3ZOV
JF-Expert Member
- Dec 28, 2020
- 6,259
- 7,019
nafikiria kabisa hilo.Kwahiyo na wew umeshauriana na kichwa Kuna putin watamkamata kabsaa
nafikiria kabisa hilo.Kwahiyo na wew umeshauriana na kichwa Kuna putin watamkamata kabsaa
tueleze uhalisia bwana magomedPROPAGANDA
AtapewaRaisi wa Ukraine anataka apatiwe access ya $ b.400 za assets zinazoshikiliwa na nchi za magharibi.
Source; RT
Nchi yenye akiliKanchi kama Haka unakuta kanalingana na Kigamboni tu wala hakana hata watu mil 3
Warusi wamekimbia baridi maana convoy zao zinaharibiwa vibaya mno
www.rferl.org
Nashukuru kwakumpa jamaa darasa tena sidhanii kama wanafikia hata hio 30Ume ulizwa swali badala ujibu umetoa maelezo marefu yasiyo kuwa na kichwa na miguu.
Yaani Uchumi wa nchi yako ni sawa na aslimia 30 tu ya Uchumi wa jiji la teheran alafu unapata wapi ujasiri wa kuibeza Iran.
Nenda YouTube uone maendeleo ya kimiundo mbinu kuanzia mtandao wa bara bara na reli nchini Iran.
Iran inazalisha Megawat 80,000 wakati nchi yako hata Megawat 2,000 imekuwa mtihani.
Nimebahatika kuona baadhi ya makabrasha kuhusu Ukraine kinachoonekana Zelenskiy hana nguvu ya Ukraine ila wapo wenye nguvu ndani ya Ukraine ambao ni jeshi la NAZI na NAZI.Si walikuwa wanapewa silaha wapambane?
Aache kulialia huyu DOGO
Una ushahidi aligawa silaha kwa wananchi? Tafadhali lete. Habari niliyo nayo ni walipitisha sheria kila mwanaume mwenye umri wa miaka 18-60 awe tayari kuhudumia kama mwanajeshi. Akiwaingiza jeshini wana hadhi ya askari. Huu ni utaratibu unaotambuliwa na sheria ya kimataifa.Huyu Zelensky vipi jamani?!?! Yeye ndiye aligawa silaha kwa wanachi huku akitamba kuwa Ukraine yote ni Askari...Sasa hao raia wametoka wapi?! Sasa hao Azov wa Zelensky wakawa wanawapiga risasi wananchi wanaokimbia Vita wanawataka wawe ngao kwa Azov....Sasa wewe raia una bunduki halafu umejigeuza ngao hapo Mrusi hakuachi aisee.
UKRAINE tayari washagawanywa nisuala la MUDA tuuuNimebahatika kuona baadhi ya makabrasha kuhusu Ukraine kinachoonekana Zelenskiy hana nguvu ya Ukraine ila wapo wenye nguvu ndani ya Ukraine ambao ni jeshi la NAZI na NAZI.
BBC walifanya documentary Ukraine kuhusu hili kundi 2014 na BBC ikakiri kuwa hawa ni NAZI. Ndiyo wenye sauti ndani ya Ukraine na ndiyo wenye nguvu.
View attachment 2174202
View attachment 2174203
View attachment 2174204
Hata kipindi hiki cha mapigano ya Ukraine na Russia walichokuwa wanafanya hao Nazi wanauzingira mji mzima kwa mfano Dar na wanaweka vizuizi njia zote za kutokea kwa maana hakuna raia wa aina yoyote anayeruhusiwa kutoka kwenye huo mji na kuwafanya ngao. Yoyote atakayethubutu kutoka kuna asilimia kubwa zaidi kuuliwa. Zipo video zikionyesha raia waliyojaribu kutoroka wakishambuliwa kwa risasi.
Mbinu ya namna hii ni uhalifu wa kivita, ni mbinu ya kigaidi. Ikiwa kama Russia ametangaza operation yake ni kulipunguza nguvu jeshi la Ukraine kwa asilimia kubwa atafanikiwa ila kuondoa Nazi ni suala gumu na kwa vile hiki kikundi kinatumiwa na West lengo ni kukitumia dhidi ya Russia kwenye hii operation Russia wameuruka mtego wa West wa kuonekana wanafanya mauaji kwa raia na kwa hili lingefanya sehemu kubwa duniani kuwa kinyume na Russia.
Kinachoonekana kwa sasa hivi kuna asilimia kubwa Ukraine kutokea nchi mbili. Ukraine ya mashariki na Ukraine ya magharibi. Hili litakuwa ni pigo kubwa sana kwa Ukraine na ni hatari vilevile kwa Ukraine.