Kwa kuwa Russia wameshindwa kuiteka Kyiv na kuipindua serikali ya Ukraine na kupachika kibaraka wao kama walivyokuwa wamepanga hapo kabla basi hiyo tu ni ushindi mkubwa sana kwa Ukraine.Hebu fafanua zaidi...
Ni ushindi gani unaouzungumzia wewe Ndugu?! Hivi Ukraine imeshinda Vita?! Unataka kutuaminisha hivyo kwa masuala ambayo yako wazi kabisa?!
Hadi Warussia kwa hasira wakaamua wauwe tu raia wasio na hatia pamoja na kuharibu miundombinu ya Ukraine. Russia alipakaziwa u-super power feki kumbe ni kanyaboya tu.