Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Hapo wanamaanisha wamekanyaga ardhi ya Rusia, yaani Wenyewe Ukrane wanaichukulia ni ardhi halali ya Urussi.
kwi kwi kwi inafurahisha sana
hiyo ardhi iliokanyagwa ni ya buza kwa lulenge au ya kremlin 😂😂😂
 
Wewe Huna akili unajua ni sababu zipi au ni mambo gani yalisababisha Marekani yenyewe kutoka kwenye gold standard 1933 then later kutengeneza na kuitisha mkutano bretton woods na kuifanya USD as a worldwide standard global currency Hadi hivi leo ?

Ukisoma hicho nakuelewa utaacha huo uduwanzi wako ulioandika hapa , ukae ukijua hiyo gold standard as means of transactions unayoiota it has long been there even in USA lakini ilifail kutokana na sababu kibao moja wapi ni volatility na convenience on the ground .
Kwa hiyo gold unaweza kuwa volatility kuliko USD ambayo ni karatasi lililopewa value??.Brother USA alijua fika ili aendelee kuwa na uwezo kiuchumi ni kuifanya $ kuchukua nafasi ya Gold.
 
❗️ Kremlin spokesperson Peskov's latest statements:

▪️ The largest sanctions burden in history has now fallen on Russia.

▪️ The ruble payment scheme Russia uses with gas will be extended to new groups of goods in the future.

▪️ There is an erosion of confidence in the dollar and the euro, many countries doubt their reliability and are developing settlements in national currencies.

▪️ Western countries went beyond all measure by imposing sanctions against Putin.

▪️ The West is an oasis for criminals from Russia, no one is going to extradite them, as well as cooperate with law enforcement agencies of the Russian Federation.
 
Ushindi wa Ukraine? Kweli bangi sio kwa kila mtu. Wenzako wamepigika huko, miji imebaki magofu unasema wamepata ushindi ..tena pamoja na support ya US, EU, UK na NATO...bado wamepigika tu!
Refers to Vietnam war or Afghanistan war!
 
❗️ The Russian MoD's latest statements on the Ukraine crisis:

▪️ A strike on the Vasilkov airfield near Kiev disabled the Ukrainian air force's centre for aviation and air defence control.

▪️ A strike on the Balovne airfield near Nikolaev destroyed grounded Ukrainian aircraft and fuel stores

▪️ DPR troops are fighting near Novobakhmutovka and Troitsky, and have killed more than 40 members of the Ukrainian 25th brigade and destroyed seven pieces of its equipment near Novoselovka

▪️ Russian Armed Forces have destroyed large fuel storage facilities supplying fuel to Ukrainian troops in the Nikolaev and Donetsk regions

▪️ About 40 military facilities belonging to Ukraine were hit in a day, including three launchers of air defence systems and two MLRS

▪️ 386 of Ukraine's unmanned aerial vehicles, 224 anti-aircraft missile systems, 1,918 tanks and other armoured combat vehicles, 209 multiple rocket launchers, 814 field artillery and mortars have been destroyed since the beginning of the special military operation.
 
NATO will find ways to accept Finland and Sweden into the alliance "relatively quickly" if these countries want to join the organization, said Jens Stoltenberg.
Galip SV View attachment 2174495
Kinataka kunuka tena,Ila Russia km akiingia Kwa Finland atachezea kipigo cha mbwa Koko Kama alivyochezea (wakati huo ikiwa ni Soviet Union) alivyovamia mwaka 1939.
 
Back
Top Bottom