Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Historic.
Ukrainian airborne units regain control of the Chernobyl.
IMG_20220403_140949.jpg
 
Nimekujibu vizuri sana katika post yangu lakini unauliza hilo hilo swali, nimeanza kugive up na wewe kwasababu hushiki mambo rahisi.

Nimekwambia gharama za ubadilishaji sarafu atazipata urussi na ndio maana EU hawakununua moja kwa moja Rubo.

EU wanalipa pesa walioelewana kwenye mkataba(bila exchange fee amabayo haikua katika mkataba)

Babu kitu gani hapo kigumu huelewi. Nkt
Yaani mnamuwekea vikwazo na noti mnampa SI muache kutumia uchumi wake udorore halafu tuone nani anamtegemea nani.
 
Urusi ilitangaza kusitisha operation yake ya kijeshi kaskazini mwa Ukraine ikiwemo kwenye mji mkuu kiev baada ya mazungumzo ya amani kupiga hatua kubwa baada ya Ukraine kukubali takwa kubwa la Russia la Ukraine kutojiunga na NATO .
Kilicho baki ni kukubaliana kuhusu Cremea na mkoa wa Dombas na leo waziri wa mambo ya nje wa Urusi amesema wana karibia kukubaliana.
Acha propaganda wewe sema vita imekushinda yaani Ukrain wakubali kutojiunga na Nato alafu Nato hao hao mpka sasa ivi wawe wanaendelea kuisaidia Ukrain shirikisha bongo yako Mzigo umejuwa mzito sana kwa Urusi ni kwamva vita imemshinda urusi sasa anatafuta mlango wa kutokea
 
duh hz picha zinatisha,hio ndio denazifcation aliosema putin, maiti za raia mitaani
Makaburi ya halaiki yameanza kugundulika Ukraine katika miji ambayo wanajeshi wa Urusi walikuwa wameikalia na sasa wameichia na kurudi nyuma.

Katika mji wa Bucha makaburi ya halaiki ya raia 300 waliouwa na majeshi ya Urusi yamegunduliwa.

Hali ya mauji ya halaiki ya raia Ukraine katika miji iliyokaliwa na majeshi ya Urusi inahofiwa huenda ikafanana na yale yaliyotokea katika vita vya pili vya dunia katika miji iliyokaliwa na majeshi ya Kinazi ya Ujerumani.
 
Mi mbona nipo Bucha muda huu sijaona hata kaburi moja zaidi ya kuona mwendokasi tu
Makaburi ya halaiki yameanza kugundulika Ukraine katika miji ambayo wanajeshi wa Urusi walikuwa wameikalia na sasa wameichia na kurudi nyuma.

Katika mji wa Bucha makaburi ya halaiki ya raia 300 waliouwa na majeshi ya Urusi yamegunduliwa.

Hali ya mauji ya halaiki ya raia Ukraine katika miji iliyokaliwa na majeshi ya Urusi inahofiwa huenda ikafanana na yale yaliyotokea katika vita vya pili vya dunia katika miji iliyokaliwa na majeshi ya Kinazi ya Ujerumani.
 
Utawala wa Sudan ulikwisha kubali kumpeleka Al-Bashir mahakama ya ICC, japo sio peke yake alihusika katika uhalifu na ukatili dhidi ya binadamu, majenerali wenzake waliamua kumtoa kafara wao wapone na mkono wa sheria ya kimataifa.
Kwisha kukubali ndio nn wakat bado jamaa hajafika ICC
Waache ubabaishaji
 
Kumbe. Imara? Tangu miaka 40 serikali inaita wananchi waandamane na kupiga kelele "Marg bar Amrika" na "Marg bar Israel" (kifo kwa Marekani, kifo kwa Israel). Vifo hivi havikutokea bado. Nchini Syria wanajeshi wa Iran wanapigwa mara kwa mara na ndegevita za Israeli. (binafsi nasikitika wote wawili, maana hawana kazi kuzurua Syria)
Lakini serikali ya Iran ilifauli kuharibu sifa za nchi yake kimataifa. Hata imefaulu kupeleka mawaziri wa nchi za Kiarabu watembelee Israeli na kushika mikono na waziri mkuu wa huko.
Mafanikio kweli!! (miaka 10 iliyopita isingewezekana, sasa wanakuja kwa sababu wanaona Iran tishio)
Imara, eeh?
Unaongea nn
Jibu swali jengine kwakua hayo yajuu umeyakana kuyajibu
Nchi yako ambayo haijatengwa ama kuharibu sifa kimataifa imewazidi kipi IRAN iliopoteza sifa kimataifa
IRAN iliotengwa nikheri na bora kuliko mataifa yooote ya AFRICA na na baadhi ya EU na baadhi ya ASIA na baadhi ya AMERKA NORTH
kama IRAN ile nilioiona mie ndio imetengwa kimataifa ina vikwazo na ina matatizo mengi yakiuchumi basi ni bora AFRIKA yote ikiwemo inji yako itengwe kimataifa pia ili walau iikaribie IRAN
IRAN iliotengwa ni faaar faar faar better kuliko mataifa yenu yooote UCHWARA
 
Back
Top Bottom