Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Kwa kuwa Russia wameshindwa kuiteka Kyiv na kuipindua serikali ya Ukraine na kupachika kibaraka wao kama walivyokuwa wamepanga hapo kabla basi hiyo tu ni ushindi mkubwa sana kwa Ukraine.

Hadi Warussia kwa hasira wakaamua wauwe tu raia wasio na hatia pamoja na kuharibu miundombinu ya Ukraine. Russia alipakaziwa u-super power feki kumbe ni kanyaboya tu.

Russia hawakua na mpango wa kuiteka kiev broh na wala sio mpango wao. Na russia wamerudisha majeshi nyuma baada ya kukubaliana kwa baadhi ya masharti.
 
During periods of instability, Americans usually rally around their president, but Biden is an exception, writes Das Erste.

Even NBC News, friendly to the American leader, reported only 40% of those who approve of his work. This is the lowest rating since he took office, said the channel's host Chuck Todd.

This is probably due to the fact that Americans are now preoccupied with other problems. “More than two-thirds would like Biden to make the national economy a top priority. Not the Ukrainian crisis,” explains Todd.

Now inflation in the US is at around 6.4%. The price per gallon of gasoline is almost 50% higher than a year ago.
Galip SV
IMG_20220403_192716_915.jpg
 
Russia says Europe needs to ‘sober up’

Mending relations between Russia and Europe is still possible, but it will only happen when the latter “sobers up from the American bourbon” and gets rid of US influence, Kremlin spokesman Dmitry Peskov said on Saturday.

“There are always solutions. From any confrontation, from any difficult situation, there are always ways out,” Peskov told Russian media.

Russia-EU relations, however, are unlikely to improve in the near future, he admitted. Moscow expects that to happen only when Europe realizes that it, and not the US, is responsible for its own fate, he added.
He thinks Russia can dictate terms to the Europeans the way they're trying to do to Ukraine. Let Peskov know that Russia is a minnow to America.
 
During periods of instability, Americans usually rally around their president, but Biden is an exception, writes Das Erste.

Even NBC News, friendly to the American leader, reported only 40% of those who approve of his work. This is the lowest rating since he took office, said the channel's host Chuck Todd.

This is probably due to the fact that Americans are now preoccupied with other problems. “More than two-thirds would like Biden to make the national economy a top priority. Not the Ukrainian crisis,” explains Todd.

Now inflation in the US is at around 6.4%. The price per gallon of gasoline is almost 50% higher than a year ago.
Galip SV View attachment 2174537
The US economy is intertwined with the Ukrainian current predicament so there is no way US can sit on the fence when Russia is carrying out genocide in Ukraine.
 
PUTIN kasukuma kete moja tu ya Ruble katikisa dunia yote. Europe wamepotea zile mbwembwe zao zimepotea wanasugua kichwa. LNG ya USA imefikia wapi?? Hapo bila shak EU wamejifunza kitu jinsi Marekani alivyo mnafiki.

EU imekosa kabisa mbadala wa Nishati ya Russia hawataki lipa kwa Ruble ila muda ni mwalimu mzuri tutaona msimamo wao. Nchi nyingi za Europe zipo tayari kulipa kwa Ruble.

Vikwazo havijafanya kazi kwa Russia ila vimefanya kazi kwao maisha yamekua magum kwao hii ni aibu kubwa sana waliyopata na hawaamini kama wamekwenda OP walitoa vikwazo kwa kupaniki.

West walileta propaganda kibao ili mradi Russia atengwe na dunia na plan zao walijua dunia yote itaenda swa na wao watatoa vikwazo kwa Russia mambo yamegoma wameona wamekataliwa kweupe kabisaa.

Russia alijipanga kwa hili na alijua atawakamatia wapi hakuna aliyejua Russia angeswitch ruble ndo mjue hawa jamaa ni genius afu kuna boya anaifananisha Russia na Africa.

West wamepata aibu kubwa sana kwa hili inshort walikurupuka sana hawakufanya hesabu zao vzr naona walishinikizwa na baba yao US sasa US kawakataa wamabaki wanabung’aa kama mtu aliyefika stand haoni mtu wa kumpokea.

Russia anategemewa na Ulaya karibia 80% na kumbuka Russia anaproduce malighafi muhimu sana na tegemezi sasa mtu kama huyu unampa vikwazo utegemee utawin??

