Cash Generating Unit
JF-Expert Member
- Jan 12, 2019
- 13,284
- 39,513
Bully ni bully tu atokee Urusi au West. Amani zao ndio zitarejea.
Hapa tutaenda sawa kumbe wote tunataka haki na usawa.
Bully ni bully tu atokee Urusi au West. Amani zao ndio zitarejea.
Yes tell himHiyo aslimia 40 ya ngano duniani inalimwa na Russia na Ukraine kwa pamoja na sio Russia peke yake.
Please be informed accordingly.
Ukiwaambia ngano inayozalishwa duniani Russia anazalisha 40% ya ngano yote duniani wananuna. Population ya Russia ni watu milion 145+ huku ngano anayozalisha inaweza kulisha watu bilion 3+ duniani. Sijui PRO NATO wanafikiri kiwango kinachosalia wanakula mbuzi ? Kiwango kinachosalia wanakula nchi za Ulaya ambapo hakuna mashamba
Wewe jamaa mtihani sana.Sababu RUSSO wasema kweli DAIMA
During periods of instability, Americans usually rally around their president, but Biden is an exception, writes Das Erste.
Even NBC News, friendly to the American leader, reported only 40% of those who approve of his work. This is the lowest rating since he took office, said the channel's host Chuck Todd.
This is probably due to the fact that Americans are now preoccupied with other problems. “More than two-thirds would like Biden to make the national economy a top priority. Not the Ukrainian crisis,” explains Todd.
Now inflation in the US is at around 6.4%. The price per gallon of gasoline is almost 50% higher than a year ago.
Galip SV View attachment 2174537
🤣🤣🤣🤣🤣 na wameamua kutelekeza vifaru na magari kwa hiari yao...Russia wana huruma hao!!..Russia hawakua na mpango wa kuiteka kiev broh na wala sio mpango wao. Na russia wamerudisha majeshi nyuma baada ya kukubaliana kwa baadhi ya masharti.
kama maruhani vile 😂😂Uzi huu.....
Ila Washabiki wa Urusi wanabadilika sasa..
Hawa wamagharibi kumbe Mabwege tu shenzi zao, Putini anaenda kwa mahesabu wenyewe wanabwabwaja tu kwenye vyombo vyao vya habari...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
RUSSIA sio ZIMBABWE
Hawa wamagharibi kumbe Mabwege tu shenzi zao, Putini anaenda kwa mahesabu wenyewe wanabwabwaja tu kwenye vyombo vyao vya habari...
Sema awamu hii dunia kwa kiasi kikubwa imejua unafiki wa nchi za Magharibi pamoja na Marekani.
Wanabweka wee Dunia ipo kimya tu, inawachora kwa mbali walivyo wanafiki.
Babu Biden sijamsikia kabisa siku mbili hizi sijui anaongeza ama anapunguza vikwazo.
🤣🤣🤣🤣 pro Russia wanashida Mahali... Eti hawakwenda Ukraine Kuiteka Kiev🤣🤣🤣🤣🤣 na wameamua kutelekeza vifaru na magari kwa hiari yao...Russia wana hutuma hao!!..