kienyeji na wataua wanajeshi wengi wa urusi, kwasababu wanatumia raia kama shield, ila ninachoogopa ni kwamba, raia wengi sana watakufa kwasababu bunduki zimegawanywa kwa raia 10,000 ambao wakirusha tu risasi wanakuwa military target (kwa sheria za kivita), na urusi anaweza kupiga hata kama kwenye jengo la raia as long as kuna watu wanaojibizana nao, ni justifiable collateral kivita hata kuvuruga jengo. ile tu kugawa bunduki wamejustify urusi kushambulia majengo walimo adui wanaojibizana nao risasi. pia tumeona vifaru vya ukrain vikiwa mtaani na wanarusha makombora tokea mtaani, this means, russia is justified kupiga pale kombora linapotoka hata kama ni mtaani, sasa raia waliopo huko ambao wengine wamepewa bunduki kama toy, watauawa wengi sana unnecessarily. kwa wale wanaojua sheria za kivita watakuwa wamenielewa.
sio ndo puttin atakuw mhalifu wa kivitaUrusi anachotafuta sasaivi ni kichwa cha rais wao, ndio maana anawaasa wanajeshi wa ukrain kumpindua rais wao, na akitoka tu huyo rais vita inaweza kuisha. yeye mwenyewe anaogopa mno ndio maana amesema anataka urusi imhakikishie usalama wake na familia yake, urusi atamuua huyu rais na hatafaidika chochote. na itakuwa justified kumuu akwasababu yupo vitani na amevaa magwanda mtaani anapigana
Nilionya hapa, hawa UKRAINE wametumia mbinu za kipuuzi. Sasa wafumuliwa mwanzo mwisho, mpaka wajue kuwa hakuna nchi inapenda ujinga.ofcourse, kwa vita vya mtaani, Ukrain wanapigana kienyeji na wataua wanajeshi wengi wa urusi, kwasababu wanatumia raia kama shield, ila ninachoogopa ni kwamba, raia wengi sana watakufa kwasababu bunduki zimegawanywa kwa raia 10,000 ambao wakirusha tu risasi wanakuwa military target (kwa sheria za kivita), na urusi anaweza kupiga hata kama kwenye jengo la raia as long as kuna watu wanaojibizana nao, ni justifiable collateral kivita hata kuvuruga jengo. ile tu kugawa bunduki wamejustify urusi kushambulia majengo walimo adui wanaojibizana nao risasi. pia tumeona vifaru vya ukrain vikiwa mtaani na wanarusha makombora tokea mtaani, this means, russia is justified kupiga pale kombora linapotoka hata kama ni mtaani, sasa raia waliopo huko ambao wengine wamepewa bunduki kama toy, watauawa wengi sana unnecessarily. kwa wale wanaojua sheria za kivita watakuwa wamenielewa.
apige mara ngapi? mbona kavamia mahospital na ambulance yy anaua tuofcourse, kwa vita vya mtaani, Ukrain wanapigana kienyeji na wataua wanajeshi wengi wa urusi, kwasababu wanatumia raia kama shield, ila ninachoogopa ni kwamba, raia wengi sana watakufa kwasababu bunduki zimegawanywa kwa raia 10,000 ambao wakirusha tu risasi wanakuwa military target (kwa sheria za kivita), na urusi anaweza kupiga hata kama kwenye jengo la raia as long as kuna watu wanaojibizana nao, ni justifiable collateral kivita hata kuvuruga jengo. ile tu kugawa bunduki wamejustify urusi kushambulia majengo walimo adui wanaojibizana nao risasi. pia tumeona vifaru vya ukrain vikiwa mtaani na wanarusha makombora tokea mtaani, this means, russia is justified kupiga pale kombora linapotoka hata kama ni mtaani, sasa raia waliopo huko ambao wengine wamepewa bunduki kama toy, watauawa wengi sana unnecessarily. kwa wale wanaojua sheria za kivita watakuwa wamenielewa.
Kupiga ama kutopiga mchana hiyo ni mbinu tu za kivita alafu kumbe unaadithiwa ndio unaleta humu jf pole Sana.We hufatilii huu mzozo. Vita ina mapumziko?? Kama haina mbona mchana hawajapiga?? Fuatilia taarifa utaambiwa sasa.
you are very right. jamaa comedian anagawa silaha kwa raia wasiojua kuzitumia vizuri (hata kama watakuwa wanajua kulenga lakini sio wanajeshi wazoefu), ili wapambane na wanajeshi wa urusi ambao ni well trained, unategemea nini? amegawa silaha ili kujenga vita vya majumbani kama majambazi vitakavyosababisha majengo mengi kuporomoshwa na watatumia muda sana kujenga tena nchi yao. ajifunze kwa syria.kwenye hii dunia ukiona mtu amekuzidi uwezo, hesabu gharama utakazopoteza ukimdindishia au ukisalimu amri ili yaishe, usiangalie majirani/wamagarimi ambao wamesimama tu pembeni wanakutumia kama kipimo cha silaha zao na kujua uwezo wa anayekupiga, na ukrain anaamini wamagharibi wanampenda? wangekuwa wanampenda wangeshatia mguu kiev sasaivi.Pia ongezea raia wengi pia hawajui kutumia silaha...
weka hiyo habari hapa ya putin kusitisha mapiganoPutin alisema walistisha mapigano kuitikia wito wamazungumzo,
Kumbe hatamangumzo hamna mda huu mrusi anaendelea kurusha kitu kizito.