Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Hayo umeyaongea ww unaye fananisha vita vinavyo poteza maisha ya watu na miundo mbinu na michezo ili kujifurahisha moyo wako.
Lakini mpaka Ukraine anafikia hatua ya kukubaliana na matakwa ya adui aliye mvamia basi jua anapitia wakati mgumu na machungu makubwa sana.

Kwa hiyo wame razimika kuacha kitu ambacho wame kiangahikia zaidi ya miaka 10 ili Urusi isiendelee kuharibu taifa lao.

Hilo sharti lilolo kubaliwa na Ukraine ingelikubali tangu mwanzo wala hii vita iliyo sababisha maafa isingekuwepo.

Ni zaidi ya miaka 8 Urusi inaionya Ukraine juu ya kujiunga na NATO jibu la Ukraine lili kuwa ni hata kama hampendi ni lazima Ukraine ijiunge na NATO kwa sababu ss ni taifa huru.
Una maana bila mtutu wa bunduki Ukraine isinge kubali matakwa ya Urusi.
Mtu mzima kaumbuliwa vibaya sana,haya mengine ni blah blah tu za kutaka kuufurahisha moyo wako pia.Alivyoamua kuivamia Ukraine hakuyajua hayo yote ya kuharibu miundo mbinu na kupoteza maisha ya watu? Super power unachakazwa na mtu unamzidi kwa kila kitu,Superpower kumbe ni puto tupu liliojaa upepo.😀
 
In Germany, they said that the gas embargo on supplies from the Russian Federation will put an end to the country's prosperity.

This was announced on the air of the ZDF TV channel by the Minister of Economics, Vice-Chancellor Robert Habek. According to him, there is no infrastructure in Germany for importing gas and oil in alternative ways.

“If there is not half of the total volume of gas supplies, [the world's largest chemical concern] BASF may close,” RIA Novosti quotes the politician.

He also admitted that energy companies may migrate to Asia amid a shortage of energy resources.
Galip SV Liwagu View attachment 2173842
Hapa unaona jinsi gani wananchi wa nchi hiyo wanasikitika unyama wa Putin ili wanadai viogozi wao wasimame dhidi yake, hata wakijua kuna gharama kubwa. Ila wanakumbuka historia yao; Hitler alipoanza kuvamia nchi nyingine, kaanza Austria, baadaye Chekoslovakia, hakuna aliyekuwa tayari kumzuia. Kilichofuata kilikuwa Vita Kuu ya Pili iliyoharibu Ulaya na sehemu nyingine za Dunia.
 
Putin na viongozi wake wa kijeshi wanaoendesha uvamizi wa Ukraine wanapaswa kuhukumiwa katika mahakama za kimataifa kwa makosa ya uhalifu wa kivita na binadamu kama wanazi katika Nuremberg Trial.
Niliwahi kusema, tunachosikia kwenye media ni kidogo mno cha uhalisia. Watu wengi wamekufa Ukraine, maisha ya ukraine yamevurugika, kama watalii raia wa Ukraine wapo zanzibar wanashindwa kwenda kwao sio sababu ya kukosa nauli. Muda utasema.
 
Kama Putin angeshinda kwa kishindo kwa muda mfupi Ukraine Ulaya ingekuwa uwanja wa fujo kwa sababu angeendelea kuvamia nchi nyingine zilizo jirani ambazo zina mfumo unatofautiana na Russia wa siasa na uchumi.
Hapa unaona jinsi gani wananchi wa nchi hiyo wanasikitika unyama wa Putin ili wanadai viogozi wao wasimame dhidi yake, hata wakijua kuna gharama kubwa. Ila wanakumbuka historia yao; Hitler alipoanza kuvamia nchi nyingine, kaanza Austria, baadaye Chekoslovakia, hakuna aliyekuwa tayari kumzuia. Kilichofuata kilikuwa Vita Kuu ya Pili iliyoharibu Ulaya na sehemu nyingine za Dunia.
 
Habari ya ukraine kutoka kremlini ni kuretreat acha na hizo screenshot zako uchwara ambazo hata source id haionekan kwi kwi kwi
Nani kakwambia wanaretreat maeneo yote? Ni kyiv na chernihiv Sehemu nyingine mapambano yanaendelea.

Off topic hivi Ghost of kyiv aliishiaga wapi?
20220403_120530.jpg
20220403_120652.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
kuna mtu alinibishia humu mwanzoni kwamba putin sio war criminal imekuwaje sasa
wanataka wamfikishe huko ICC?
 
Russia anamzidi nani vile ki uchumi? Hivi hata katika Top 15 Countries ki Uchumi yupo kweli.
11th mind you hapa ana vikwazo zaidi ya 2700.

Alf na uchumi wake (unaosema ni mdogo) lkn bado kijeshi hana mpinzani.
Greater Nuclear arsenal, military technology bora zaidi (missiles + air defence systems), Military intelligence etc. etc.

For the record Putin/Russia ndio anaeyeweza kuwadindia USNato&Allies popote pale ref. Syiria/Assad & Venezuela/maduro. Na yeye ndio anaweza kufanya jambo lolote bila kuhofia UsNato&Allies ref. Georgia, Crimea US election & Ukraine.

1 vs 30+ na bado anashinda. Pretty Iconic. 'Cross Multiply' ujue itakuwaje siku ikiwa 1 vs 1.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom