LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Kapewa misaada mingi ya vifaa vya kijeshi... Na wengi wamemuahidi... Marekani leo kaahidi pesa kibao... Thea same kwa Germany vifaa alivyotaja kupeleka huko... Wamemtia kiburi
Inawezekana upo sahihi.
 
Kapewa misaada mingi ya vifaa vya kijeshi... Na wengi wamemuahidi... Marekani leo kaahidi pesa kibao... Thea same kwa Germany vifaa alivyotaja kupeleka huko... Wamemtia kiburi
Hivyo vifaa walitakiwa wavitoe kabla Putin hajaingia Ukraine sidhan kama vitawasaidia Sana Sana vitaangukia mikonon mwa warus
 
Hivyo vifaa walitakiwa wavitoe kabla Putin hajaingia Ukraine sidhan kama vitawasaidia Sana Sana vitaangukia mikonon mwa warus
Tayari kuna baadhi ya military base zipo chini ya Urusi.. na kunaripotiwa milipuko mikubwa kwenye mji wa Kiev
 
I am not pro russia, lakini siqwapendi ukrain sana kwasababu ya kiburi na kuwa watumwa wa magharibi, wanaamini magharibi ndio watawasaidia kumbe nchi yao ndio inaharibika itakuwa kama syria, magofu matupu. You know, zamani Russia ilikuwa haina wapenzi kwasababu ilikuwa ni communist/hawakuamini Mungu, sasaivi Urusi inaamini Mungu wa Ibrahim Isaka na Yakobo, Mungu wa Israel, na hata jana walikuwa wanasema kuna uwezekano mkubwa negotiator akawa waziri Mkuu wa Israel, huyo ndio Russia atamsikiliza, Putin mwenyewe alishasaidiwa na Wayahudi katika utoto wake. on the other way, Marekani ambayo ilibarikiwa na Mungu sana kwasababu ya kuwahifadhi wayahudi na hakuwasaidia wengine kipindi cha vita vya pili, wanaabudu ushoga, na wamemsahau Mungu aliyekuwepo kwenye dola yao/pesa, sasaivi walishapiga hadi kura wanataka jina la Mungu liondolewe kwenye pesa yao, kiburi cha kuwekwa na Mungu kuwa polisi wa dunia kimewajaa, hawajui kuwa Mungu anaweza kuinua mtu mwingine akawabadili. what many do not know ni kwamba, utabiri unaonyesha kuna siku Marekani itashushwa na atainuka mwingine, we do not know whether itakuwa Euro, au Russia, we don't know, but there is a time the US will be reduced to the ground just like what happened to the ottoman empire and the Rome empire.

kwa wenye akili, hasa ukiangalia naman Urusi anavyotengeneza njia yake kuelekea Mashariki ya Kati, Krimea imempa access to the mediterenean sea, akichukua hayo majimbo mawili anao uhakika wa access to the mediterenean sea, meaning kwenda Israel anaweza kupitisha meli zake za kivita bila pingamizi, israel kufanya nini? hata kama leo hii wanao uhusiano mzuri na Israel, ila kuna siku watakuwa maadui na Russia/mfalme wa mashariki, ataishambulia sana Israel (vita ya al magedon, na vita vya gogu na magogu), hakuna nchi itakayoweza kuisaidia Israel, lakini Mungu wa Ibrahim Isaka na yakobo mwenyewe atashuka kwa uweza wake kuisaidia Israel, atayapiga majeshi hayo ya mfalmem wa magharibi kwa mvua za mawe na radi etc, nayo yatateketea kwa robo tatu yao, Israel watakuwa wamesimama tu wanashangaa Mungu alivyoingilia kati baada yao kuwa wamezidiwa hadi kufika mwisho wa uwezo wao na wamekata tamaa.

hapo ndipo Mfalme wa wafalme, Bwana wa Mabwana na Mungu wa miungu atashuka tena kama walivyomwona akipaa mawinguni. kwa mtini jifunzeni tawi lake likianza kuchipua majani mwatambua ya kuwa wakati wa kurudi kwake umekaribia. matawi yalishaanza kuchipua tangu 1948, yanachipua kidogokidogo, dalili za vita mahalimahali tunaziona, access ya mfalme wa mashariki kuelekea jerusalem tunaiona, Tazama yuwaja na mawingu, na kila jicho litamwona! mwenye kuelewa na aelewe.
 
Hivyo vifaa walitakiwa wavitoe kabla Putin hajaingia Ukraine sidhan kama vitawasaidia Sana Sana vitaangukia mikonon mwa warus
Vita ni hesabu. Haiwezekani kwamba matangazo ya kutoa msaada ndo yamechelewa kutoka ila mambo yote yalikuwa yameshaandaliwa ndani ya Eukraine na mstari wa kumhold Russia ukawa ni mji wanaopigana sasa? Najiuliza tu.
 
kazi inaisha sasa
Screenshot_20220227-004052_Twitter.jpg
 
rais wa ukraine kama hajakimbia leo sijui kama hatabebwa russia imeamua nlitaka kushangaa jamaa,walivyojiamini halaf washindwe
Screenshot_20220227-004217_Twitter.jpg
 
⚡️Parachutes have been spotted dropping in over Kiev (Images on social media)

RT
 
Putin alisema mazungumzo yatakuwepo tu pale watakapomaliza operation yao, hii ya kusubiri ili kupisha mazungumzo mmeitoa wapi
We hukusikia Rais wa Ukraine aliomba mazungumzo na PUTIN akatoa masharti yakazungumzwe BELARUS?? Kutokana na hali hiyo Urusi ikaviagiza vikosi vyake kusimamisha mzigo. Sasa mazungumzo yameshindikana na Ukraine wanajikuta wanapata kichwa. Sasa URUSI wametangaza total war.
 
Back
Top Bottom