Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

BS.
Kwa ni Russia haikumpa Zelenskyy nguvu za kupambana na NAZI kama ilivyompa dikteta Lukashenko wa Belarus nguvu za kuendelea kubaki madarakani yalipoanza maandamano kupinga uporoji na uchafuzi katika uchaguzi wa Belarus?
Sijui, labda unifahamishe!
 
Ana jeshi bora huku anatolewa jasho na Bwana mdogo Zelensiky [emoji3]
Luhansk imekwenda. Donetsk imekwenda. Mariupol imekwenda. Crimea ilikwenda. Makao ya Azov mariupol yameangushwa. Ukr Military bases zimepigwa kila kona ya nchi. Ukr Air forces zimepigwa. Mamilioni ya vifaa vya kijeshi yameharibiwa. Vituo vya kuhifadhi mafuta vimekwenda. Miji imeharibiwa. Raia wamekimbia. Taifa limeingia hasara ya Trilioni 1 na zaidi, Ndoto ya kujiunga NATO imeyeyuka.

Ama kweli mrusi anatolewa jasho

[emoji1787]

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Unaambiwa na nani??
Hayo na maneno na propaganda za Putin kuhalalisha uvamizi wake.

1.Zelenskyy ni Myahudi, Babu yake na ndugu zake wengi waliuwa na Wanazi anawezaje kuwa sehemu ya Wanazi?

2.Wanazi wa Ukraine wanaithiri vipi Urusi?Hata kama kweli wangekuwepo.

3.US/NATO wameivuruga vipi Urusi ? Kitu gani walichokifanya US/NATO ambacho unahesabu ni kuivuruga Urusi?
Una maswali mepesi kweli
 
Hongereni kwaushindi
Kesho UKRAINE itarudi upya kama ilivyokua mwezi mmoja kabla ya hii OP saga saga
Haiwezi kurudi kwa haraka, itachukua muda kusafisha na kuhakikisha kuwa silaha zilizozagaa kwa raia hazipo ili nchi itawalike maana waasi wanaweza zaliwa iwapo silaha zipo. Raia wengine hawapo, walikimbia wasiuwawe na Puttin. Puttin ni Bully. Ametumia nafasi na nguvu aliyonayo kuiharibu Ukraine na raia wake.
 
Inaitwa varta imetengenezwa ukraini wapinaji wa luhansky wameziteka na kuweka bendera yao na alama ya z
img_1_1648916537103.jpg
img_2_1648916544778.jpg
 
Ushindi wa Ukraine? Kweli bangi sio kwa kila mtu. Wenzako wamepigika huko, miji imebaki magofu unasema wamepata ushindi ..tena pamoja na support ya US, EU, UK na NATO...bado wamepigika tu!
Ukivamiwa na Jambazi wakakutupia mawe yakavunja vioo vya nyumba yako na kubomoa vifaa vingi lakini mwisho wakakuachia nyumba yako baada ya wewe kupigana kuwazuia, wewe ni mshindi japokuwa umepata hasara.
 
Sasa Ukraine ina shinda vita alafu wakati huo inakubaliana na matakwa ya aliye kuvamia ili ahachie baadhi ya maeneo yako anayo yashikilia?
Pale kile unachotamani kiwe katika mawazo yako unakiweka kwa maandishi na akili yako unaiconvice ione kuwa huu ndiyo uhalisia wenyewe.
 
Back
Top Bottom