RTI
JF-Expert Member
- Dec 20, 2018
- 2,422
- 7,173
Toa mihemko isiyo kuwa na maana hapa kwa hiyo ww mla mihogo kutoka sumba wanga una uchungu na Ukraine kuliko viongozi wake walio fikia makubaliano na Urusi?Acha propaganda wewe sema vita imekushinda yaani Ukrain wakubali kutojiunga na Nato alafu Nato hao hao mpka sasa ivi wawe wanaendelea kuisaidia Ukrain shirikisha bongo yako Mzigo umejuwa mzito sana kwa Urusi ni kwamva vita imemshinda urusi sasa anatafuta mlango wa kutokea
Habari ya makubaliano ya Ukraine kukubali sharti la kutojiunga na NATO na kutokuwa na silaha za kinyukilia ilitangazwa na vyombo vyote vya habari duniani, sasa sijui ww unaishi kaburini mpaka hauna habari hiyo?