[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] mkuu ukiona hizo taarifa jaribu kufuatilia kwa kina. Ukweli ni kwamba UKRAINE anakula KICHAPO kizito. Tegemeo la UKRAINE ni RAIA kupewa silaha na kujificha kwenye mgongo wa RAIA wema. Natabiri URUSI watatangaza maafa kwa wote wataoonekana wana silaha na watahesabika ni askari wa UKRAINE, na hapo ndipo mtaona ubaya wa URUSI. Hii vita inaendeshwa sana na HASHTAG ila kwa ground UKRAINE anachapika, afu mbaya URUSI hawana POROJO ni kichapo kwa kwenda mbele. Tuacheni ushabiki na tuombe pande mbili zikae mezani, bila hivyo UKRAINE anakuwa kama LIBYA sasa.