Finland amesema kwa sasa haoni umuhimu wa kujiunga na NATO.Kinataka kunuka tena,Ila Russia km akiingia Kwa Finland atachezea kipigo cha mbwa Koko Kama alivyochezea (wakati huo ikiwa ni Soviet Union) alivyovamia mwaka 1939.
Mzee wangempumzisha tu, wanazidi kumvuruga tu.Biden got confused again: he called Michelle Obama vice president.
Speaking at the commissioning ceremony for the new submarine, he said he was incredibly proud of the work that his wife did with Michelle Obama when she "was vice president."
On the website of the White House, this statement was published already with the edit: "... when I was vice president."
UnajidanganyaFinland amesema kwa sasa haoni umuhimu wa kujiunga na NATO.
Mwambie na pale Russia walipokataa kuwa hatavamia Ukraine badala yake Yale yalikuwa ni mazoezi tu ,aliwaamini ?Sababu za kuamini taarifa ya Russia ni ipi na ya kukataa hii ya Ukraine ni ipi?
Hakika MKUUBully ni bully tu atokee Urusi au West. Amani zao ndio zitarejea.
Lakini wewe jamaa nimtihani zaidiWewe jamaa mtihani sana.
Wafungwe tu Simba hakuna namnaNingeomba wadau wote humu ndani tupunzike kuchangia kuanzia saa nne usiku wa Leo mpaka mpira utakapo Isha.
Kuipa heshima timu ya afrika mashariki
Huu mzozo umeonyesha kua US kapungua sana sana ama hana kabisa status alokua nayo miaka 20 nyumaHawa wamagharibi kumbe Mabwege tu shenzi zao, Putini anaenda kwa mahesabu wenyewe wanabwabwaja tu kwenye vyombo vyao vya habari...
Sema awamu hii dunia kwa kiasi kikubwa imejua unafiki wa nchi za Magharibi pamoja na Marekani.
Wanabweka wee Dunia ipo kimya tu, inawachora kwa mbali walivyo wanafiki.
Babu Biden sijamsikia kabisa siku mbili hizi sijui anaongeza ama anapunguza vikwazo.