Kuna watu humu walikua wanasema Russia itakua Zimbabwe ikabid nicheke nadhani wamepata somo Russia amebarikiwa kuwa na Natural resources nyingi ambazo hawezi kukosa top 5 kwa kila natural resource aliyonayo sio madini nk hawa jamaa Mungu kawabariki aisee.

Russia wana ardhi nzuri ya kilimo wanategemewa duniani kwa zao la ngano na alizeti, unaona Russia anagusa uchumi wa kila mtu kwenye nishati mpaka chakula leo hii unampa vikwazo unategemea nini? Russia ndo mzalishaji mkuu wa mbolea duniani tumeona USA hapa hajaweka vikwazo why?? Akili mtu wangu.

Russia anahitajika sana kwenye uchumi wa Dunia, dunia inamuhitaji Russia acheni ushabiki usio na tija tupo kwenye generation ya kuambiana ukweli na sio propaganda za mitandaoni huo ndo ukweli ila huji kuta vitu kama hvo vinaongelewa. Tanzania wenyewe tuna import wheat kutoka Russia.

Russia anategemewa na Dunia na sio West kama watu wanavyopayuka humu ndani, impact sio west tu ni worldwide. Russia sio Africa hao jamaa sio level yetu kabisa na msifananishe na Africa hao jamaa ndo tunawategemea kuleta balance of power.

Namuunga mkono Russia kwasababu ni nchi ambayo haijawai kuwa na koloni na ni Nchi ambayo ilipigania nchi za Africa kupata Uhuru mfano mzuri Tanzania tulipewa mafunzo ya kijeshi kutoka Russia. [emoji635] [emoji1241]

VIVA RUSSIA
VIVA PUTIN
Ukiwaambia ngano inayozalishwa duniani Russia anazalisha 40% ya ngano yote duniani wananuna. Population ya Russia ni watu milion 145+ huku ngano anayozalisha inaweza kulisha watu bilion 3+ duniani. Sijui PRO NATO wanafikiri kiwango kinachosalia wanakula mbuzi ? Kiwango kinachosalia wanakula nchi za Ulaya ambapo hakuna mashamba
 
Hiyo aslimia 40 ya ngano duniani inalimwa na Russia na Ukraine kwa pamoja na sio Russia peke yake.

Please be informed accordingly.
 
Ukraine wanaigiza maisha sana alafu wanajitangaza washindi huku wanatafta kuonewa huruma na mataifa View attachment 2174540
Ushindi ni nini katika hili? Inawezekana unatofautiana nao watu wa Ukraine tafsiri ya neno ushindi. Wakati wao ushindi ni kumfanya Urusi asiwapige tena, wewe kwako Ushindi ni jambo lingine tofauti kabisa.
 
Nilisema hapa awali jeshi tiifu sikivu na linalojua maana kama la RUSSIA haliwezi fanya huo UNYAMA
Niliwaambia hapa watu tele kwamba hizo nipropaganda mfu nawala hazina maana yeyote ile
Root
YEHODAYA
Nyamizi
Huyu sasa ndio kasema ukweli
Sasa mtaalamu utuambie hiyo hekima unachota wapi? Jeshi tiifu, sikivu, linalojua maana? ???
Bila shaka utakuwa na vyanzo na marejeo ya kitaalamu?
Tafadhali utuonyeshe
Bila shaka utakuwa na jibu zuri kwa yafuatayo:
 
Hiyo aslimia 40 ya ngano duniani inalimwa na Russia na Ukraine kwa pamoja na sio Russia peke yake.

Please be informed accordingly.
Namba unapata wapi? Sijachungulia zaidi, lakini mimi naona hii:
Which country is the largest producer of wheat in 2021?

Here are the 10 countries with the most wheat production:
  • China (134,254,710 tons)
  • India (107,590,000 tons)
  • Russia (85,896,326 tons)
  • United States (49,690,680 tons)
  • Canada (35,183,000 tons)
  • France (30,144,110 tons)
  • Pakistan (25,247,511 tons)
  • Ukraine (24,912,350 tons)
 
Sasa mtaalamu utuambie hiyo hekima unachota wapi? Jeshi tiifu, sikivu, linalojua maana? ???
Bila shaka utakuwa na vyanzo na marejeo ya kitaalamu?
Tafadhali utuonyeshe
Bila shaka utakuwa na jibu zuri kwa yafuatayo:
Dah utanisamehe MKUU hua sifungui LINK nisamehe sana lakini
 
Back
Top Bottom